Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Haya tunamkaribisha aje tu, pia mumkumbushie amtembelee Tundu Lissu na kumjulia hali, hata hivyo nitashangaa sana kama kuna Mkenya anamsubiria rais yeyote kwa hamu, yaani ina maana siku hizi tumekua malofa kiasi hiki. Halafu hilo la rais Uhuru kutembea kwa miguu, sijaelewa mnaposema ameiga kutoka kwa Magufuli, wakati sisi tumemzoea kama rais ambaye hufanya yote.

Hayo ya kushtukiza shtukiza watu kwenye maofisi yao hayaongezi ufanisi ila kujenga hofu tu, unafaa uwe na uwezo wa kukusanya taarifa za utendaji kwenye kila nyanja bila ya wewe kuwavizia vizia ndani ya ofisi zao.

Hebu angalia hapa baadhi ya picha za rais Uhuru.

797263.jpg

uhuru_meat.jpg

uhuru-nyama.jpg

0fgjhs771rp55rein.a8bcaecb.jpg

maxresdefault.jpg

10.png

12970803_617580601726212_2581257943148753292_o.jpg

ef103ba46a3f259a7dca91c556f14fc8.jpg

Csx38EHXgAEC-Yt.jpg

1503420.jpg

u1.jpg

thumbnail.php
 
Profesa aliyeunga mkono upande uloshindwa kwenye uchaguzi hapa Kenya, hapo kweli. Alitumia uprofesa wake kufanyia vile vifaranga uhuni ule? Siasa za peni moja unusu hizo.
Si Magufuli wala serikali ya Tanzania inayoweza kufanya ujinga huo wa kujiingiza kwenye siasa za nchi nyingine, ila kwa sababu anaogopeka sana, watu kama wewe lazima uweweseke, urafiki wake binafsi na Raila ndiyo unaowafanya upande wa Jubilee uweweseke, lakini kama nchi Tanzania ndiyo kitovu cha siasa kusini mwa jangwa la Sahara, haiwezi kufanya kosa la kimkakati kama hilo
 
wakenya wanamsubiri nani kwa hamu? Pwahahahaha...hivi unajua ni marais wangapi watakua kwa hafla ile ama una kurupuka tu? pia watakuja marais wa dunia kama vile Netanyahu, rais wa israel na hata naskia rais wa Ujerumani amealikwa...sasa magu ndo nani bana?😀😀😀 pengine nikukosoe basi, Uncle Magu anatarajiwa Nairobi... sio kungojewa kwa hamu.anasubiriwa kama tu marais wengine walioalikwa..mambo ya hamu na ghamu utakuwa ni uongo mtupu kwani aje ama asije hamna nuksi...pengine ingekuwa ni Obama anakuja...hapo najua kungekuwa na hamu sana...Kagame, Museveni na kadhalika wanatarajiwa tu kama vile Magu...
Povu lililochanganyika na wivu, Magufuli ni maarufu sana Kenya, wakenya wengi wasio na wivu wanavutiwa sana na uongozi wake hasa katika kupambana na rushwa ambayo imewachosha wakenya walio wengi, wangependa siku moja wampate rais kama Magufuli ili apunguze rushwa ya Kenya
 
Haya tunamkaribisha aje tu, pia mumkumbushie amtembelee Tundu Lissu na kumjulia hali, hata hivyo nitashangaa sana kama kuna Mkenya anamsubiria rais yeyote kwa hamu, yaani ina maana siku hizi tumekua malofa kiasi hiki. Halafu hilo la rais Uhuru kutembea kwa miguu, sijaelewa mnaposema ameiga kutoka kwa Magufuli, wakati sisi tumemzoea kama rais ambaye hufanya yote.

Hayo ya kushtukiza shtukiza watu kwenye maofisi yao hayaongezi ufanisi ila kujenga hofu tu, unafaa uwe na uwezo wa kukusanya taarifa za utendaji kwenye kila nyanja bila ya wewe kuwavizia vizia ndani ya ofisi zao.

Hebu angalia hapa baadhi ya picha za rais Uhuru.

797263.jpg

uhuru_meat.jpg

uhuru-nyama.jpg

0fgjhs771rp55rein.a8bcaecb.jpg

maxresdefault.jpg

10.png

12970803_617580601726212_2581257943148753292_o.jpg

ef103ba46a3f259a7dca91c556f14fc8.jpg

Csx38EHXgAEC-Yt.jpg

1503420.jpg

u1.jpg

thumbnail.php
Huu ni muendelezo wa kutokubali ukweli na wivu, utawala wa Magufuli umefanikiwa sana tena sana, suprise visit ni njia muhimu katika ngazi zote za usimamizi duniani, tafuta tafiti ya twaweza ya hivi karibuni uone ni kwa kiasi gani ufanisi ulivyoongezeka tangu Magufuli ameingia madarakani, au wewe mwenyewe uje Tanzania utembelee ofisi za uma ujionee ni kwa kiasi gani watoa huduma walivyobadilika, waulize wanaotumia bandari ya Dar, watakuambia ni kwa kiasi gani mambo yalivyobadilika, lazima mkubali Magufuli ni kiongozi wa aina yake hapa Africa, jaribuni kuiga yale mazuri kwa faida ya nchi yenu.
Rais Magufuli is our hero mpende msipende
 
Anyway siwezi bisha kwa jinsi mlivyo mivivu labda kutawaliwa kwa kushtukizwa shtukizwa ndio njia ya pekee mnayoweza kufanya kazi. Lakini kwa waliozoea kujituma, sio lazima utembelewe na viongozi ndio ufanye kazi kwa ufanisi.
Kwa Kenya ni tofauti, leo hii rais akianza kufuata fuata watu maofisini tutamshangaa na kumshtumu hadi akome.
 
Point
 
Wakenya wanamsubilia kumzomea kwa kuchoma na kushikwa mifugo yao na Mh Lowassa ndani sasa tuone nani ananguvu ya Umma au ubabe wa kijinga MUGABE atazomewa kuanzi boder hadi Nairobi.wamasai sio wajinga kama ccm

Swissme
Mzomee msizomee mtatii sheria za Tanzania tu! Magunia 150 ya chai toka Kenya yametiwa kiberiti leo.
 
Anyway siwezi bisha kwa jinsi mlivyo mivivu labda kutawaliwa kwa kushtukizwa shtukizwa ndio njia ya pekee mnayoweza kufanya kazi. Lakini kwa waliozoea kujituma, sio lazima utembelewe na viongozi ndio ufanye kazi kwa ufanisi.
Kwa Kenya ni tofauti, leo hii rais akianza kufuata fuata watu maofisini tutamshangaa na kumshtumu hadi akome.
Ndiyo sababu rushwa, ukabila, mauaji ya kiholela na nepotism mumeshindwa kupambana navyo na vimekuwa ni identities ya Kenya, kama utawala wenu unaufanisi kwani tangu nchi yenu ijitawale imeshindwa kushughulika na hayo niliyotaja? hata sisi tulipokuwa na rais mzembe kama Uhuru Kenyatta mpenda safari za kila siku na mtu wa kuchekacheka na watu hovyo, rushwa ilikuwa inapanda kwa kasi sana, huyu amekuja ndani ya miaka miwili ameshusha rushwa toka 30% mpaka below 10% unataka ulinganishe na uongozi wenu ambapo rais alishakiri rushwa imemshinda?, acheni wivu na mkubali Magufuli ni mtu wa aina yake hapa Africa..acheni wivu wa kizamani, jifunzeni toka kwake nchi yenu itaangamizwa na rushwa.. ni wivu tu sio zaidi ya hapo.
 
Povu lililochanganyika na wivu, Magufuli ni maarufu sana Kenya, wakenya wengi wasio na wivu wanavutiwa sana na uongozi wake hasa katika kupambana na rushwa ambayo imewachosha wakenya walio wengi, wangependa siku moja wampate rais kama Magufuli ili apunguze rushwa ya Kenya
Hapa JF sijaona mkenya anayemtambua magufuri so sioni vipi wewe mtanzania unaweza sema kwa uhakika kuwa raisi wenu anatambulika na Wakenya. Wengi hapa Kenya wanafikiri Kikwete ndiye rais huko bongo.
 
Hata hapa JF wapo wanaopendezwa na Magufuli, ingia katika mitandao mbalimbali ya Kenya, sikiliza hotuba za wasomi mbalimbali wa Kenya, fuatilia interviews za TV za Kenya ndiyo utajua ni kwa jinsi gani anavyopendwa huko Kenye, ninajua hata wewe unafahamu hilo, ila unajisikia kukiri hapa JF, ukidhani utaonekana une surrender kwa watanzania[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mheshimiwa Rais Magufuli ambaye anatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta ni miongoni mwa viongozi raia wa Kenya wanapenda sana kumuona.
Kwa kipindi cha miaka 2 ya utawala wake nchini Tanzania wakenya wengi sana wamependa sana jinsi anavyopambana na Ufisadi.
Rais Uhuru Kenyatta majuzi alianza kufanya kazi kwa mtindo alioanza nao Rais Magufuli kwa kutembea kwa miguu kutoka Ikulu mpaka Wizara ya Fedha . Changamoto kubwa kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka huu ilikuwa Ufisadi.
We msungo nini
 
Hapa JF sijaona mkenya anayemtambua magufuri so sioni vipi wewe mtanzania unaweza sema kwa uhakika kuwa raisi wenu anatambulika na Wakenya. Wengi hapa Kenya wanafikiri Kikwete ndiye rais huko bongo.
WARAH: What our extravagant leaders can learn from President
Hata hapa JF wapo wanaopendezwa na Magufuli, ingia katika mitandao mbalimbali ya Kenya, sikiliza hotuba za wasomi mbalimbali wa Kenya, fuatilia interviews za TV za Kenya ndiyo utajua ni kwa jinsi gani anavyopendwa huko Kenye, ninajua hata wewe unafahamu hilo, ila unajisikia kukiri hapa JF, ukidhani utaonekana une surrender kwa watanzania[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Anyway siwezi bisha kwa jinsi mlivyo mivivu labda kutawaliwa kwa kushtukizwa shtukizwa ndio njia ya pekee mnayoweza kufanya kazi. Lakini kwa waliozoea kujituma, sio lazima utembelewe na viongozi ndio ufanye kazi kwa ufanisi.
Kwa Kenya ni tofauti, leo hii rais akianza kufuata fuata watu maofisini tutamshangaa na kumshtumu hadi akome.
Magufuli style earns international praise
 
Hapa JF sijaona mkenya anayemtambua magufuri so sioni vipi wewe mtanzania unaweza sema kwa uhakika kuwa raisi wenu anatambulika na Wakenya. Wengi hapa Kenya wanafikiri Kikwete ndiye rais huko bongo.
Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination
Bado unakataa kwamba wakenya hawampendi bulldozer?[emoji14]

Watu Mkuu ni wazushi wa kupindukia.
 
Back
Top Bottom