Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Huu ni muendelezo wa kutokubali ukweli na wivu, utawala wa Magufuli umefanikiwa sana tena sana, suprise visit ni njia muhimu katika ngazi zote za usimamizi duniani, tafuta tafiti ya twaweza ya hivi karibuni uone ni kwa kiasi gani ufanisi ulivyoongezeka tangu Magufuli ameingia madarakani, au wewe mwenyewe uje Tanzania utembelee ofisi za uma ujionee ni kwa kiasi gani watoa huduma walivyobadilika, waulize wanaotumia bandari ya Dar, watakuambia ni kwa kiasi gani mambo yalivyobadilika, lazima mkubali Magufuli ni kiongozi wa aina yake hapa Africa, jaribuni kuiga yale mazuri kwa faida ya nchi yenu.
Dunia gani hiyo? hebu toa na mifano, halaf sio ufanisi umeongezeka ni uoga ndo umeongezeka, sasa bandarini mizigo michache unaanzaje kuichelewesha?...
 
Kwa akili hizo, kamwe siwezi kukujibu
 
Ushahidi upi unataka weye? Huo ushahidi wako unaambiwa ni wa mwaka 47 lakini umeng’ang’ana tu!!! Fuatilia current events acha kuishi chini ya jiwe.

Kama unazungumza bila ushahidi, wakati unaona ninakuletea ushahidi, unategemea nitakuelewaje?
 
Mzomee msizomee mtatii sheria za Tanzania tu! Magunia 150 ya chai toka Kenya yametiwa kiberiti leo.
halaf na wew unatuabisha kwenye huu uwakilishi mataifa ya njee sasa ndo unamdoloshia kwa kuundeleza umasikin...
 
Akitia maguu naombea wafuasi wa odinga wawe wengi maana zomeazomea itatutia sana aibu wat jamaa nikati ya maajabu ya dunia kuwahi kutokea!!first presudent to have mental disability
 
Ushahidi upi unataka weye? Huo ushahidi wako unaambiwa ni wa mwaka 47 lakini umeng’ang’ana tu!!! Fuatilia current events acha kuishi chini ya jiwe.
Lete huo mpya, au ni kundi la Wema Sepetu na Zari?, udaku mwanzo mwisho, huyo Charity Ngilu alizungumza three weeks back, hizo mpya ziko wapi?
 
Wakenya wako humu wasome.

Halafu nimekushtukia unapata mkate wako kwa njia za magendo. Naomba Mungu zigo lako haramu likamatwe na litiwe kiberiti. Viva Magufuli...
 
Baada ya kukuthibitishia kwamba Magufuli anapendwa Kenya umeamua kutoka huko unajifanya unapotezea sio?, usiache kwenda kasarani kumuona Magufuli
Magufuli Effect Grabs Kenyan Imagination

Umenithibitishia kivipi, nilishakuambia huwa sifuati hayo malinks unarusha rushanga humu, inawezekana kuna watu wanaompenda Magufuli Kenya, hilo sipingi maana mwisho wa siku wanategemea vyombo vya habari kumsikia na kwa jinsi anapenda kuandamana na wana habari wakati anakatiza kwenye maofisi ili ashtukize, hivyo sifa kama hizo lazima zienee.

Pia kumbuka ile kwamba yeye ni swahiba wa Raila, hivyo ina maana wafuasi wa Raila automatically watakua wanamuwaza. Lakini kwa kiuhalisia, rais wa Kenya akithubutu hizo shtukiza za Magufuli ataishia kushutumiwa, eti kila siku rais unaamka ukiwaza wapi pa kushtukiza badala ya jinsi ya kuboresha sera za nchi.

Rais unafaa utumie muda wako mwingi kuzindua miradi na kuwaza jinsi ya kuboresha nchi yako ikiwemo kuipigia debe kwa wawekezaji kimataifa, lakini sio kila siku unakuna kichwa ukiwaza jinsi ya kugombana na watu wako kwa kutumia vyombo vya habari.
Watu wako kila siku hawajui utaamka na lipi, utatoa tamko lipi, hutabiriki, hueleweki, watu hawakusomi nini maono yako au unaipeleka wapi nchi, kila siku matamko yanayokinzana na ulichokisema jana. Kenya thubutu hilo uone hata hao wafuasi wa Raila ambao pia ni Wakenya, watakuanika na kukusulubisha kisiasa.
 
Subirini miaka mingine ya rais wenu mchovu kuzurura nchi za watu, more corruption, more tribalism, more hunger, more poverty, more extrajudicial killings, kwasababu mumeyazoea mnaona kwenu ni sawa tu, sisi huku hatujazoea rais mzembe kama Kikwete na Uhuru Kenyatta
 
Tunasubiri hatamu ya pili aunge reli hadi Uganda halafu akamilishe bandari ya Kisumu ili tuteke soko lote la usafiri. Tanzania Kaskazini na Kanda ziwa tutawateka kama rais Uhuru akiendelea kwa kasi aliyonayo. Amekwama na kuchelewa kidogo kwa usumbufu wa huyu swahiba wa rais wenu, lakini kila kitu kitarudi kwenye 'turbo gear' kama ilivyokua.
 
Umenithibitishia kivipi, nilishakuambia huwa sifuati hayo malinks unarusha rushanga humu, inawezekana kuna watu wanaompenda Magufuli Kenya, hilo sipingi maana mwisho wa siku wanategemea vyombo vya habari kumsikia na kwa jinsi anapenda kuandamana na wana habari wakati anakatiza kwenye maofisi ili ashtukize, hivyo sifa kama hizo lazima zienee.

Pia kumbuka ile kwamba yeye ni swahiba wa Raila, hivyo ina maana wafuasi wa Raila automatically watakua wanamuwaza. Lakini kwa kiuhalisia, rais wa Kenya akithubutu hizo shtukiza za Magufuli ataishia kushutumiwa, eti kila siku rais unaamka ukiwaza wapi pa kushtukiza badala ya jinsi ya kuboresha sera za nchi.

Rais unafaa utumie muda wako mwingi kuzindua miradi na kuwaza jinsi ya kuboresha nchi yako ikiwemo kuipigia debe kwa wawekezaji kimataifa, lakini sio kila siku unakuna kichwa ukiwaza jinsi ya kugombana na watu wako kwa kutumia vyombo vya habari.
Watu wako kila siku hawajui utaamka na lipi, utatoa tamko lipi, hutabiriki, hueleweki, watu hawakusomi nini maono yako au unaipeleka wapi nchi, kila siku matamko yanayokinzana na ulichokisema jana. Kenya thubutu hilo uone hata hao wafuasi wa Raila ambao pia ni Wakenya, watakuanika na kukusulubisha kisiasa.
I don't know why you always speak sense but i applaud your effort man
 
Tunasubiri hatamu ya pili aunge reli hadi Uganda halafu akamilishe bandari ya Kisumu ili tuteke soko lote la usafiri. Tanzania Kaskazini na Kanda ziwa tutawateka kama rais Uhuru akiendelea kwa kasi aliyonayo. Amekwama na kuchelewa kidogo kwa usumbufu wa huyu swahiba wa rais wenu, lakini kila kitu kitarudi kwenye 'turbo gear' kama ilivyokua.
Rushwa, ukabila, insecurity, hunger na poverty hamvizungumzii tena vimekuwa ni sehumu ya Kenyan identities kwa hiyo kipaumbele ni reli?
 
wakenya wanamsubiri nani kwa hamu? Pwahahahaha...hivi unajua ni marais wangapi watakua kwa hafla ile ama una kurupuka tu? pia watakuja marais wa dunia kama vile Netanyahu, rais wa israel na hata naskia rais wa Ujerumani amealikwa...sasa magu ndo nani bana?😀😀😀 pengine nikukosoe basi, Uncle Magu anatarajiwa Nairobi... sio kungojewa kwa hamu.anasubiriwa kama tu marais wengine walioalikwa..mambo ya hamu na ghamu utakuwa ni uongo mtupu kwani aje ama asije hamna nuksi...pengine ingekuwa ni Obama anakuja...hapo najua kungekuwa na hamu sana...Kagame, Museveni na kadhalika wanatarajiwa tu kama vile Magu...
Eti Netanyahu rais wa Israel: mbavu zangu mie .........! Kujifanya mjuaji wakati hujui kitu ni hasara kubwa.
 
Magufuli hatakuja huko Kenya ng'oo.
Anajua kabisa wakenya hammpendi na haziivi na Uhuru Kenyatta.
Yote kwa yote, kitendo cha Magufuli kuja kuhudhuria Kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kitakuwa ni usaliti dhidi ya Raula Odinga ambaye ni rafiki mkubwa wa Magufuli.
 
Acha upotoshaji mkuu!! Hataenda Kenya wewe ni mke wake!!!
Screenshot_2017-11-26-06-59-30.png
 
Magufuli hatakuja huko Kenya ng'oo.
Anajua kabisa wakenya hammpendi na haziivi na Uhuru Kenyatta.
Yote kwa yote, kitendo cha Magufuli kuja kuhudhuria Kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kitakuwa ni usaliti dhidi ya Raula Odinga ambaye ni rafiki mkubwa wa Magufuli.
We ndo msemaji wa ikulu jombaa
 
Hata hapa JF wapo wanaopendezwa na Magufuli, ingia katika mitandao mbalimbali ya Kenya, sikiliza hotuba za wasomi mbalimbali wa Kenya, fuatilia interviews za TV za Kenya ndiyo utajua ni kwa jinsi gani anavyopendwa huko Kenye, ninajua hata wewe unafahamu hilo, ila unajisikia kukiri hapa JF, ukidhani utaonekana une surrender kwa watanzania[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Weka evidence to support your imaginations and please don't quote news articles sijui the Nairobian they have a few following.
 
Back
Top Bottom