Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

joto la jiwe / ujinga Weka evidence to support your imaginations and please don't quote news articles sijui the Nairobian they have a few following you included.
Popular presidents in Kenya as follows;Most popular- Uhuru Kenyatta, Mugabe, Museveni, Kagame , Zuma Jacob, Salva Kiir, Nkurunziza and last and least Makufuli.
 
Wewe maziwa lala wapi Mugabe
 
Weka evidence zinazoonyesha kuwa hao ni popular, usitumie sources za wakikuyu please, Museven anawapiga kule Migingo, aliwanyang'anya pipeline mida ya jioni bado ni popular au mnamuogopa?
 
Hapana ham yao kubwa ni kumuona mtu alieuza mifugo yao bila kujali ujirani wala diplomasia lkn pia mtu ambae atashuhudia kumuona rais asiemtaka ndie ataeapishwa. lkn mkumbusheni sizo akamsalimie TL hospitalini najua haiko kwenye ratiba ila itamjengea walau imani kwa wa TZ.

Mbona wao walivunja sheria bila kujali ujirani!? Ficha ujinga wako!!!
 
Weka evidence zinazoonyesha kuwa hao ni popular, usitumie sources za wakikuyu please, Museven anawapiga kule Migingo, aliwanyang'anya pipeline mida ya jioni bado ni popular au mnamuogopa?
Being a Kenyan is evidence enough ni kama Mimi kujigamba vile Kagame au Museveni ni maarufu sana Tz wakati Mimi si mtanzania.
 
Wakenya wanamsubilia kumzomea kwa kuchoma na kushikwa mifugo yao na Mh Lowassa ndani sasa tuone nani ananguvu ya Umma au ubabe wa kijinga MUGABE atazomewa kuanzi boder hadi Nairobi.wamasai sio wajinga kama ccm

Swissme
Mjinga ni mtukana ovyo kama wewe hapa.
President magufuli anakwenda kutimiza protocol kama kiongozi wa nchi, hizi propaganda za kipumbavu hubakia kwa wapumbavu wenye nazo.
tapatalk_1511621201053.jpeg

Mwambieni huyu aache umugabe kwanza na ndio muanze kuyaona ya wenzenu.
Shame on you!
 
Hii dunia inaendashwa kwa uongozi wa aina ya Rais Magufuli kutoka Marekani,Saudi Arabia; Philippines etc wote style za leadership zao ni Magufulilazation. Rais Uhuru Kenyatta kwa shida aliyopata wakati wa uchaguzi mkuu na yeye pia atakuwa kama Rais Magufuli
 
Huwenda akaahirisha na kumtuma mwakilishi wake dakika za mwisho
 
Weka evidence zinazoonyesha kuwa hao ni popular, usitumie sources za wakikuyu please, Museven anawapiga kule Migingo, aliwanyang'anya pipeline mida ya jioni bado ni popular au mnamuogopa?
Kama uliona Uhuru akiapishwa 2013 pale Kasarani huezi puuza umaarufu wa M7 Kenya. Ngoja kesho kutwa utashuhudia mwenyewe akiingia uwanjani.
 
Hayo ni according to you, but all media throught Africa, Kenya included zinamtaja Magufuli kuwa the most popular president across Africa
 
Mjinga ni mtukana ovyo kama wewe hapa.
President magufuli anakwenda kutimiza protocol kama kiongozi wa nchi, hizi propaganda za kipumbavu hubakia kwa wapumbavu wenye nazo.View attachment 638107
Mwambieni huyu aache umugabe kwanza na ndio muanze kuyaona ya wenzenu.
Shame on you!
Go back to school Dude

Kwa kuwa sasa kumekuwa na wimbi la kuhama chama kimoja kwenda kingine, Ni vyema ashikilie uongozi kwanza kumpata mtu thabiti. Kwa muono wangu hata waliohama walikuwa wanaonekana kama candidate wazuri kwa hiyo nafasi. Angekabidhiwa mmojawapo si ndio chama kwishney. Wanaong'ang'ania aachie madaraka wanalao la moyoni ambalo halitaleta kasi ya maendeleo ya nchi tunayotarajia.

Hii ni kwa sababu upinzani Vs chama tawala ni muhimu kwa maendeleo ya nchi popote duniani zama hizi. Vinasaidia sana "kwenye check and balance" ya governance kuleta maendeleo.

Vinginevyo hamna haja ya kuwa na vyama vingi.
 
Back
Top Bottom