Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Rais Magufuli Asubiriwa Kwa Hamu Nairobi

Yeah!! Everybody was talking about Magufuli than Tanzania itself, actually was the trend in several African countries, there were some people who have no idea where Tanzania is but were praising Magufuli, simply because he devised a way of walking around with the media and paying surprise visits to you people in your offices.

Such PR exercises can be good for a short period, will earn you praises for a year or two, but since it has no notable or significant effect or improvement on efficacy, will wane slowly. No one sings about that hashtag anymore here in Kenya...
How about your poor tourist president, which country will start with to visit soon after inauguration?.. hopeless president ever to happen in EAC.
 
Magu yuko poa ataballance tu hiyo mbona..
hasipokwenda wakenya watajua hisia zake .Nashauri akwende tuu .
 
Anyway siwezi bisha kwa jinsi mlivyo mivivu labda kutawaliwa kwa kushtukizwa shtukizwa ndio njia ya pekee mnayoweza kufanya kazi. Lakini kwa waliozoea kujituma, sio lazima utembelewe na viongozi ndio ufanye kazi kwa ufanisi.
Kwa Kenya ni tofauti, leo hii rais akianza kufuata fuata watu maofisini tutamshangaa na kumshtumu hadi akome.
Kujituma kula rushwa na ufisadi[emoji15] [emoji15]

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Wampende kwa lipi? La kuwa dikteta uchwara kwa kudharau Bunge, katiba, mahakama, sheria za nchi na kujichotea pesa hazina kama zake bila idhini ya Bunge? Labda Wakenya wasiojitambua lakini wale wanaojitambua wanamuona kama dikteta uchwara mwingine kama M7, Kagame, Nkuruzinza, Mugabe etc.
Mkuu mie nakuambia kuna kitu unexpected kitatokea Kasarani. Kuna mtu atakapo tambulishwa atazomewa mbayaaa! Ukiliona hilo mapema uni tag tushirikiane "kuhuzunika"
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magufuli hatakuja huko Kenya ng'oo.
Anajua kabisa wakenya hammpendi na haziivi na Uhuru Kenyatta.
Yote kwa yote, kitendo cha Magufuli kuja kuhudhuria Kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta kitakuwa ni usaliti dhidi ya Raula Odinga ambaye ni rafiki mkubwa wa Magufuli.
Mkuu ndimu zinakuhusu sana mwaka huu...
 
wakenya wanamsubiri nani kwa hamu? Pwahahahaha...hivi unajua ni marais wangapi watakua kwa hafla ile ama una kurupuka tu? pia watakuja marais wa dunia kama vile Netanyahu, rais wa israel na hata naskia rais wa Ujerumani amealikwa...sasa magu ndo nani bana?😀😀😀 pengine nikukosoe basi, Uncle Magu anatarajiwa Nairobi... sio kungojewa kwa hamu.anasubiriwa kama tu marais wengine walioalikwa..mambo ya hamu na ghamu utakuwa ni uongo mtupu kwani aje ama asije hamna nuksi...pengine ingekuwa ni Obama anakuja...hapo najua kungekuwa na hamu sana...Kagame, Museveni na kadhalika wanatarajiwa tu kama vile Magu...
Umesema Netanyahu ni Rais wa Israel?
 
Back
Top Bottom