Rais Magufuli atabiri anguko kuu la Chama Cha Mapinduzi

Rais Magufuli atabiri anguko kuu la Chama Cha Mapinduzi

CCM ishaanguka kitambo sana, kwa sasa imejishikiza kwenye dola ili ku survice mawimbi makali ya kisiasa yaliyopo sasa.
 
CCM
inaweza kupoteza dola iwapo viongozi wake watajisahau na kuongoza kwa
mazoea bila kukidhi mahitaji na matarajio ya
wananchi.
 
Hilo angalizo la Magufuli ni la kweli kabisa, maana anaona anayofanya yeye na kufanya siasa pekee yake lakini bado watu hawakujitokeza kujiandikisha kupiga kura. Sasa anajiuliza iwapo atatokea kiongozi mwingine wa ccm aruhusu demokrasia na kisha asifanye kama afanyavyo yeye, ccm itakuwa na hali gani? Katika kipindi Magufuli amejuwa fika kuwa ccm haikubaliki na wananchi ni hiki kitendo cha watu kususia kupiga kura, yeye alitarajia watu watakuwa wengi sana maana anasema wameona maendeleo kwa macho, lakini wapi.
 
Think tank ya ccm ni vichaa tu tena wavuta bangi !kwa miaka yote hiyo nguvu wanayotumia kushika dola wangetengeneza vyama mbadala vya kupokezana na ccm si wangekuwa na siasa za maana tena za maendeleo!mi sidhani kama ccm ni mzimu wa babu ambao unaweza mlaani mtu!!!
 
CCM
inaweza kupoteza dola iwapo viongozi wake watajisahau na kuongoza kwa
mazoea bila kukidhi mahitaji na matarajio ya
wananchi.
Hii sio kweli. Ccm inabebwa na dola, mengi wanayofanya sio kwa manufaa ya wananchi ambao wamechoka nao.
 
Back
Top Bottom