Uchaguzi 2020 Rais Magufuli atakavyowageuka CCM, Ndugai hatarudi, nawaambia mnielewe!

Apatea ajali kutokana na starehe zake aagize misukule yake isingizie serikali afu useme hajawahi kumattack Magufuli!? Serikali inajiongoza enh? hizi mambo zinachukiza sana.
Weka ushahidi. Maneno maneno meeengiiiiiii!
 
Aisee hongera, Umeandika vizuri sana.

Ndugai anafanya kazi ya kujipendekeza, sasa bahati mbaya hajui anatakiwa kuifanya hiyo kazi kwa kiwango gani. Ndio maana tunamuona kila siku akifanya mambo ya ajabu na aibu bila wasiwasi wowote.

Ni ajabu sana mwanaume kumtumikia mwanaume mwenzio kwa kiwango anachoonesha Ndugai, hakika ataacha historia mbaya sana.

Alichomfanyia yule Mbunge wa CDM jana bungeni, hukumu iko juu yake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nacheka tu na harakat za chadema
 
Magufuli ni kiongozi msomi na mwenye maono ya mbali sasa.

Sasa hawezi kukubali kufanya kazi na watu wafupi kiupeo sampuli ya Ndugai
 
Chadema acheni kuweweseka bwana
Mkubali kuanza upya tu mwaka huu mnatoka na sifuri

Ya Ccm waachieni wenyewe
Ni wewe unaetaka pesa za chadema zirudishwe, wewe zinakuhusu kivipi. Watu kama wewe hamfai kabisa maana hupendi mapatano unataka chuki iendelee
 
Aisee hongera, Umeandika vizuri sana.

Ndugai anafanya kazi ya kujipendekeza, sasa bahati mbaya hajui anatakiwa kuifanya hiyo kazi kwa kiwango gani. Ndio maana tunamuona kila siku akifanya mambo ya ajabu na aibu bila wasiwasi wowote.

Ni ajabu sana mwanaume kumtumikia mwanaume mwenzio kwa kiwango anachoonesha Ndugai, hakika ataacha historia mbaya sana.

Alichomfanyia yule Mbunge wa CDM jana bungeni, hukumu iko juu yake.
Njema kama umeona!
 
Hakuna mgombea urais anayeweza kuwatosa wabunge wa chama chake, ccm wamepitisha mambo mengi hata yasiyo na tija kutokana na wingi wao.Ni vema ukarudia utafiti wako kwanza kabla ya kuandika.
 
Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha mnamalizana. Kwangu mimi ukisikiliza sana wote walio upinzani utagundua hata Mbowe mwenyewe hajawahi kumshambulia JPM personally kama JPM bali mara chache huongelea taasisi ya URais - hivyo basi nina uhakika JPM hamchukii Mbowe kivile kama Ndugai na wafuasi wake vigeugeu kama akina Silinde na Juakali wanavyoamini. Mbowe ni mwanasiasa anayefanya siasa za kistaarabu na anajua kuna maisha pia baada ya siasa - pamoja na kuonewa kote kule. Jeshi la Polisi pia limeonesha uonezi wa waziwazi jana baada ya kutoa taarifa ya HOVYO kuliko zote ambazo wamewahi kuzitoa wakiunda maneno ya akina Ndugai, Silinde na Juakali kuwa taarifa ya Polisi. Ukweli wananchi tunaangalia tu.

Kina Silinde , Juakali na Team Jipendekeza wamejenga chuki kubwa sana miongoni mwa wanasiasa. Wameonesha ni vigeu geu sana. Wenzao wameitwa TAKUKURU kwa sababu yao. Hebu tutafute tu kwa ukweli wa mioyo yetu ni kitu gani kibaya Mbowe binafsi au CHADEMA waliwatenda hao watu? Uamuzi wa kuwazuia wasiingie bungeni ndiyo kweli umeleta mambo yote hayo? Hata kama ulikuwa ni uamuzi mbaya ndiyo kweli ulete maneno yote yale? Kweli? Ninaamini leo hii hata watoto wao hawawezi kuja jivunia yale waliyokuwa wakiyasema hawa watu pale bungeni - tena kulia lia kwa Juakali ndiyo hovyo kabisa!

Kikubwa ninachoweza kuwahakikishia mijadala hiyo kwa JPM najua hajaichukulia kivilee kama wanavyofikiri. Uropokaji wa Ndugai akiungwa mkono na hao watu tayari umeshamfadhaisha mno Magu. Ameshaona hawa mabwana wamefanya kuliko vile ilivyotarajiwa, wamezidisha chumvi. Ndugai ana maagizo ya kudhibiti upinzani lakini sio kuangamiza upinzani. Ana maagizo ya kuwafanya wapinzani wampende JPM lakini sio kuwaongezea chuki zaidi dhidi ya JPM. Ukweli JPM hapendi kuchukiwa au kupingwa lakini hata wale wanaompinga iwapo wanampinga kwa upendo yeye hana tatizo kabisa. Kina Ndugai wamesababisha baadhi ya wapinzani wampinge JPM kwa nguvu sababu ya kuchochewa naye kama Spika na watu kama kina Silinde na akina Mollel sijui. Hawa watu waliotoka upinzani wamezidi kiwango cha maagizo. Na hawa waliohama juzi ndiyo wametumia nguvu zaidi bila kujua kuwa wanajichora tu na hawatapata kitu tena CCM - ndiyo kwishney hao!

Wakati wa Kampeni JPM anajua tayari anazo kura za CCM baadhi hivyo atazitaka kura za wapinzani. Kumbuka hapendi kutopendwa na atataka awapendezeshe hao ambao ni wachache wanaompinga ambao ni upinzani. JPM ataomba kura zao dhidi ya Tundu Lisu, Zito Kabwe au mwingine yeyote atayewekwa na upinzani. Atajisimamia mwenyewe ataona heri yeye apate kura nyingi kuliko hata wabunge wake. Mwaka 2015 kama mtakumbuka aliomba kura za wapinzani. Mwaka huu atafanya zaidi kwa sababu hana cha kupoteza - ni muda wake wa mwisho huu - atakuwa makini sehemu ambazo zina upinzani sana atajishusha apate kura zao. JPM ni mtu wa mahesabu, anajua atafanya nini.

Magufuli kishaona wanaomhariabia ni waliomo ndani ya CCM kwenyewe - Ndugai anamharibia sana. Mfano jana alivyoshindwa kabisa kumlinda yule mbunge Yosepha Komba. Yaani uonevu wa wazi wazi. JPM hata yeye kama kaangalia kamjadala kale nina uhakika ameona Ndugai alivyofanya uonevu. Yule mbunge ni kweli kaonewa sana sana. Nina uhakika pengine walimdharau ama kwa umri wake ama kwa kuwa ni wa upinzani. Ndugai ama haelewei kama ana nguvu kubwa sana ama hajiamini km bado hajampendezesha Rais kwa hiyo anazidi kuua tu mende kwa bunduki. Hayupo rational hata kidogo. Kessy alivyoongea kuhusu Rais kuongezewa muda Ndugai akaruka ruka na kumhakikishia kuwa hiyo hoja ailete bunge lijalo la 12. Kazi kweli kweli! Kessy mwenyewe hatarudi tena. Mtaniambia!

Kwa hekima za JPM najua ataacha mambo yaende kama kawaida, amemhakikishia Ndugai ubunge lakini kwenye USpika nina uhakika Ndugai harudi na kwenye ubunge nina uhakika Lijuakali na Silinde hawarudi. Watabaki makapi very soon. Kwenye ubunge Mbowe atarudi akiwa imara zaidi na ninaamini kuna maajabu Rais atayafanya CCM hawataamini. Wananchi wake hata kama ni wapinzani wake kisiasa Rais anawafahamu kuwa hawana roho mbaya kama ambayo Ndugai na vibaraka wake wanataka kuonesha. Rais anachukua sana ushauri wa wapinzani na kusikiliza mijadala yao na kuifanyia kazi na anajua anayafanya yale mema ya upinzani na ndiyo yanamfanya apendwe zaidi na kuonekana anafanya vizuri. Hachukii upinzani kama Ndugai na watendaji wengine wa Serikali wanavyofikiri

Karibuni Idukilo tunywe kahawa Kijiweni!
Hili andika halijaacha kitu kwenye siasa za nchi hii..huenda mimi nikalichagua kuwa andiko bora kuwahi kutokea toka 2019-2020.
 
Zee zima , toka lizaliwe 1977 hadi leo linabebwa kwenye mbeleko, lioga na lina lilia nyonyo hadi leo.
Chadema acheni kuweweseka bwana. Mkubali kuanza upya tu mwaka huu mnatoka na sifuri

Ya CCM waachieni wenyewe
 
Kaifanyia Nini Hai Ndio Swali Atakalo Jibu.. Wenyewe wanasema Awajibu tu...
Ndugai asirudi kwenye USpika! Wewe una Phd ya nini hadi usielewe hapo?
Bashite ndo atakuwa speaker.
Jiwe amekuwa kikaragosi kabisa kwa kukubali haya yanayoendelea kweli kama alivyosema Odinga, "....nafikiri hashauriwi vizuri", ni kweli mno.
 
Ninavyomjua Dkt. JPM ni mtu mwenye huruma na pia hupenda kupendwa na kusifiwa. Magufuli hapendi atokeze mtu hata mmoja ambaye huonesha kutopendezwa naye. Ndiyo maana ukimwomba msamaha mnamalizana. Kwangu mimi ukisikiliza sana wote walio upinzani utagundua hata Mbowe mwenyewe hajawahi kumshambulia JPM personally kama JPM bali mara chache huongelea taasisi ya URais - hivyo basi nina uhakika JPM hamchukii Mbowe kivile kama Ndugai na wafuasi wake vigeugeu kama akina Silinde na Juakali wanavyoamini. Mbowe ni mwanasiasa anayefanya siasa za kistaarabu na anajua kuna maisha pia baada ya siasa - pamoja na kuonewa kote kule. Jeshi la Polisi pia limeonesha uonezi wa waziwazi jana baada ya kutoa taarifa ya HOVYO kuliko zote ambazo wamewahi kuzitoa wakiunda maneno ya akina Ndugai, Silinde na Juakali kuwa taarifa ya Polisi. Ukweli wananchi tunaangalia tu.

Kina Silinde , Juakali na Team Jipendekeza wamejenga chuki kubwa sana miongoni mwa wanasiasa. Wameonesha ni vigeu geu sana. Wenzao wameitwa TAKUKURU kwa sababu yao. Hebu tutafute tu kwa ukweli wa mioyo yetu ni kitu gani kibaya Mbowe binafsi au CHADEMA waliwatenda hao watu? Uamuzi wa kuwazuia wasiingie bungeni ndiyo kweli umeleta mambo yote hayo? Hata kama ulikuwa ni uamuzi mbaya ndiyo kweli ulete maneno yote yale? Kweli? Ninaamini leo hii hata watoto wao hawawezi kuja jivunia yale waliyokuwa wakiyasema hawa watu pale bungeni - tena kulia lia kwa Juakali ndiyo hovyo kabisa!

Kikubwa ninachoweza kuwahakikishia mijadala hiyo kwa JPM najua hajaichukulia kivilee kama wanavyofikiri. Uropokaji wa Ndugai akiungwa mkono na hao watu tayari umeshamfadhaisha mno Magu. Ameshaona hawa mabwana wamefanya kuliko vile ilivyotarajiwa, wamezidisha chumvi. Ndugai ana maagizo ya kudhibiti upinzani lakini sio kuangamiza upinzani. Ana maagizo ya kuwafanya wapinzani wampende JPM lakini sio kuwaongezea chuki zaidi dhidi ya JPM. Ukweli JPM hapendi kuchukiwa au kupingwa lakini hata wale wanaompinga iwapo wanampinga kwa upendo yeye hana tatizo kabisa. Kina Ndugai wamesababisha baadhi ya wapinzani wampinge JPM kwa nguvu sababu ya kuchochewa naye kama Spika na watu kama kina Silinde na akina Mollel sijui. Hawa watu waliotoka upinzani wamezidi kiwango cha maagizo. Na hawa waliohama juzi ndiyo wametumia nguvu zaidi bila kujua kuwa wanajichora tu na hawatapata kitu tena CCM - ndiyo kwishney hao!

Wakati wa Kampeni JPM anajua tayari anazo kura za CCM baadhi hivyo atazitaka kura za wapinzani. Kumbuka hapendi kutopendwa na atataka awapendezeshe hao ambao ni wachache wanaompinga ambao ni upinzani. JPM ataomba kura zao dhidi ya Tundu Lisu, Zito Kabwe au mwingine yeyote atayewekwa na upinzani. Atajisimamia mwenyewe ataona heri yeye apate kura nyingi kuliko hata wabunge wake. Mwaka 2015 kama mtakumbuka aliomba kura za wapinzani. Mwaka huu atafanya zaidi kwa sababu hana cha kupoteza - ni muda wake wa mwisho huu - atakuwa makini sehemu ambazo zina upinzani sana atajishusha apate kura zao. JPM ni mtu wa mahesabu, anajua atafanya nini.

Magufuli kishaona wanaomhariabia ni waliomo ndani ya CCM kwenyewe - Ndugai anamharibia sana. Mfano jana alivyoshindwa kabisa kumlinda yule mbunge Yosepha Komba. Yaani uonevu wa wazi wazi. JPM hata yeye kama kaangalia kamjadala kale nina uhakika ameona Ndugai alivyofanya uonevu. Yule mbunge ni kweli kaonewa sana sana. Nina uhakika pengine walimdharau ama kwa umri wake ama kwa kuwa ni wa upinzani. Ndugai ama haelewei kama ana nguvu kubwa sana ama hajiamini km bado hajampendezesha Rais kwa hiyo anazidi kuua tu mende kwa bunduki. Hayupo rational hata kidogo. Kessy alivyoongea kuhusu Rais kuongezewa muda Ndugai akaruka ruka na kumhakikishia kuwa hiyo hoja ailete bunge lijalo la 12. Kazi kweli kweli! Kessy mwenyewe hatarudi tena. Mtaniambia!

Kwa hekima za JPM najua ataacha mambo yaende kama kawaida, amemhakikishia Ndugai ubunge lakini kwenye USpika nina uhakika Ndugai harudi na kwenye ubunge nina uhakika Lijuakali na Silinde hawarudi. Watabaki makapi very soon. Kwenye ubunge Mbowe atarudi akiwa imara zaidi na ninaamini kuna maajabu Rais atayafanya CCM hawataamini. Wananchi wake hata kama ni wapinzani wake kisiasa Rais anawafahamu kuwa hawana roho mbaya kama ambayo Ndugai na vibaraka wake wanataka kuonesha. Rais anachukua sana ushauri wa wapinzani na kusikiliza mijadala yao na kuifanyia kazi na anajua anayafanya yale mema ya upinzani na ndiyo yanamfanya apendwe zaidi na kuonekana anafanya vizuri. Hachukii upinzani kama Ndugai na watendaji wengine wa Serikali wanavyofikiri

Karibuni Idukilo tunywe kahawa Kijiweni!
Job hawezi kurudi kwa sabau ya gonjwa sugu linalo msumbua na system inajua kwa ufupi Jiwe kachoka kulipia gharama za kubadilisha damu mara kwa mara SA.....chezea 'ngoma'' wewe....
 
Kama Ndugai harudi,utakuwa uamuzi wa busara mno kuwahi kufanyika.
 
Back
Top Bottom