Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Alivyokuwa akiuwa waafrika wenzake hakujua ni vizuri kujaliana.? Tuache unafiki wakati yuko hai kila Jambo baya utasikia "acha ukurunziza" Sasa kafa ndo awe mzuri?Ni vizuri kujaliana,,africa ni moja
Wakimbizi wamejaa kigoma kutokana na Nkurunziza kuwashambulia 2015 aking'ang'ania madaraka. Akaua zaidi ya 1200 na zaidi ya 40000 kukimbilia kigoma na kwingineko.
Nadhani ni wakati haya madikteta wakifa tuongeze urefu wa milingoti ili viongozi wenye tabia hizi wapate somo.
Sent using Jamii Forums mobile app