Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

She blundered big time, pure and simple!
 

Irene Isaka of the embattled SSRA is finally fired. The lousy lady will now be assigned low profile duties. Deputy Permanent Secretary perhaps. Happy Christmas dear Irene. It was your last as DG!!!

Some of workers under her, had silly answers to ex-employees regarding the despicable mafao regulations.
Scapegoat or not, she is out. Goooo ...go
 
BAVICHAA MPAKA ASUBUHI MTAKUWA MMESHAJAZA HUU UZI KWA ZAIDI YA 700 COMMENTS, AMBAVYO HUWA MNARUKWA SANA NA AKILI KUHUSU MADA ZA KIJINGA KAMA NGONO, KUTETEA MASHOGA NA KUSHABIKIA NYIMBO ZA KI-FREEMASONS ZA YULE PUNGUWANI WENU ALIYEFUNGIWA SHOO ZA MZIKI NA BASATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I know and was disappointed to see addressing employees outcry as 'kelele, kelele'. I was 🤬🤬.
However, I didnt expect her to be fired. Anyway, we all learn from mistakes.
Probably she did not gauge the social impact of her decisions and the underlying political sentiments.
Some social benefits members from Rungwe, were to the point, she made them nauseate!
She just did not get it!
 
Hiyo lugha haina staha mkuu
 
Falsafa ya akijamba baba wakati mumekaa kwenye kundi la watu mtoto ndo anasimama na kuomba radhi kwa kujamba inaendelea kutamalaki awamu hii.Viva JPM,poleni wachumia tumbo,wazee wa kupongeza juhudi na viherehere wengine,muendelee kunyooshwa ili akili ziwakae sawa mjue kuwa unafiki huwa hauna Mwisho mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria haijazungumzia kikokotoo hicho kilicholeta taharuki. Nyie vijana wa mtaa wa ufipa mnayo matatizo ya uelewe. Mnakurupuka sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha ujinga wewe, sheria yenye nia ovu ndio iliweka mazingira ya kanuni kutenda uovu. Toka mwanzo hiyo sheria ilipigiwa kelele na wapinzani, kilichofanywa na kanuni ndio ilikuwa lengo la hiyo sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…