Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,566
Reaction score
4,013
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba

Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Gabriel Pascal Malata

photo_2020-07-10_08-55-24.jpg
 
Jamaa naye anataka ubunge au, kama anautaka ubunge ina ni kazi nzuri kuliko kazi yoyote ile.
 
Wanasiasa hawataki kabisa Watumishi weledi na Wasomi wakawe Wabunge ili waendelee kutawala!
 
ndio safi huwezi hudumu ofisi moja mpaka uote mizizi pia hupunguza ufanisi watu wakishajua udhaifu wako!
 
Analofanya Magufuli sasa linaweza kuwa ni jambo jema. Zamani mtu alikuwa anatia nia, then anaendesha rafu zake huku akitumia rasilimali za serikali (gari, mafuta, per diem, muda) mpaka anapitishwa. Then eti ndio anaomba likizo.

Sasa hivi kama ni “mteuliwa” na unataka kutia nia, unawekwa kando kwanza ukapambane kivyako
 
Back
Top Bottom