Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

Hahaha jamaa alikuaga ana disi sana masomo anayoyafundisha i.e refugee law etc..shukrani zimuendee kabudi..amewatoa kimasomaso kitivo
Mashamba kutwa kumponda Mange Kimambi darasani πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Gambo sijuitgang alilijua hili!
 
ndio safi huwezi hudumu ofisi moja mpaka uote mizizi pia hupunguza ufanisi watu wakishajua udhaifu wako!
Ndugu Zangu
Ninao Wateua Waridhike Na Nafasi Ninazowapa Hauwezi Kuwa Na Kila Kitu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…