Rais Magufuli atoa agizo kuhusu ujenzi wa Hospitali Chamwino

elivina shambuni

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
461
Reaction score
295
1574487648930.png

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA).

Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo utakaogharimu Sh3.4 bilioni huku akimtaka Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwaweka mahabusu wataalamu wa TBA watakaochelewesha ujenzi huo.

“Hizi hela zimetoka siku nyingi maendeleo ya kazi hayaridhishi nasema kweli au uongo?” amehoji Magufuli huku akisema awali zilitolewa Dola 1000 za Marekani sawa na Sh2.4 bilioni huku Hazina kukiwa na salio la Sh995 milioni.

Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema awali ujenzi huo ulitolewa kwa TBA lakini walikuja na makisio ya Sh6 bilioni kiasi alichosema ni kikubwa kuliko makisio ya Serikali.

“Sasa hospitali za wilaya tunaweka Sh1.5 bilioni, hapa maana yake ni kama hospitali mbili na nusu. Vituo vya afya tunatumia Sh500 milioni na panakuwa na majengo matano hadi sita. Kwa nini hapa eneo moja iwe Sh6 bilioni.”

“Sasa kwa sababu mmenikaribisha kuweka jiwe la msingi na mimi mwenyewe niko hapa hata nikiwa nafanya mazoezi tutajuana vizuri. Kwa nini mlichelewesha ujenzi,” amesema Magufuli.
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi
 
Hongera kwa kuwa wa kwanza kucomment, tena +vely! Pamoja tujenge nchi yetu
 
View attachment 1269784

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA).

Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo utakaogharimu Sh3.4 bilioni huku akimtaka Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwaweka mahabusu wataalamu wa TBA watakaochelewesha ujenzi huo.

“Hizi hela zimetoka siku nyingi maendeleo ya kazi hayaridhishi nasema kweli au uongo?” amehoji Magufuli huku akisema awali zilitolewa Dola 1000 za Marekani sawa na Sh2.4 bilioni huku Hazina kukiwa na salio la Sh995 milioni.

Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema awali ujenzi huo ulitolewa kwa TBA lakini walikuja na makisio ya Sh6 bilioni kiasi alichosema ni kikubwa kuliko makisio ya Serikali.

“Sasa hospitali za wilaya tunaweka Sh1.5 bilioni, hapa maana yake ni kama hospitali mbili na nusu. Vituo vya afya tunatumia Sh500 milioni na panakuwa na majengo matano hadi sita. Kwa nini hapa eneo moja iwe Sh6 bilioni.”

“Sasa kwa sababu mmenikaribisha kuweka jiwe la msingi na mimi mwenyewe niko hapa hata nikiwa nafanya mazoezi tutajuana vizuri. Kwa nini mlichelewesha ujenzi,” amesema Magufuli.
Siku hizi hamna kutumbua kama siku za nyuma kwasabb watu ni wale wale wapigaji tu.....makisio ya bn 6 wakati ingepaswa kua bn 2.4 huo ni zaidi ya upigaji awamu hi wanao fanikiwa kupiga wanapiga kweli kweli kuanzia billion paka Trion.
 
Dollar 1000 ni Sawa na 2.4b???? Pumbavu kweli
View attachment 1269784

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospitali ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma na kukosoa ushauri uliotolewa na Wakala wa Majengo nchini (TBA).

Ametoa kauli hiyo leo baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo utakaogharimu Sh3.4 bilioni huku akimtaka Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwaweka mahabusu wataalamu wa TBA watakaochelewesha ujenzi huo.

“Hizi hela zimetoka siku nyingi maendeleo ya kazi hayaridhishi nasema kweli au uongo?” amehoji Magufuli huku akisema awali zilitolewa Dola 1000 za Marekani sawa na Sh2.4 bilioni huku Hazina kukiwa na salio la Sh995 milioni.

Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema awali ujenzi huo ulitolewa kwa TBA lakini walikuja na makisio ya Sh6 bilioni kiasi alichosema ni kikubwa kuliko makisio ya Serikali.

“Sasa hospitali za wilaya tunaweka Sh1.5 bilioni, hapa maana yake ni kama hospitali mbili na nusu. Vituo vya afya tunatumia Sh500 milioni na panakuwa na majengo matano hadi sita. Kwa nini hapa eneo moja iwe Sh6 bilioni.”

“Sasa kwa sababu mmenikaribisha kuweka jiwe la msingi na mimi mwenyewe niko hapa hata nikiwa nafanya mazoezi tutajuana vizuri. Kwa nini mlichelewesha ujenzi,” amesema Magufuli.
 
Jiwe anazingua sana kuna kila dalili yey ndo mpigaji sasa kama wataalam wamekadiria 6Bil yeye anasema 3Bill kuna shida sehem.... Ni yale yale ya kujenga hosptal bila LIFT.
 
Hospitali isipokuwa na lift je wagonjwa wasiojiweza na walemavu. Na hilo ni takwa la kisheria baada ya kupitishwa na bunge majengo ambayo ni 'Public'.

Pia hakujua kama Ikulu kuna lift au huenda hakuambiwa labda kwa sababu za kiusalama, alionekana kushangaa lakini huenda sio jambi zuri kuelezea Ikulu ya Rais kwenye open source namna ile. Uwezo wa akili ni sifa muhimu sana

Watu wa Public hawafika humu?
 
Back
Top Bottom