Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Mataga bwana. Sasa mbona mimi ni mtanzania na hajaniwakilisha!Katuwakilisha Watanzania wote. Pole mzee Sungwa. Kufiwa na mtoto ni topic nyingine. Kufiwa na Mke na Mtoto siwezi imagine.
Culture!Anko magu Leo kavaa nini mkononi,sio hirizi kweli ile?
Heee kaanza lini huyu mskuma mwenzako...au anamuiga UhuruCulture!
Heee kaanza lini huyu mskuma mwenzako...au anamuiga Uhuru
Inaitwa faith bracelet kama hiyo aliyo vaa prophet TB Joshua. hirizi haiwekwi hadharani inamaeneo yake.Anko magu Leo kavaa nini mkononi,sio hirizi kweli ile?
60 years ndo anakumbuka ujana,kashachelewaAnaiga vitu vya ujana[emoji1787]!
Halafu nimechunguza anko magu ana pea moja ya travota na anavaa hizohizo kila sehemu,
Jumapili chamwino Dom alivaa hivyo viatu
Leta hoja...na sio kutoa majibu mepesii,hizo travota ni hizo hizo kila mahaliMkuu unachekesha ila usiishi kwa kukariri
Ndiyo Nani huyoTupeni stry imekuwaje...walikifa lin?umri hup kufiwa na mke ni kawaida...sio kawaida umri km Gambo afiwe na mke!ila ni kawaida Kabudi afiwe[emoji28]!just saying
Kweli kabisa, mzee huyu kipindi cha utawala wake hapo (m/kiti)kijijini jeshi lake la sungusungu lilikuwa vizuri huenda ameenda kujifunza mbinu za kijeshi. Hongera zako mzee sugwa uliacha ualimu na kuwa mwanasiasa na ukakomesha ujambazi hapo katende.Amefanya jambo jema kusalimia majirani wa zamani.