Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
Hii nayo ni habari?
I am equally surprised, upumbavu wawatz unaenda next level
Hii nayo ni habari?
Basi hiyo inatakiwa itupwe kwani bila kuivaa hiyo itakuwaje. Kama ya muhimu sana si zingeletwa dsm nyingi tuvae woteInaitwa faith bracelet kama hiyo aliyo vaa prophet TB Joshua. hirizi haiwekwi hadharani inamaeneo yake.View attachment 1277277
Inaonekana hivyo si yupo maeneo ya nyumbani?Anko magu Leo kavaa nini mkononi,sio hirizi kweli ile?
Acha kutukana watu kijanaNenda utoe pole,,rais kaenda kwa niaba yake,huu ni ujinga sasa