Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Duh!
kelvinlewisKazingua asee kwa kauli hii simpend had kufa mbaguz tu
yaani huyu Bwege kweli bwege. we ilisikia wapi? 😆😆😆
Magufuri ni rais wa hovyo hovyo sana .. nadhani ana laana ya wazazi ..ni mbaguzi wa kikanda kikabila kisiasa na kidini ..yaani sijui kwnn m/mungu asimtwae huyu mtu ..mtesaji , mtekaji na ni muuaji ...anaongea bila staha , hv zawadi ya kuku inakufanya umdhihaki mzazi wako??? Unamtafutia mume mama yako mzazi?? Daaah weee corona kwnn unaupendeleo?? Umemchukua nkurunziza lkn kwnn umemuacha John msumbufu?? Tutolee na huyu kabla ya October ...aseeee
Hahaaaaaa......... 😁 😀Magufuri ni rais wa hovyo hovyo sana .. nadhani ana laana ya wazazi ..ni mbaguzi wa kikanda kikabila kisiasa na kidini ..yaani sijui kwnn m/mungu asimtwae huyu mtu ..mtesaji , mtekaji na ni muuaji ...anaongea bila staha , hv zawadi ya kuku inakufanya umdhihaki mzazi wako??? Unamtafutia mume mama yako mzazi?? Daaah weee corona kwnn unaupendeleo?? Umemchukua nkurunziza lkn kwnn umemuacha John msumbufu?? Tutolee na huyu kabla ya October ...aseeee
Kwanza ctak ata kumuona kabsa nilikuwa namkubali sana akin nooDuh!
Ndo maana CCM wanasema wanataka Kampeni za aina flani.....
Kampeni zikianza tutasikia zaidi ya Haya.
Maendeleo yanavyama. Hii ni aibu yake. Latiba ndio iliyeta vyama. Vyama haviwanyanganyi wanachama haki yao kwa serikali. Wapiga jura wanachagua mtu. Anaweza kuwa wa chama chochote cha siasa. Asiyejua haya asaidiwe elimuMuheshimiwa rais ulisema kwa kauli yako ata mwenyewe nayo kumbukumbu iyo kwamba ukisema maendeleo hayana chama Leo unawakataa walipa kodi wako kwamba stend ajenge walio mchagua imaana hii imenipa pcha moja ambayo n ya ukweli kwamba hawa uliwafanyia makusudi tu sina imani tena na wewe View attachment 1523139
Hafai kuwa rais kwa maneno kama haya kwa walipa kodi wakeMagufuri ni rais wa hovyo hovyo sana .. nadhani ana laana ya wazazi ..ni mbaguzi wa kikanda kikabila kisiasa na kidini ..yaani sijui kwnn m/mungu asimtwae huyu mtu ..mtesaji , mtekaji na ni muuaji ...anaongea bila staha , hv zawadi ya kuku inakufanya umdhihaki mzazi wako??? Unamtafutia mume mama yako mzazi?? Daaah weee corona kwnn unaupendeleo?? Umemchukua nkurunziza lkn kwnn umemuacha John msumbufu?? Tutolee na huyu kabla ya October ...aseeee
Ukiwa kama kiongozi wa mwisho wa nchi hupaswi kuongea maneno kama haya kwa mwananchi wako kwani hii inaonyesha jinsi gani alivokuwa na donge nao hao watu wa kilwaMaendeleo yanavyama. Hii ni aibu yake. Latiba ndio iliyeta vyama. Vyama haviwanyanganyi wanachama haki yao kwa serikali. Wapiga jura wanachagua mtu. Anaweza kuwa wa chama chochote cha siasa. Asiyejua haya asaidiwe elimu
Sio ulivyokuwa na donge. Inaonesha ni kwa jinsi gani ulivyo na roho mbaya tena kwa wananchi wakoUkiwa kama kiongozi wa mwisho wa nchi hupaswi kuongea maneno kama haya kwa mwananchi wako kwani hii inaonyesha jinsi gani alivokuwa na donge nao hao watu wa kilwa
Uyu jamaa kajipanga sana kurudi katika kumalizia miaka mitano yake sidhani kama anaweza kufeli kushinda mkuu na kama akishindwa mapema natafuta chaka LA kwenda coz watu watakula malungu mpaka waombe pooo dadekiCCM wana kazi kubwa sana mwaka huu. Hivi kwa maboko haya ya huyu mtu wao watatokea wapi mwaka huu???? Alafu upande wa pili kuwe na Tundu Antipas Lissu.
CCM jiandaeni tu kuwa Chama cha Upinzani hapo October 2020.
This guy is not fit from being a candidate mpaka kuwa raisi. Ana udhaifu na mapungufu makubwa sana ya kiuongozi
Natural ndivo ilivo mkuuSio ulivyokuwa na donge. Inaonesha ni kwa jinsi gani ulivyo na roho mbaya tena kwa wananchi wako
Hawezi. Dunia imebadirika sana. Saivi ukitumia ubabe wenye dunia hawakuachi . Yamemshinda Muthalika juzi Malawi huyu atawezea wapi??Uyu jamaa kajipanga sana kurudi katika kumalizia miaka mitano yake sidhani kama anaweza kufeli kushinda mkuu na kama akishindwa mapema natafuta chaka LA kwenda coz watu watakula malungu mpaka waombe pooo dadeki