minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Jimboni kwa mwigulu Nchemba kuna dhiki na shida zote hakuna maendeleo hata nukta 2 tu lakini huyo mwingulu Nchemba alitoa Amri akiwa mbunge eti Tanzania iache kutangaza takwimu za corona akazawadiwa uwaziri na Amri yake kutekelezwa sasa Tanzania imebakia kutengwa na majirani na Serikali ya CCM kulipa visasi kisa corona, Athari za kulipa visasi kutengwa kisa corona ni kubwa lakini cha ajabu CCM hushangalia ligi za kijinga jinga kama hizoMkuu sifa kuu ya kuwa Ccm ni ubaguzi "ndani na nje ya chama" Kwanini huwa kuna kauli "huyu anatumiwa... huyu si mwenzetu... huyu mdini... WADHANI YANAKUJA PASIPO SABABU?