Jimboni kwa mwigulu Nchemba kuna dhiki na shida zote hakuna maendeleo hata nukta 2 tu lakini huyo mwingulu Nchemba alitoa Amri akiwa mbunge eti Tanzania iache kutangaza takwimu za corona akazawadiwa uwaziri na Amri yake kutekelezwa sasa Tanzania imebakia kutengwa na majirani na Serikali ya CCM kulipa visasi kisa corona, Athari za kulipa visasi kutengwa kisa corona ni kubwa lakini cha ajabu CCM hushangalia ligi za kijinga jinga kama hizoMkuu sifa kuu ya kuwa Ccm ni ubaguzi "ndani na nje ya chama" Kwanini huwa kuna kauli "huyu anatumiwa... huyu si mwenzetu... huyu mdini... WADHANI YANAKUJA PASIPO SABABU?
Kuwa na jina zuri siyo maendeleo kuitwa bwege kisha CCM mnazuia kukwamisha maendeleo kwa makusudi kuna uhusiano gani na jina? acha ujinga huo ubaguzi wa kishamba sana, walipa kodi wa rufiji wanataka maendeleo kwa lazima kwani ni pesa zao siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM, Maendeleo siyo Hisani za CCMMbunge anaitwa Bwege ,hajafanya chochote mpk leo.mnataka Rais afanyeje ?
Akasimamie wahandisi kujenga stendi
Hapa Eclat sikuelewagi
Umaskini, maradhi na ujinga vinatumiwa na ccm kama mtaji wa kisiasa ndio maana hawataki kuviondoa vijiadui hivyo.Kuwa na jina zuri siyo maendeleo kuitwa bwege kisha CCM mnazuia kukwamisha maendeleo kwa makusudi kuna uhusiano gani na jina? acha ujinga huo ubaguzi wa kishamba sana, walipa kodi wa rufiji wanataka maendeleo kwa lazima kwani ni pesa zao siyo pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM, Maendeleo siyo Hisani za CCM
Awashangae ccm ndio walimchagua watz hatujamchagua na yeye analijua Hilo.Hata mama yake mzazi aliwashangaa sana watz kumchagua huyu jamaa
Ndugu zake wasiwashangae watanzania hawakumchagua na yeye analijua Hilo ,wawashangae ccm ndio walimchagua na kumbambikiza kwa watanzania na sasa limeanza kuwamaliza mmojammoja Kama huyu was juzi.Yeye amekua Mbunge wa Chato miaka zaidi ya 10 na stend ilimshinda kujenga adi leo akiwa Rais ndo analazimisha kuijenga kwa upendeleo tena.
Jamaa anarohoo mbaya adi ndugu zake wa karibu kabisa wanawashangaa waTanzania kwa kumchagua kuongoza nchi hii.
Jamaa ana rohoo mbaya haijawahi kutokea; nyie yawezekana mnamsikia tu.