Rais Magufuli awachana Kilwa kwa kumchagua mpinzani Bwege. Awataka kutofanya makosa tena uchaguzi ujao

Naona watu mnadonoa maneno machache mpate cha kuongea.
Aliposema "stendi ni kazi ya madiwani na wabunge....na fedha za road fund hutumwa", naona hapajaonekana.
 
Huyu mjamaa siku sinavyosogea anazidi kuchanhanyikiwa
 
Anashindwa kufanya mawasiliano na Wenyeviti wa vyama vingine ili wawajibishe wabunge wao kama hawawajibiki?
Njia nyingine hazioni labda ana uhasama na Bwana Bwege.Bado angeweza kumwita na kumsaidia kwa hilo.Mara nyingi Raisi Magufuli amekuwa akisema maendeleo hayana vyama.
 
Rais wa nchi anaongea maneno ya hovyo hovyo na ametoka kuzika. Hajui kuwa anaweza kulala leo na asiamke tuone kama huyo anayetaka wamchagulie atamuona wapi.

Yani huyu Rais huwa anajisahau sana!
 
Naona watu mnadonoa maneno machache mpate cha kuongea.
Aliposema "stendi ni kazi ya madiwani na wabunge....na fedha za road fund hutumwa", naona hapajaonekana.
Fedha za road fund zinaenda kwa wabunge? Kwanini asianze kuwajibisha hao aliowateua kuongoza hiyo wilaya? Huyu Rais tunapomtukana huwa hatukosei na kama kweli ametoka kwa Mungu na ikitokea nikathibitisha kuwa ametoka kwa Mungu basi hata huyo Mungu nitaacha mara moja kumtumainia na kumuamini! Nasema nitaacha mara moja!
 
mzee anakosea sana aisee hivi inawezekana vipi tz ya watz ml 50 wote wakawa ccm? watanzania wote ni wakwetu mzee pele sendi kilwa tu hakuna namna na bwege lazima apite chezea huyu mzee huwa namkubali sana yana wanakilwa tafadhali mbuge bwege arudi mzee huwasemea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…