BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Nao ni uteuzi.Labda uliteuliwa kwenye ushirikina
Hakuna shida au labda ulitaka mbowe ndio azindue? Na atazindua sana maanake Kuna miaka 5 mingine,Kinachonishangaza Mimi ni kuzindua miradi kwa kuruzsfeeg dxaftszsgev sdiarudia,yeye ndiyo mbunifu,mshauri napangaji wa miradi na mtekelezaji wake.Mzee ametumia nguvu na raslimali nyingi katikkdva miradi ya ujenzi
Walaji wa hizo fedha tuliambiwa wamedhibitiwa,hatuambiwi kivipi.Yaani mafisadi nchi hii,waliotukwamisha miaka yote hii ni kina nani?Wamedhibitiwa kwa kupelekwa mahakama ya mafisadi?Je wamehukumiwa?Watu wengi ni wanafiki wakati miaka iliyopita tulivyokuwa tunalalamika hakuna maendeleo ya miundo mbinu ni haohao CCM ndiyo walikuwa wa kwanza kututukana. Haya mambo ya barabara yangetakiwa kufanyika miaka 20 iliyopita sio sasa.
Ni ushamba tu wa maendeleo tulionao haya ni mambo ambayo tungetakiwa kuyafanya na toene ni mambo ya kawaida. Nchi nyingine wenzetu wanafanya. Ni CCM ndiyo ilifanya watu waone kama Tanzania hatuwezi sasa haohao wanahamaki !! wakati tulikuwa tunawaambia pesa zinaliwa
Hujajibu swali dogo. Unaumia kuona Rais anazindua miradi ya maendeleo?Ukiona mtu Mpumbavu unaumia au unamuonea huruma ??? mpumbavu anaweza kuwa amesoma lakini kuna mambo hajui na anajifanya anajuwa ..."mjinga ana afadhali , ukimuelewesha akishajua anakua mwerevu ........" JK Nyerere
Hujajibu swali dogo. Unaumia kuona Rais anazindua miradi ya maendeleo?
Ndiyo maana nakuita dogo kama tu huwezi kuelewa muktadha wa swali la mwanzoUnadhani kila mtu ni Dogo hapa ndani ....
Swali lako lilikuwa ...Unaumia ? halikuwa .....Unaumia kuona Rais anazindua miradi ya maendeleo?
Ungeuliza direct ningekujibu ..kuwa hakuna mtanzania ambaye hapendi miradi ya maendeo ifanyike ..
Corona imeisha wewe, otherwise ikimfyekelea mbali itakuwa faida kubwa nchiMwambieni aache kuishika shika watu Mikono.
Korona IPO asitegemee waganga na wachawi
Mkuu hivi Yale mahandaki kwenye reli ya Tazara rais alikwenda kuyazindua? I think kuzingua ujenzi wa mahandaki ya reli is too low for presidentKama maigizo ladba ndio mwanzo ulivyo maana tukienda Kenya au Dubai tunasifia sana maendeleo sijui wao hawakuanza mwanzo kama sisi?
Shida ni kwamba hapa kwetu tunaona kabisa kuanzia msingi wa nyumba ulivyo kwa wenzetu tukisafiri hatuoni msingi tunakuta vilishafanyika ndo tofauti