Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

Rais Magufuli aweka Jiwe la Msingi Mahandaki Reli ya Kisasa

Alipoweka jiwe
Kama maigizo ladba ndio mwanzo ulivyo maana tukienda Kenya au Dubai tunasifia sana maendeleo sijui wao hawakuanza mwanzo kama sisi?

Shida ni kwamba hapa kwetu tunaona kabisa kuanzia msingi wa nyumba ulivyo kwa wenzetu tukisafiri hatuoni msingi tunakuta vilishafanyika ndo tofauti
Alipoweka jiwe LA msingi la Ujenzi wa sgr hakufahamu kuwa nitakuwa na mahandaki?Hatukuwahi kumsikia Mwl Nyerere akiweka nawe ya msingi wakati wa Ujenzi wa TAZARA/TAZAMA nk,mradi moja kila kiongozi anaenda kuzindua.Hakuna kukaa ofisini na kuchangishana fedha kisanii kwa miradi ya Wananchi.
Ukitazama kwa jicho pevu,sasa hivi watu wanapiga kampeni live.Kuwagawa Wananchi kiitikadi na kuisifu CCM kwa miradi inayotekelezwa kwa fedha za serikali(kodi) kama vile vyama vingine visingefanya.Tuambieni mradi wowote hapa Tanzania uliotekelezwa na CCM kama chama cha siasa?Wamejimilikisha baadhi ya assets za Wananchi kama majengo,viwanja vya michezo nk kijanja,je,tagia wakati huo 1992 walipojichagulia Mali hizo hadi leo wametengeneza faida kiasi gani?Nini kipya baada ya hapo?
Ukishaweka mradi kwenye bajeti ya nchi huwa unatekelezwa kwa fedha zitokanazo na mapato ya ndani/nje na vinakuwa Mali ya serikali (wote) na siyo vya chama tena.Tusipotoshane tafadhali,subirini muda rasmi wa kampeni,mnawavuruga wapinzani huku mnazungukia public properties na mavazi ya vyama?Msajili anakuwaga makengeza?Kampeni zimeanza???
 
Joseph Haule 'Prof. Jay' afunika Morogoro




Mnafiki sana katangaza jimbo halina kazi aliposikia jimbo ni la CCM akajifanya anaunga mkono eti kama ni ccm nitafanya .......eti anajifanya kasahau jina la Kabudi wakati lilikuwa ndio lengo ....huu ubaguzi wa wazi
 
Hahaha msingi tena?
Hii ni tofauti na hiyo inayojengwa ya SGR?!
SGR ilikwisha wekwa jiwe la msingi Dar halafu baada ya muda likawekwa la Makutupora baadaye kabisa la Isaka leo linawekwa la Kilosa litafuatiwa na la Kibaha na la Uvinza. Huo ni mradi mmoja wenye mafanikio yake makubwa yanaimbwa kila siku na Awamu hii. Kwanza reli hiyo siyo ya kisasa bali ni pana kuliko TAZARA na speed sawa na ya gari langu dogo. Treni za kisasa ni zile za China, Bullet za Japan, ICE za Ujerumani, TGV za Ufaransa na zingine. SGR ya Mombasa - Nairobi inapita juu ya daraja la Km 57 juu ya mbuga ya wanyama ya Tsavo kulinda hao wanyama lakini mambo yao yanafanywa kimyakimya maana watu wao wanataka kupata huduma za miradi siyo ngonjera. Katika ujenzi wa reli kunakuwa na matukio mawili tu: To drive the first spike, kuanza ujenzi na To drive the last spike kumaliza ujenzi basi. Hii ilikuwa wakati Ulaya walitumia mataruma ya mbao na reli zikishikizwa kwa misumari mikubwa (spikes). Kwetu walitumia mataruma ya chuma kwa sababu ya kuogopa mchwa. Jiwe la msingi kila km ni HAPA KAZI TU!
 
MUNGU mbariki Magufuli
Kwa lipi hasa?Miaka mitano tu kila kitu kimeparalyse,hakuna ajira,annual increments, salary increments, multiple taxation, increased insecurities over every media,journalists,social media members hunt in town etc.
There is a lot of confusion in the society.Money circulation is very much minimized and therefore lower purchasing power.
Wakati wa kampeni watasema nini tena?Kwa miaka mitano wimbo& mapambio ni Yale Yale huku mambo muhimu yakiwa yamesimama,hakuna jipya.
 
Unalipaje Deni huku linaongeza asilimia sita hyo kubwa mno
Nmepiga hesabu kila mwaka napunguza 90,000/= ya deni. Pesa yote takribani milioni inaenda kufidia hiyo asilimia 6.
Kama hiyo 6% ikiondolewa watu watapata moyo wa kurejesha mikopo.

Pia mikopo italipika kirahisi na bodi ya mikopo watapata pesa ya kutosha kusomesha wanafunzi.
 
Kwa lipi hasa?Miaka mitano tu kila kitu kimeparalyse,hakuna ajira,annual increments, salary increments, multiple taxation, increased insecurities over every media,journalists,social media members hunt in town etc.
There is a lot of confusion in the society.Money circulation is very much minimized and therefore lower purchasing power.
Wakati wa kampeni watasema nini tena?Kwa miaka mitano wimbo& mapambio ni Yale Yale huku mambo muhimu yakiwa yamesimama,hakuna jipya.
Sio tu Ni kipofu macho nadhani utakuwa ni kipofu wa akili
 
Sio tu Ni kipofu macho nadhani utakuwa ni kipofu wa akili
Ahsante mr choopa kwa kunipima akili,ila kila MTU ni shahidi.Jamaa yenu amesahau kuwa alishazindua hiyo sgr including mahandaki(Tunnels) na madaraja.Hakuwa anafahamu kuwa yatajengwa hayo mahandaki?Kipi kipya hapo zaidi ya kampeni na usanii?

Uelewa wako ndiyo tatizo,nilikuwa nataka uone usanii unaofanywa wakati masuala ya ajira na utumishi vikisimama kwa miaka 5,yanayofanyika ni long term projects as if maisha yamesimama pia.

Mtumishi aliyestahi nyongeza leo anawezaje kusubiri kwa miaka mitano?Vipi kuhusu wale wanaostaafu wakati huu wa kufunga mikanda,kile alichostahilihi kitaingiaje kwenye mafao yake?

Mbona mnapenda kufurahia mbinyo unaofanywa makusudi kwa watumishi wanaofankisha hiyo miradi?Unatarajia ng'ombe asiyeshibishwa anaweza kutoa maziwa,nyama au ngozi bora?
 
Ahsante the,ila kila MTU ni shahidi.Jamaa yenu amesahau kuwa alishazindua hiyo sgr including mahandaki(Tunnels) na madaraja.Hakuwa anafahamu kuwa yatajengwa hayo mahandaki?Kipi kipya hapozaidi ya kampeni?
Uelewa wako ndiyo tatizo,nilikuwa nataka muone usanii unaofanywa wakati masuala ya ajira na utumishi vikisimama kwa miaka 5,yanayofanyika ni long term projects as if maisha yamesimama pia.Mtumishi aliyestahi nyongeza leo anawezaje kusubiri kwa miaka mitano?Vipi kuhusu wale wanaostaafu wakati huu wa kufunga mikanda,kile alichostahilihi kitaingiaje kwenye mafao yake?Mbona mnapenda kufurahia mbinyo unaofanywa makusudi.
Acha azindue hata Mara Mia ilimradi vinajengwa hakuna shida! Shida yetu madaraja barabara hospital zahanati vituo vya afya madarasa masoko aendelee kuvijenga, tulimchagua kwa kazi hii.

Na tumeiona kazi tutamchagua kwa kishindo, nyie tulitegemea kwenye majimbo/kata mlizoongoza tuone walau Basi mkizindua ofisi ya chama hata moja tu.na sio bomba la maji!!!!!
 
Aje na huku ziwa Victoria aweke jiwe la msingi, limeongezeka kina!
 
Acha azindue hata Mara Mia ilimradi vinajengwa hakuna shida! Shida yetu madaraja barabara hospital zahanati vituo vya afya madarasa masoko aendelee kuvijenga, tulimchagua kwa kazi hii.na tumeiona kazi tutamchagua kwa kishindo, nyie tulitegemea kwenye majimbo/kata mlizoongoza tuone walau Basi mkizindua ofisi ya chama hata moja tu.na sio bomba la maji!!!!!
Rais ni waziri wa Ujenzi? Kila Mara anazindua na kuibua miradi ya kujenga.
 
Watu wengi ni wanafiki wakati miaka iliyopita tulivyokuwa tunalalamika hakuna maendeleo ya miundo mbinu ni haohao CCM ndiyo walikuwa wa kwanza kututukana. Haya mambo ya barabara yangetakiwa kufanyika miaka 20 iliyopita sio sasa.

Ni ushamba tu wa maendeleo tulionao haya ni mambo ambayo tungetakiwa kuyafanya na toene ni mambo ya kawaida. Nchi nyingine wenzetu wanafanya. Ni CCM ndiyo ilifanya watu waone kama Tanzania hatuwezi sasa haohao wanahamaki !! wakati tulikuwa tunawaambia pesa zinaliwa
 
Ngoja tuone PCCB (PCCM?), nayo itachukua hatua gani. Otherwise Rais wetu ataonekana ni mtu wa kuokota maneno ya mtaani tu. Ati ajirekebishe....please!
Labda ni homeboy kiasi alichopiga atarudisha nyumbani kuendeleza kwao wore. Hakutumbuliwa bali amepewa nafasi nyingine ya kupiga kikubwa zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Huku ni kupoteza muda na kuonyesha desperation za kijinga...jiwe la msingi lilishawekwa sasa ...hadi madaraja na mahandani ambayo ni sehemu ya mradi yanahitaji kuwekewa uzinduzi ...tunachekesha sasa

Reli ya tazara ina madaraja na mahandaki mengi kuliko reli ya kati ya sasa ukizingatia imepita kwenye eneo la nyanda za juu lakini hata siku moja hatusomi kuwa kulikuwa na uzinduzi wa mahandaki ...zaidi ya nyerere kuwa anatembelea tu mradi mara kwa mara
Umeumia eh?
 
Back
Top Bottom