Rais Magufuli azindua Kiwanda cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro, aitaka mifuko ya hifadhi kuwekeza kwenye viwanda badala ya majengo

Nyie chadema mkiambiwa ni maamuma mtakataa ?

Kwahiyo Unataka fedha ikae ikisubiria mtumishi astaafu?

Kwa haya mawazo ndio maana mnatandikwa virungu
Acha ujinga hizo ni fedha za wenyewe na siyo za serikali. Wastaafu wanacheleweshea mafao yao kwa sababu za ujinga huu!
 
Kwa kuwa ndio akili zako zilipoishia nakuacha kama ulivyo

Hiyo mifuko duniani kote ndio inatumika kwa maendeleo
sasa wewe unaonekana ni giza kichwani
Acha ujinga hizo ni fedha za wenyewe na siyo za serikali. Wastaafu wanacheleweshea mafao yao kwa sababu za ujinga huu!
 
Kwa kuwa ndio akili zako zilipoishia nakuacha kama ulivyo

Hiyo mifuko duniani kote ndio inatumika kwa maendeleo
sasa wewe unaonekana ni giza kichwani
Kwa ufisadi wa serikali hii unataka wastaafu wafe? Mpaka leo serikali inasuasua kulipa madeni ya mifuko ya jamii na kuifanya ifilisike!
 
Huo ni uwongo wa CHADEMA
Kwa ufisadi wa serikali hii unataka wastaafu wafe? Mpaka leo serikali inasuasua kulipa madeni ya mifuko ya jamii na kuifanya ifilisike!
 
Askofu Shoo naona kaunga mkono juhudi leo kamsifia Magu kama siyo yeye ha ha haa na bado watakubali tu mziki wa jembe LA chato
 
Na wastaafu pia wapewe stahiki zao mapema! sio kuwekeza bila hata kushirikisha wadau halafu haki zetu za fao la kujitoa mnakalia pamoja na serikali ya awamu ya tano!
 
Hizo pesa zilizowekezwa huko sio mali ya serikali bali ni za wafanyakazi. Wanafaidikaje na uwekezaji huo?
 
PSSSF na NSSF wana pesa ya kufanya miradi, lakini pesa ya kumlipa mfanyakazi aliyetumikia Taifa na kchangia mifuko hiyo kwa miaka Mingi na badae kupoteza ajira na kuendelea kuteseka na familia yake, Hawana..!!

Hovyo sana....
wacha tu Mkuu...
 
Mbona azungumzii mafanikio ya mahakama ya mafisadi, uchumi wa viwanda?
 
Ni hatua nzuri ila haya sasa ndio matatizo ya kuweka unqualified governor kuongoza BoT nina uhakika Benno Ndulu asingeruhusu.

There are serious risk factors and diversification issues of concerns ndio maana taasisi za kifedha azifanyi uwekezaji wa kuendesha viwanda moja kwa moja popote duniani.

Chances are ata ukipekuwa kwenye regulations rule za BoT utakuta pension funds aziruhusiwi kufanya aina ya investment hizi.
 
Uchaguzi huu ni wakitoto, haufuati kanuni za uchaguzi zinavyotakiwa kwa wagombea wote.
 
Inaskitisha sana

Sekta ya utalii watu wengi hawana kazi mafao yao NSSF ni kuzungushwa tu ...kumbe wamezipeleka huko na kuwaacha wanachama wa NSSF wana taabikal

LISSU jiandae kushika NCHI
 
Anazindua kiwanda wakati mitambo haijamalizwa kufungwa! Hiki ni kiwanda cha Magereza ni cha serikali.
 
Inaskitisha sana

Sekta ya utalii watu wengi hawana kazi mafao yao NSSF ni kuzungushwa tu ...kumbe wamezipeleka huko na kuwaacha wanachama wa NSSF wana taabikal

LISSU jiandae kushika NCHI
Huyo Lissu ndio atawapa wazungu kabisa waendeshe pension funds.

Haya ni mambo ambayo watu wanafanya tu kujipendekeza Magu is not a financier na udhani kama anajua international regulations za financial institutions.

Hawa jamaa wa pension walianza kujipendekeza mara tu Magu aliposema kuhusu Tanzania ya viwanda na wao watachangia. Kwa muda walikuwa kimya nadhani governor aliyekuwapo aliwapiga stop ili huyu mpya ndio wa kumchezea he doesn’t have a banking background.

There are specific reasons why such investment are deterred from financial institution tatizo sio Magufuli ni watu kujipendekeza.
 

mutuku fu wenu anapenda kuabudiwa na hizi ndo IMPACTS ...28 sio mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…