Thomas10
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 856
- 2,318
2015 nakumbuka usd ilienda hadi 1700 kama sio 1650. Ila nimekiri kuwa mwanzoni mwa utawala wa Jpm usd ilipanda sana ndio maana nikasema toka iliposhuka kuwa 2270 hadi kuwa 2300 ni miaka kama minne kasoro nadhani, sasa nauliza kipi wamefanya kwenye hii miaka mitatu na uchafu? Ndio swali langu liko hapo mkuu
namba zko siyo kweli, labda hujawahi kufanya transaction inayohitaji kubadilisha tshs kwa us$Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Very untrue! The previous status was being triggered by unnecessary imports with tax evasion loopholes encouraging petty traders. Unnecessary buying of USD by presumed china goers. Now, only serious business people need USD. Serious consumers do the buying.It has been fixed.
This is an example of currency revaluation and is is precisely why manufacturing companies like cement companies find it difficult to import raw materials
Nani aliikuta? kama huna ufahamu wa dola na shilingi yetu kaa kimya! Hiyo 1700 ilikuwa enzi za Mkapa.swali hili lingekua lina mashiko kama dola ingerudi kua sawa na tsh 1700 had 1650 kama alivyoikuta na sio hio 2300tsh kwa dola 1.
vinginevyo we ni mlamba soli kama walamba soli wengine
Hujui hata usemalo mjinga tuWakati wa tawala zilizopita shilingi ilikuwa inacheza sana, ilikuwa haitulii kabisa. Hata JPM alipoingia madarakani kuna kipindi shilingi iliyumba sana hadi tukalamika hapa JamiiForum kuwa mabeberu kuna namna wanatuhujumu katika hili.
Badae serikali ikaingilia kati tatizo likaisha shilingi ikarudi 2270 kama nakumbuka vizuri. Tokea hapo ikashuka tena kidogo hadi 2300 na vipoint hivi . Tangu kipindi hicho shilingi imechezea 2300 hadi 2319, hili limedumu kwa muda mrefu sana.
Watalaam wa uchumi hebu tufafanulieni kipi kimetokea huku kuna tetesi kuwa uchumi wetu unasinyaa
Ameandika Hata kwa jpm kuna wakati malipo kuwa anaingia ilicheza sana lakini baada ya hapo imekuwa stable kwa muda mrefuYan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Hahah daah.Hivi makahaba wanajuaga calculation za hela kweli?
Acha uongo wewe JPM kapokea nchi $1 =tsh. 2200Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???
Mkuu, endelea na shughuli za uvuvi. Haya mambo ni makubwa sana kwa akili yako.Kuna mambo mawili, moja kati ya hayo lina ukweli
1. BOT wanaedit data wenyewe ili kutuaminisha kuwa tsh imekuwa imara dhidi ya fedha za kigeni.
Na hii ni kutokana na kuendesha finance wenyewe, kujikagua wenyewe na kuripoti wenyewe
2. Inaweza kuwa kweli kwa sababu maduka ya kubadirisha pesa yamedhitiwa hivyo ubadirishaji holela umeondoka na kufanya mfumo wa imara.
Sasa hapo sote hatujui, ila wao na wafuatiliaji.
Lakin kuna namna rahis ya kujua, moja wapo ni kuwa mteja wa kubadirisha fedha za kigeni, hapo utajua
Mimi ninavyokumbuka mpaka 2015.Uongo hubatilishwa kwa ukweli.
Weka ukweli wako hapa At Calvary
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] mim sivui samak, nalima mbogamboga tu ambazo wanunuzi hawatumii dolaMkuu, endelea na shughuli za uvuvi. Haya mambo ni makubwa sana kwa akili yako.
Kwanini bado tunaagiza ngano na sukari nje? Hilo ndio swali alitakiwa ajiulize kwanza kabla hajatamka malalamiko yake. Vinginevyo ni porojo tu, wananchi tunalalamika na serikali inalalamikaKumbuka pia katika kudhibiti hili ofisi nyingi za kubadili pesa za kigeni (Bureau de Change) zilifungwa na watu wengi hasa wanasiasa walilalama sana. Hilo ilikuwa ni mojawapo ya njia kukabili hili kwani utakatishaji fedha ulifanyika kwa kiasi kikubwa katika maduka hayo.
Pia uhamasishaji wa matumizi ya bidhaa za ndani kupunguza uagizaji toka nje na kuongeza mauzo ya nje kumechangia. Utamsikia Magu anasema, ni aibu kuagiza ngano na sukari nje.
Tukiepuka kuagiza baadhi ya vitu kama sukari na ngano na vingine tunavyoweza kuzalisha hapa nchini tunakuwa tumepunguza uhitaji wa pesa za kigeni ikiwemo dola ya US.
Kwa maana hiyo sasa dola isipohitajika thamani yake inapungua, na pesa yetu ikahitajika zaidi ili watu waweze kununua kwetu ina maana shilingi yetu inazidi kuimarika.
Kitu kisipokuwa na wateja hukosa soko na thamani yake hushuka
Nani aliikuta? kama huna ufahamu wa dola na shilingi yetu kaa kimya! Hiyo 1700 ilikuwa enzi za Mkapa.
Angalia exchange rate wakati JK anaingia na exchange rate wakati anatoka.na mpaka sasa JPM alipo.
Mnabishana bila kuwa relevant data .nimewapa relevant and reliable data.kazi kwenuView attachment 1635810View attachment 1635811View attachment 1635812
Wakati wa tawala zilizopita shilingi ilikuwa inacheza sana, ilikuwa haitulii kabisa. Hata JPM alipoingia madarakani kuna kipindi shilingi iliyumba sana hadi tukalamika hapa JamiiForum kuwa mabeberu kuna namna wanatuhujumu katika hili.
Badae serikali ikaingilia kati tatizo likaisha shilingi ikarudi 2270 kama nakumbuka vizuri. Tokea hapo ikashuka tena kidogo hadi 2300 na vipoint hivi . Tangu kipindi hicho shilingi imechezea 2300 hadi 2319, hili limedumu kwa muda mrefu sana.
Watalaam wa uchumi hebu tufafanulieni kipi kimetokea huku kuna tetesi kuwa uchumi wetu unasinyaa.
Hiyo ni ya 2005. USD imekuwa ina-swing kwenye hiyo value. Kumbuka 1996 ilikuwa kwenye TZS 900! Alipokuwa Kikwete anaondoka iliruka hadi TZS 2500. kumbuka effect ya pesa za Escrow na ukombaji wa hazina kwa kuwa tu awamu ya Kikwete imekwisha.mkuu Patriot embu angalia hayo majedwali ya mdau from BOT. nadhani yana majibu ya nani anatakiwa akae kimya kama hana ufahamu wa dola na shilingi yetu
Sio lazima uandike ili kukubalika, andika ukweli basi. Huu ni uongo mkuu.Yan hapo imekuwa stable!!??
Ilipanda kwa 300/= kwa miaka 10, yaani 2005 ($1=tsh1200) hadi 2015 ($1=tsh1500)
Tangu 2015 umepanda kwa tsh800, yaan 2015 ($1=tsh1500) hadi 2020 ($1=tsh2300)
Sasa na wew tusaidie huo u-stable lioufanya JPM na BOT ni upi???