Rais Magufuli, BoT wamefanyaje kuifanya Tsh. kuwa stable against USD?


swali hili lingekua lina mashiko kama dola ingerudi kua sawa na tsh 1700 had 1650 kama alivyoikuta na sio hio 2300tsh kwa dola 1.
vinginevyo we ni mlamba soli kama walamba soli wengine
 
namba zko siyo kweli, labda hujawahi kufanya transaction inayohitaji kubadilisha tshs kwa us$
 
It has been fixed.
This is an example of currency revaluation and is is precisely why manufacturing companies like cement companies find it difficult to import raw materials
Very untrue! The previous status was being triggered by unnecessary imports with tax evasion loopholes encouraging petty traders. Unnecessary buying of USD by presumed china goers. Now, only serious business people need USD. Serious consumers do the buying.
 
swali hili lingekua lina mashiko kama dola ingerudi kua sawa na tsh 1700 had 1650 kama alivyoikuta na sio hio 2300tsh kwa dola 1.
vinginevyo we ni mlamba soli kama walamba soli wengine
Nani aliikuta? kama huna ufahamu wa dola na shilingi yetu kaa kimya! Hiyo 1700 ilikuwa enzi za Mkapa.
 
Hu
Hujui hata usemalo mjinga tu
 
Ameandika Hata kwa jpm kuna wakati malipo kuwa anaingia ilicheza sana lakini baada ya hapo imekuwa stable kwa muda mrefu
 
Mkuu, endelea na shughuli za uvuvi. Haya mambo ni makubwa sana kwa akili yako.
 
As long as atuathiriki na ununuzi wa petrol wala mfumuko wa bei sisi tunaona tupo sawa sawa.
 
Kwanini bado tunaagiza ngano na sukari nje? Hilo ndio swali alitakiwa ajiulize kwanza kabla hajatamka malalamiko yake. Vinginevyo ni porojo tu, wananchi tunalalamika na serikali inalalamika
 
Nani aliikuta? kama huna ufahamu wa dola na shilingi yetu kaa kimya! Hiyo 1700 ilikuwa enzi za Mkapa.

Angalia exchange rate wakati JK anaingia na exchange rate wakati anatoka.na mpaka sasa JPM alipo.
Mnabishana bila kuwa relevant data .nimewapa relevant and reliable data.kazi kwenuView attachment 1635810View attachment 1635811View attachment 1635812

mkuu Patriot embu angalia hayo majedwali ya mdau from BOT. nadhani yana majibu ya nani anatakiwa akae kimya kama hana ufahamu wa dola na shilingi yetu
 

Funga maduka ya kubadilisha pesa kiolela
Kuwazibiti mabenki kwenye pesa amabazo BOT azijulikani
Zibiti madini,mazao n.k zitakazo julikana kuwa zinaleta pesa za kigeni
Zibiti watoa pesa na watuma pesa wote kwa sasa kuna leseni kabisa walikuwa wanakwepa
 
mkuu Patriot embu angalia hayo majedwali ya mdau from BOT. nadhani yana majibu ya nani anatakiwa akae kimya kama hana ufahamu wa dola na shilingi yetu
Hiyo ni ya 2005. USD imekuwa ina-swing kwenye hiyo value. Kumbuka 1996 ilikuwa kwenye TZS 900! Alipokuwa Kikwete anaondoka iliruka hadi TZS 2500. kumbuka effect ya pesa za Escrow na ukombaji wa hazina kwa kuwa tu awamu ya Kikwete imekwisha.

Kinachojadiliwa, kwa nini imekuwa stable? Muhimu siyo kushusha exchange rate, muhimu ktk uchumi ni stability ya currency, exchange rate, FINITO!
 
Sio lazima uandike ili kukubalika, andika ukweli basi. Huu ni uongo mkuu.

Nov, 2005 1$ = 1191Tsh(average)
Nov, 2015 1$ = 2166Tsh(average)

Tangu Magu aingie dolla imecheza kwenye 2200 hadi 2350.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…