Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

Wengine wamefungwa na mizimu au wameoa majini, ishu zingine zinahitaji maombi...
 
Huyu Katambi so ndo juzi alijidai kutaka kutoa orodha ya wabunge wanaochukua wanaochukua machangu kumbe hajaoa nae huwa anaenda kuchukua machangudoa mpaka anawajua wenzake wanaokutana kwa machangudoa.
Ulishaona kwenye orodha ya wapiga kelele darasani jina la monita wa darasa likawemo, kwa hiyo usishangae kwenye hiyo orodha ya wanunua machangudoa hapo dodoma jina la katambi likakosekana, pamoja na kutokuwa na mke...
 
Amemaanisha wote hata yule wa kisarawe?
 
Kwahiyo unataka Kutuambia ya kwamba hao Wanawake Wawili uliowataja ( uliotutajia ) ulikuwa Unawanyiri ( Unawafanya ) kwa Kuwachanganya au?
mkuuuu mimi mwislam nimeoa wote
 
Nashauri kuwe na maandamano ya kumpongeza kwa kauli hii ya kizalendo.
 
Mkurugenzi wa jiji hajaoa. Na ana kazi zaidi ya miaka 5.

Mtu anatoka huko amevimbiwa na ugali maharage na nyege mshindo anaoa anazaa halafu hana hata mia ya kulisha mke wala mtoto anaanza kusumbua watu.
 
Je kama hazifanyi kazi?
 
Mkurugenzi wa jiji hajaoa. Na ana kazi zaidi ya miaka 5.

Mtu anatoka huko amevimbiwa na ugali maharage na nyege mshindo anaoa anazaa halafu hana hata mia ya kulisha mke wala mtoto anaanza kusumbua watu.
Ni mimi kabisa huyu
 
mkuuuuuuuuu kweli ni upuuziiii
 
Yaan[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…