Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

Rais Magufuli: DC na DED wa Dodoma Muoe

"Je umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa. Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi"
(1 Wakorintho 7: 27-28)
 
Wasikurupuke kuoa
Ndoaa Zina mmbo mengi

Ova
 
Kuingilia maisha ya watu Huku. Makao mkuu ndio nini, wako hapo kwa uwezo wao wa kazi.

Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
 
Dodoma ndio kila kitu, kwahiyo wewe Mkurugenzi (Kunambi), ni Mkurugenzi wa Jiji la Makao Makuu hata kama ni mdogo, ila utafute Mwanamke uoe, kwani hawapo Wanawake wanaotaka kuolewa na Mkugenzi jamani!?, nimekutangazia uanze kutafuta ndoa, DED unajipikia wakati Wagogo wapo wengi”-JPM

“Mkuu wa Wilaya Dodoma pia (Katambi) nae hajaoa kama DED (Kunambi), lazima tusemane hapahapa, na wewe uoe, huwezi kukaa na Viongozi wakubwa wa Makao Makuu hawana Wake, wakati Wasichana wapo wanapita hapa wengine wapo UDOM, CBE, Mipango wewe huoni tu!?”-JPM

“DC Dodoma na DED Dodoma mnataka muambiweje (ndio muoe), maana nyinyi sio Mapadri, sasa macho yenu hayaoni!?, wewe Nchimbi una Mke eeh? haya waambie hawa waoe..nilikuwa nachomekea tu kwamba tupo kwenye Makao Makuu ila tunaongozwa na Vijana ambao hawajaoa”-JPM
Ayaaaaa hawajaoa?
Noumer na nusu kabisa hiyo
 
Back
Top Bottom