Rais Magufuli, Dkt. Antony Diallo alikuongopea kuhusu Bollen Ngetti, anatia huruma

Kumbe mtu akiweza kuwaandika vibaya wapinzani na kuwatumana ndio sofa ya kupewa vyeo ?
Kwa hiyo huyu alistahili uDC simply kwa sababu aliwatukana wapinzani? Non sense!

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Boleni Ngeti huyu mpinzani wa CCM toka lini akawa CCM? Soma machapisho yake humu toka Magufuli aingie madarakani 2015 ndipo utamjua uhalisia wake kuwa ni Lichadema
Alivyokuwa anawaandika wenzake Sasa hivi anapata malipo yake.
 
Mbona huyo dogo wanadai hana marinda sasa mnampigia debe ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…