Rais Magufuli: Fedha za matajiri basi CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
 
Hili ni jambo jema kwa afya ya chama !
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
Nani ampe? Kwa yapi aliyofanya kuinua uwekezaji? Kimsingi hata akizihitaji hazipo!
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
Sidhani kauli kama hii ya Mwenyekiti Taifa ingalitolewa endapo Prof. Mussa Assad angalikuwa bado ni CAG. Lakini ni bora imetolewa kwa wakati huu ili kuzidi kuwapa imani wanyonge wa taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
Hili jambo ni jema sana kwa afya ya nchi

Maana matajiri walikuwa wanaweka watu wao badae wanaanza kulipa fazila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM haijawahi kuwa na vyanzo halali vya mapato, vyanzo vya mapato vya CCM vinavyoitwa halali ni vile walivyoporwa watanzania na CCM,na kuvifanya kuwa mali yake.
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo

Ile 1.5t na sasa $300m kushika uchumba cha Barrick hakuna haja ya kutumia fedha za matajiri, after all hakuna tajiri anayeweza tena kuichangia ccm maana wengi wako hoi kifedha. Hiyo ndio sababu ya CAG Assad kupoteza kazi yake.
 
CCM haijawahi kuwa na vyanzo halali vya mapato, vyanzo vya mapato vya CCM vinavyoitwa halali ni vile walivyoporwa watanzania na CCM,na kuvifanya kuwa mali yake.
Bwashee ruzuku siyo mapato halali?!
 
Bwashee ruzuku siyo mapato halali?!
CCM hajawahi kuwa na vyanzo halali vya mapato, hata ruzuku wanayoipata ni haramu kwa kuwa chanzo chake kinatokana na ushindi wa dhuluma wanaoupata kwa kudhuluma matakwa ya wananchi, wananchi wanamchagua kiongozi wanayetaka awaongozi CCM wanawawekea na kumtangaza kiongozi ambaye hakuchaguliwa na wananchi.
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
That's good,no more leakages...
 
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.

Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.

Chanzo: Habari Leo
Kauli kama hii nimeanza kuisikia toka mwaka 1995 mpaka leo inaendelea kutolewa tu
 
ten pa senti za kununua ndege kwa cash na SGR ni mapesa mengi lazima aongee uongo hadharani kama kawaida yake
 
Back
Top Bottom