johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hili ni jambo jema kwa afya ya chama !CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Amina!Hili ni jambo jema kwa afya ya chama !
Nani ampe? Kwa yapi aliyofanya kuinua uwekezaji? Kimsingi hata akizihitaji hazipo!CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Bwashee una uhakika?!Mbona wameshamwambia Rostam asaidie kuwatafutia pesa za uchaguzi?
Tena kaambiwa na mwenyekiti mwenyewe.
wajinga ndio waliwao.
Sidhani kauli kama hii ya Mwenyekiti Taifa ingalitolewa endapo Prof. Mussa Assad angalikuwa bado ni CAG. Lakini ni bora imetolewa kwa wakati huu ili kuzidi kuwapa imani wanyonge wa taifa hili.CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Hili jambo ni jema sana kwa afya ya nchiCCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Hakika mkuu!Hili jambo ni jema sana kwa afya ya nchi
Maana matajiri walikuwa wanaweka watu wao badae wanaanza kulipa fazila
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Bwashee ruzuku siyo mapato halali?!CCM haijawahi kuwa na vyanzo halali vya mapato, vyanzo vya mapato vya CCM vinavyoitwa halali ni vile walivyoporwa watanzania na CCM,na kuvifanya kuwa mali yake.
CCM hajawahi kuwa na vyanzo halali vya mapato, hata ruzuku wanayoipata ni haramu kwa kuwa chanzo chake kinatokana na ushindi wa dhuluma wanaoupata kwa kudhuluma matakwa ya wananchi, wananchi wanamchagua kiongozi wanayetaka awaongozi CCM wanawawekea na kumtangaza kiongozi ambaye hakuchaguliwa na wananchi.Bwashee ruzuku siyo mapato halali?!
That's good,no more leakages...CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo
Kauli kama hii nimeanza kuisikia toka mwaka 1995 mpaka leo inaendelea kutolewa tuCCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm.
Chanzo: Habari Leo