Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,642
Anataka kusemaje, mbona hiyo sekta ya jeshi la wananchi ni nzito sana kuzungumza nao huko ndani ndani chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika!Unashauri tumpe nchi Ummy Mwalimu ambaye tuko nae bega kwa bega kwenye janga la Corona.?
Mkutano gani bwashee?!!
Kuna wimbo "Corona - Mungu turehemu baba" ndio uko hewani sasaHaijaanza?
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Corona haiangalii sura! Ngoja tuoneNi jambo jema sana!
Huu ndio mkutano siyo ule wa Mbowe uliotaka kutuharibia maombi ya kitaifa!
Sasa ni muhtasari wa habari!Kuna wimbo "Corona - Mungu turehemu baba" ndio uko hewani sasa
Sasa kwanini polisi wamezuia press conference ya chadema lakini hawazuii hiiRaisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Magufuli anatarajiwa kuzungumza mbashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 View attachment 1426702
Well said..Chato ni kijijini kwa Magufuli.
..JK hakuwa kuzungumza toka Msoga.
..Mkapa hakuzungumza toka Lupaso.
..Mwinyi hakuzungumza toka Zanzibar au Mkuranga.
..Mwalimu Nyerere hakuwahi kuzungumza toka Butiama.
..Raisi anapaswa kuendesha shughuli zake toka IKULU, na siyo toka ktk nyumba yake binafsi. Serikali siyo KAMPUNI binafsi ya Raisi.
Ati Nyerere hakuwahi zungumza toka butiama poleWell said