kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Kwa kawaida, Virus wakishamshambulia mtu, hawawezi kumshambulia tena kwasababu mwili una immunity.
Kasome sentensi nzima utaelewa nilimaanisha nini. Kuna neno ''kwa kawaida'' unajua maana yake?Si virusi wote husababisha immunity baada ya kumpata mtu.
Kasome tena nilichoeleza, nimesema WHO hawajathibitisha kama ukiugua hutaugua tena.Umechapia jomba, kuna nchi ziliripoti visa vya wagonjwa ambao walikuwa wamepona hiyo covid-19.
Chungulia mwenyewe hapo chini:
Can you get re-infected with coronavirus?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, ngoja niirejee.Kasome sentensi nzima utaelewa nilimaanisha nini. Kuna neno ''kwa kawaida'' unajua maana yake?
Hamia Kenya, sisi tumeshakubaliana na maamuzi ya rais wetu! Na mpaka sasa Mungu ametusaidia!Kinachofanyika kenya ni Curfew na sio total lock down. Tofauti ya hivi viwili ni kuwa total lockdown utashinda ndani 24 hrs na utatoka kwa kibali maalum tu na kwa utaratibu maalum wakati kwenye curfew unaruhisiwa kutoka nje na kufanya kazi kwa masaa maalum na unapaswa kuwa katika makazi yako muda wa curfew unapofika hii hupunguza mikusanyikoa au mlundikano usio wa lazima kama kwenye kumbi za starehe jioni au vijiweni.
Pia kenya imefanya cities kuzuia muingiliano wa watu kuelekea au kutoka katika miji mikubwa, ndio maana kuna baadhi ya kaunti hazijaripoti maambukizi mpaka sasa. New cases zinazotoka maeneo yaleyale almost kila siku kama mombasa na ni chache, ni mara chache huzidi 20 tofauti na bongo 100+ new cases.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Miemko tayari, hii ni kawaida kwa TZ. Mtu akisha kuwa challenged kidogo analipuka ka bomu la petrol.Kasome tena nilichoeleza, nimesema WHO hawajathibitisha kama ukiugua hutaugua tena.
Hivi kwanini kiwango cha elimu Tanzania kimeshuka sana, hata kusoma na kuelewa sasa ni tatizo
All in all, kuna uzembe wa serikali. Hatkupaswa kuwa hapa tulipo.
Hiyo ni lockdown kwa ajili yake tu, wengine tutajiju!Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?
Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Kana una ungana na Mwigulu wewe mwenyewe. Na kupata taarifa ni haki yetu watanzania.Mkuu wewe huungani na Mwigulu?
Pole pole with time utaelewa tu. Inawezekana huko mbele mbele huko ukaona hata umuhimu wa lock down (Kipindi kile lakini wakati watu wanalalamika) sasa hivi ni kama too late