Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

Kinachofanyika kenya ni Curfew na sio total lock down. Tofauti ya hivi viwili ni kuwa total lockdown utashinda ndani 24 hrs na utatoka kwa kibali maalum tu na kwa utaratibu maalum wakati kwenye curfew unaruhisiwa kutoka nje na kufanya kazi kwa masaa maalum na unapaswa kuwa katika makazi yako muda wa curfew unapofika hii hupunguza mikusanyikoa au mlundikano usio wa lazima kama kwenye kumbi za starehe jioni au vijiweni.

Pia kenya imefanya cities kuzuia muingiliano wa watu kuelekea au kutoka katika miji mikubwa, ndio maana kuna baadhi ya kaunti hazijaripoti maambukizi mpaka sasa. New cases zinazotoka maeneo yaleyale almost kila siku kama mombasa na ni chache, ni mara chache huzidi 20 tofauti na bongo 100+ new cases.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamia Kenya, sisi tumeshakubaliana na maamuzi ya rais wetu! Na mpaka sasa Mungu ametusaidia!
 
Kasome tena nilichoeleza, nimesema WHO hawajathibitisha kama ukiugua hutaugua tena.
Hivi kwanini kiwango cha elimu Tanzania kimeshuka sana, hata kusoma na kuelewa sasa ni tatizo

All in all, kuna uzembe wa serikali. Hatkupaswa kuwa hapa tulipo.
Duh! Miemko tayari, hii ni kawaida kwa TZ. Mtu akisha kuwa challenged kidogo analipuka ka bomu la petrol.







*****Master of anything but less perfection of every thing********

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimamo anaonesha My President juu ya Kukataa Kui-lock Dsm ni msimamo mzuri.
Kutoka na Mazingira yetu, hali zetu za Kiuchumi wengi wetu sio nzuri, karibu ya 80% ya Watanzania Kipato Chao ni Cha Kila Siku.

Hizo na sababu nyingine alizozianisha, Mimi naona ni Uamuzi mzuri, japo Kuwa Kuna jitihada Kubwa Serikali inabidi izichukue Kuakikisha Wananchi wake wapo salama.

Mimi bado sijaridhika na jitihada ambazo Serikali inazozichukua. Ombi langu naiomba Serikali ije na mpango mzuri zaidi wa Kuikabiri Corona hapa nchini.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpango tayari upo unatekelezwa wewe endelea kupiga kazi
 
Kuna athari kubwa sana kwa mtu akijijengea fikira ya kupinga kila kitu,hebu fikiria kidogo makao makuu ya umoja wa mataifa yako Marekani,unataka kuniambia katibu mkuu wa umoja wa mataifa akitaka kutoa hotuba hadi aende Marekani,hawezi kuwa Tanzania na bado akahutubia mataifa yote?

Chato ni Tanzania,tupunguzeni manunguniko yasiyo tija

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni lockdown kwa ajili yake tu, wengine tutajiju!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili halina ubishi kabisa maana hata kwa macho tu kuweka total au half lock down kwa mazingira ya nchi yetu ni ngumu. Kwanza jinsi miji yetu ilivyo tu maana ni 80% haikufuata mipango miji kwa hiyo hata kuisimamia hiyo lockdown ni ngumu. Pili kiwango cha umasikini tulionao sisi watanzania na namna ya utafutaji wetu ingekuwa ngumu.

Mfano mama muuza chakula yaani mama lishe ambae anapikia chakula chake Tandika alafu wateja wake wapo Kariakoo ukimzuia siku 30 asitoke ndani nafikiri ni kama kumuua na njaa. Mantiki hii kiongozi wetu wa nchi yupo sahihi juu ya hili. Hata kufunga mkoa wa dar eti watu wasitoke na kuingia ni sawa na kuwaua na njaa watu wa Dar es salaam. Maana ni mji ambao unategemea chakula na mahitaji mengi toka mikoani.

Leo Tv stations nyingi Duniani zinazungumzia suala kubwa ambalo ni kuanza kutoa zuio la watu kukaa ndani. Hata nchi kama spain ambayo ilikuwa imeathiliwa na ugonjwa huu kwa hali ya juu wameanza kuruhusu watu kutoka nje ili waanze shughuli kidogo kidogo. Pia Hong Kong imeondoa zuio hilo toka jumatatu na hata shule zimefunguliwa hii ni kwa sababu hakuna kisa kipya kilichoripotiwa.

Hivyo basi hata hapa kwetu Waziri wa afya tunakuomba uwe unatupa taarifa ili tujue je maambukizi yameisha? Yanaendelea? Yamepungua? Maana wananchi wanavyopata taarifa ndio wanavyochukua tahadhari vizuri. Maana hii itasaidia kujua hii vita tunayopambana nayo ipo katika hali gani.
 
Mkuu wewe huungani na Mwigulu?

Pole pole with time utaelewa tu. Inawezekana huko mbele mbele huko ukaona hata umuhimu wa lock down (Kipindi kile lakini wakati watu wanalalamika) sasa hivi ni kama too late
 
Mkuu wewe huungani na Mwigulu?

Pole pole with time utaelewa tu. Inawezekana huko mbele mbele huko ukaona hata umuhimu wa lock down (Kipindi kile lakini wakati watu wanalalamika) sasa hivi ni kama too late
Hii ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake. Kana una ungana na Mwigulu wewe mwenyewe. Na kupata taarifa ni haki yetu watanzania.
 
job'
US President Donald Trump has confirmed the White House coronavirus task force will be winding down, with Vice-President Mike Pence suggesting it could be closed within weeks.

"We are bringing our country back," Mr Trump said during a visit to a mask-manufacturing factory in Arizona.

New confirmed infections per day in the US currently top 20,000, and daily deaths exceed 1,000.

US health officials warn the virus may spread as businesses begin to reopen.

The US currently has 1.2 million confirmed coronavirus infections and more than 70,000 related deaths, according to Johns Hopkins University.

ADVERTISEMENT

What did President Trump say?
During a visit to the plant in Phoenix, Mr Trump told journalists: "Mike Pence and the task force have done a great job, but we're now looking at a little bit of a different form, and that form is safety and opening. And we'll have a different group probably set up for that."

The president was asked if it was "mission accomplished", and he said: "No, not at all. The mission accomplished is when it's over."

He told reporters: "We can't keep our country closed for the next five years."
 
Back
Top Bottom