MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Halafu na wao wanashangilia, shame!, shame!, shame!π€£π€£π€£π€£ unanilazimisha nijadili waumini wanaopongezwa kwa kutokuvaa barakoa???
Kifo ni kifo tu!! Kwa nini hao wanne waliokufa na corona (kama ni kweli maana humu uongo mwingi sana) unawashadadia sana. Kuna watu wengi zaidi wamekufa kwa magonjwa mengine kama malaria, Cancer, TB nk mbona hao huwazungumzii? Hao sio watu? Hao hawakuumi?? Hapo tu ndipo panaposhangaza!Hatujasema kwamba watu hawafi,nazungumzia vifo vya korona mkuu elewa acha KUVIBE(VIBRATE) mbona kifo(ajali) cha Kaka yake Maria Sarungi sijazungumza? Hivyo vinne ni vya korona!! Nimezungumza kwasababu mnaingizwa chaka kwamba korona sio issue na hali ipo shwari wakati watu wanakatika ila huyo anayesema tuchape kazi yeye kajipalockdown kajichafi mbochi tocha.
ni kheri ubaki tutani mkuuHata sijaelewa alivyosema hapo. Msaada tutani wakuu.
Mlisikiliza? Nilikua namlisha mtoto namsaidia Mama yake ila pale kwenye idadi ukimjulisha kama vile zinagomaMimi nilipigwa na bumbuwazi lakini nilchukulia na kama ile ya Viroboto vya Mbu
Amealika watu wanaotaka kuhakikisha ukweli wa taarifa yake waje wajionee wenyewe!! Na amesema ndugu ndio watakuwa wanazika, kwa hiyo hakuna kificho!!Visa vinazidi kuongezeka Morogoro ,Arusha na DAR ni hatari........Hawa wapiga zumari wa meko tusiwasikilize wanatetea ugali wao.
Uhuru....
Huruhusiwi kwenda sokoni, na saa nyingine unaruhusiwa kutoka kidogo tu, halafu usiku usitoke kana kwamba Corona inatembea usiku ....