Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

Ni kweli kabisa, Lakin ikiwa atakufa atakufa kwa ahadi yake kufika ,si kwa Corona.
Huyu mzee ana Maono makali sana, lakini wengi hatumuelewi kwa sababu ya Media za dunia kutupulizia sanaa upupu wa corona.

Kila TV duniani inaongelea corona,ujuwe iko kitu nyuma ya pazia.
Mwenye kuona ni yule mpembuzi tuu na mwenye uwezo wa kuunganisha 'dotts'
Magufuli nampongeza sana kwa kuonesha Uoni mkali sana juu ya hili.
Hongera mzee kwa hili la corona.

Lakini sikusifii kwa kila jambo, yako mengi tuu umechemka TZ ,
Ruhusu mikutano ya siasa ianze ili angalau vyama vipate kufufuka na kujiandaa na Uchaguzi wa october 2020 kama upo.
 
Asee . . sasa hiyo mbona ni hatari kubwa
 
PacxyM:
PacxyM:
JIPATIE KIPATO UKIWA NA APPLICATION YA SPENN KWENYE SMART PHONE YAKO

SPENN ni Application itakayokuwezesha kutuma pesa bure mitandao yote na kukupa Bonas ya kuanzia 2000/= kwa kila mtu unae mwalika ( utapokea Bonas hiyo mara tu mwalikwa atakamilisha usajili wake)

VIGEZO
-Uwe na kitambulisho cha taifa au Nambari ya NIDA


HATUA ZA KUFUATA
1: DOWNLOAD APPLICATION YA SPENN. Pakua hapa👇👇
SPENN

2: WEKA TAARIFA ZAKO ZOTE KULINGANA NA MAELEKEZO UTAKAYOKUWA UNAPEWA
( Kwenye aina ya kitambulisho chagua "kitambulisho cha taifa" weka number yako ya NIDA pia jibu maswali watakayokuuliza kwa usahihi)

3: PIGA SELFIE SURA YAKO SEHEMU ZOTE UTAKAZO ELEKEZWA KUWEKA PICHA
(🔹Kama una namba ya NIDA pekee, piga selfie sura yako sehemu zote mbili wanapokutaka upige picha
🔹kama una kitambulisho cha NIDA fuata maelekezo utakayoambiwa kwenye sehemu ya kupiga piga.)

4: Ni muda wa saa 1 hadi masaa 4 taarifa zako vitakuwa vimesha akikiwa na mara baada ya kuakikiwa utapokea BONAS ya kwanza : Tsh 1000/=
BONUS YA PILI , NENDA SEHEMU PALIPO NA BUCKET UPANDE WA JUU KULIA BOYEZA, BAADA YA HAPO ANGALIA PALIPO ANDIKWA TOP UP BOYEZA
WEKA SH 1000( ile uliyopewa kama Bonas) NA NUMBER YAKO ,THEN BOYEZA CONFIRM

UTAPATA TENA BONUS 1000Tsh
BAADA YA HAPO UTAKUA TAYARI UMEKAMILISHA USAJILI NA KUPATA ZAWADI YA 2000Tsh.. TAYARI KWAAJILI YA KUALIKA WENGINE NA KUJIPATIA FEDHA ZAIDI

NB:
utapata bonas zote hizo kama utaalikwa na mtu,, ukipakua SPENN APP moja kwa moja kutoka Playstore hutopata hiyo bonus ya 2000/=
Pakua APP yako kupitia hapa ili uweze kupata Bonus hizo na waalike wengine wengi ili upate pesa zaidi
Pakua hapa
SPENN

Kama utakwama sehemu yoyote nicheck; 0686368023
Ahsante

Proof of payment....inayotoka kwenda mtandao wowote

Ww jiunge kupitia link yangu na ndani ya saa moja utapata 2000Tsh kama welcome bonus ambayo utaweza kuitoa kwenda mtando wowote!

Proof of payment....inayotoka kwenda mtandao wowote
 
Asee . . sasa hiyo mbona ni hatari kubwa
Ni noma mkuu cha msingi kuchukua tahadhari kwa mujibu wa miongozo ya WHO na Wizara ya afya,tusisikilize hawa wanasiasa wanatuangamiza....Pia wataalamu wameshauri kutumia vitu vinavyoboost kinga ya mwili sana ikiwemo vitu vyenye vitaminc C kwa wingi(Limao,chungwa,papai etc) na vitu vya zinc kwa wingi (kutafuna mbegu za maboga zilizokaangwa) etc

Nimeangalia leo updates za kigogo kuhusu covid19 ni hatari...Watu kama wa5 kapost wamekata moto.
 
Watunzi wa hadithi wanazidi kuwa wengi sana ili kujaribu kunogesha mapambio yaliyochacha, kuchoka na kuchosha.
Siyo wote tunaofahamu , Mafumbo nyoosha ueleweke.

Nchi inahitaji kuelimishana kwa wazi na ukweli mambo ya uongo, uzushi kuhusiana na CORONA .

Tuyaache.
 
Kiongoz anaibuka awaambia ugonjwa covid-19 unapungua wakati upimaji ulisitishwa watu wanashanigia bila hata Ku scratch brain. Ugonjwa bado upo ona madereva wanaopimwa huko mipakani
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika, ukielewa utakuwa siyo kiazi wewe
 
Ndiyo tatizo la kuwa muongo muongo. Leo huamini vipimo vya kutoka maabara kesho unaviamini! Na huyo mwanae aliugua lini? Amejuaje kapona? Kama kapimwa kapimiwa wapi wakati maabara zinafanyiwa “marekebisho”
Natamani kumuamini kiongozi wangu. Hakuna mtu anayetaka kujitangaza kuugua corona.
 
Huwezi kuamini UONGO Mkuu. Kajuaje ugonjwa umepungua wakati hakuna vipimo kwa zaidi ya wiki mbili!?

Natamani kumuamini kiongozi wangu. Hakuna mtu anayetaka kujitangaza kuugua corona.
 
NO man is infallible, all men are fallible! sasa unaposema kuwa Rais aaminiwe kwa lolote alitamkalo, then you are lost! Tena wanasiasa ni WAONGO, wote ni waongo, what differs is a degree of lying! and particularly ukishamsoma unaye deal naye!
Basi nataka nisimuamini kuwa aweza kuniacha chaka.
 
Lockdown kwa ulaya, marekani sawa
Watu wako off lkn wanalipwa Hela bongo isingewezekana ndomana Rais aliliona hilo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa, Lakin ikiwa atakufa atakufa kwa ahadi yake kufika ,si kwa Corona...
Ni kweli Rais Magufuli ameonesha mapungufu katika uwanja wa siasa, kwa jinsi ambavyo wanasiasa upinzani wangetaka iwe. Yeye ametoa sababu ambazo ni za msingi kabisa, hasa ya kuzuia siasa za majukwaani.

Kwa nchi zinazoendelea na masikini, kama Tanzania, watu wake wanahitaji kufanya kazi kwa bidii pasipo kuchanganywa na wanasiasa. Kuna ushahidi wa wazi kuwa baadhi wa wanasiasa wamekuwa wakichochea watu kutokushiriki shughuli za maendeleo kwa kisingizio ati ni wajibu wa Serikali. Imeboresha huduma za kijamii (elimu, afya, maji, nishati) lakini wapinzani wanadai ni maendeleo ya vitu na ni wajibu wa Serikali.

Mfano mwingine ni jinsi ya kudhibiti virusi vya CORONA. Viongozi wengi duniani wametumia njia/mbinu za kisiasa km kufungia watu ndani kwa kipindi kirefu. Kumbe, tafiti zimeonesha kuwa mwili wa binadamu hujenga kinga dhidi ya maradhi, yoyote yale, pale unapokumbana na ugonjwa ama kwa kujiambukiza au kuambukizwa. Kujifungia ndani kunasababisha kupungua kwa kinga mwilini.

Hivyo tutegemee mlipuko wa magonjwa kwenye zilizokuwa kwenye "lockdown" baada ya wananchi kuruhusiwa kurejea maisha yao ya kawaida. Sababu kubwa mwili wa huyo mtu umepungua kinga kupambana na vidudu vya maradhi nje ya nyumba alimojifungia.

Tatizo la kisayansi hutatuliwa kisayansi na si vinginevyo. Rais Magufuli, kama mwanasayansi, ametumia elimu yake kupambana na maambukizi ya COVID-19. Wanaombeza watambue kuwa ameokoa maisha yao, ya familia na WaTz wote. Ni kwa sababu hiyo bado wako hai na ndiyo maana wanakuwa na jeuri ya kubeza na kulaumu.

Tanzania bila COVID-19 inawezekana iwapo kila mtu atawajibika ipasavyo kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya kujikinga dhidi ya maambukizi.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE UWAPENDAO
 
Kwa kauli tata za Jiwe I can bet hakukuwa na mgonjwa kama alivyojigamba...huyu jamaa kauli zake haziaminiki tena
 
Nimejikuta nacheka sana yaani. Mashindano mpaka kwenye ugonjwa?

Hii inaitwa tusitishane kama wewe mwanao aliumwa COVID19 na mimi wangu aliumwa hiyo hiyo COVID19. Na kama wewe ulimpeleka mwanao hospital mimi wangu nilimfukiza tu na akapona.

Kweli mambo ni moto.

Bado nasubiri kusikia kutokà kwa mtoto wa Lipumba,Zitto na Hashim Rungwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…