Mbona huwa wananchi wanamuomba wajengewe barabara. Huyu ni mkuu wa nchi hata mzunguko wa pesa anaweza akafanya ukawa mkubwa.
Out of point. Kuwa serious na maisha. Mama ntilie, wauza maandazi na machinga wanalia njaa.
Hao wazawa wanao uwezo wa kufanya mradi kama wa daraja la Busisi kwenda Kigongo. Mbona wakati wa Mkapa kulikuwa na miradi mingi na ilijengwa na wageni na mzunguko wa pesa ulikuwepo? Yeye aangalie Fiscal policies nzuri ili pesa ziwafikie wananchi.Hata kabla ya Corona hali ya mzunguko wa pesa ulikuwa mbaya.
Shida ni mmoja miradi mikubwa ya Magufuli inayotekelezwa na makandarasi wa nchi za nje.Hao makandarasi wageni pesa yote wanapeleka kwao.
Na hao wafanyakazi watanzania wanalipwa mishahara midogo sana na makampuni hayo ya kigeni.
Magufuli atafute vianzo vingine lakini miradi mipya wapewe wazawa.
Izo akili hana. Yeye ukitaka kuondoa tatizo. Ondoa chanzo cha tatizo.Mbona huwa wananchi wanamuomba wajengewe barabara. Huyu ni mkuu wa nchi hata mzunguko wa pesa anaweza akafanya ukawa mkubwa.