Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

Na Bado 20 tena? Chapa kazi ,unataka unataka pokepole auze vieitee akuletee pesa?
 
Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda...
Mnatakiwa msubiri ,wapinzani wametuchelewesha sana
 
Jiwe is a sadist...... one receives gratification from causing pain and degradation to another. a person who enjoys being cruel...... Mitano tena
 
Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda...
Katika vitu ambavyo Jiwe Zanzimana hataki kabisaaa kuambiwa nihili kuwa wananchi wana hali mbaya sana kiuchumi na hela hakuna , mzunguko haupo , Jiwe hataki kabisaaa kusikia madna watu wanavyoteseka yeye ni mpaka jino la mwisho kwa furaha .
 
Back
Top Bottom