Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 8,996 Reaction score 6,927 Feb 10, 2021 #61 Na Bado 20 tena? Chapa kazi ,unataka unataka pokepole auze vieitee akuletee pesa?
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 18,223 Reaction score 31,465 Feb 10, 2021 #62 Idugunde said: Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda... Click to expand... Mnatakiwa msubiri ,wapinzani wametuchelewesha sana
Idugunde said: Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda... Click to expand... Mnatakiwa msubiri ,wapinzani wametuchelewesha sana
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,728 Reaction score 49,762 Feb 10, 2021 #63 Mwafwaaa
Kinambeu JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 906 Reaction score 454 Feb 10, 2021 #64 Jiwe is a sadist...... one receives gratification from causing pain and degradation to another. a person who enjoys being cruel...... Mitano tena
Jiwe is a sadist...... one receives gratification from causing pain and degradation to another. a person who enjoys being cruel...... Mitano tena
Chief Kabikula JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 7,564 Reaction score 9,043 Feb 10, 2021 #65 Idugunde said: Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda... Click to expand... Katika vitu ambavyo Jiwe Zanzimana hataki kabisaaa kuambiwa nihili kuwa wananchi wana hali mbaya sana kiuchumi na hela hakuna , mzunguko haupo , Jiwe hataki kabisaaa kusikia madna watu wanavyoteseka yeye ni mpaka jino la mwisho kwa furaha .
Idugunde said: Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda... Click to expand... Katika vitu ambavyo Jiwe Zanzimana hataki kabisaaa kuambiwa nihili kuwa wananchi wana hali mbaya sana kiuchumi na hela hakuna , mzunguko haupo , Jiwe hataki kabisaaa kusikia madna watu wanavyoteseka yeye ni mpaka jino la mwisho kwa furaha .