Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Huyu jamaa ni kichefuchefu mpaka haiwezekani.
He ruined my life
Vijana wakipata pesa hawatakuwa WANYONGE tena, Serikali ya huyu jamaa na wenzake akina Polepole inataka Wananchi waendelee kuwa wanyonge ili iwatumie kwa manufaa yake mbali mbali. Tazama mfano wa GENGE LA LUMUMBA (Vijana wa buku saba saba), wamachinga, mamalishe na wengineo, utapata picha ya Wananchi wanaohitajika na hii serikali ya CCM.Haitoshi, vijana wamezagaa mjini wanauza soksi. umetoka job unataka kupumzika sehemu unaona kundi la vijana aged 15- 30 wanakuja kundi as if wanakuvamia alaa kumbe wachuuzi...kila mtu na kiroba chake...
Hawa wanatakiwa wawe mashambani wakizalisha....hawa wanatakiwa kuingia ubia na Serikali...Serikali inatoa resources wao ni NGUVU KAZI...umri wao unarihusu...
Hii kauli haitoshi...ondoa hawa vijana mjini wakafanye kazi huko mashambani watajirike...weka utaratibu mzuri wa uzalishaji na masoko... hela ya Dreamliner moja tu unawabadilisha hawa vijana kabisa kabisa..!!
Mkuu, wewe kama una DANGA linakutunza usimkejeli mwenzio. Unajuaje madhila aliyopatiwa? Je, kama ni kati ya wanaodai pesa zao za korosho? Hiyo itakuwa ni "failure" yake tu?U ruined ur life... Usiwalaumu watu kwa failure zako kwenye maisha. Pitia upya sababu za maisha yako kuvurugika unaweza kutwa ni bad decisions na kutocheza kadi zako vyema
Hahahah Jey bhana, Mkurugenzi? Hana watendaji? Yeye akifikai ndi ataviprinti??
DG wa Nida bila shaka Sasa hivi yupo mbioni kwenda moro
Nguo za kubadilisha kesho atanunua huko huko
Mahindi bei ijipange automatically lakin Korosho bei inapangwa na Amiri jeshi
Mkurugenzi akienda morogoro itasaidia nini? Magufuli sometimes kichwa kikipata Moto hawezi kufikiria!!!
Au Mkurugenzi anatembea navyo Kwenye begi?
Subiri mpe kura yako 2020 ndio inayotafutwa tu, izo ni siasa tu sasa mkurugenzi kwani ndie anayekwamisha, mkurugenzi hazai vitambulisho, vile vitambulisho you never know pengine ata karatasi za kuchapishia serikali hawana, pengine hawana staff wa kutosha kwenye hii ajira zoezi ndio linakuwa gumu lakin akisimama atasema mkurugenz njoo haraka.
yaani mtapelekeshwa kweli kweli nyie nyumbu.

Sasa mkurugenzi akienda Morogoro ndio itakuwa nini? Matatizo ya NIDA yanajulikana, rasilimali walizonazo haziendani na mahitaji halisi,kimsingi wamezidiwa.
Wanahitaji, fedha, ofisi,rasilimali watu na vifaa vya kutosha sio mkurugenzi wao kwenda Morogoro! Wanasiasa waache kutafuta cheap popularity. Tufanye kazi,sifa zitakuja tu kama kweli ni za muhimu.
Naona hapo juu kuna watu wanasifia hiyo amri ya kwenda Morogoro,wananchi tujitahidi kupunguza ujinga, upumbavu na ushamba. Tujifunze kuwa critical thinkers, tuache ushabiki wa kitoto na ulimbukeni.
Nimesikia Muheshimiwa anasema hawezi kupanga bei ya mahindi, yakipanda yapande huu ni mwaka wa wakulima na wafanyabiashara.
Okay thats well and good free market in the workings, swali linakuja ni wapi soko huria linaishia, mbona kwenye korosho hatukufuata market inavyosema?
Sioni ubaya wa kuchagua njia hii au ile, ila we need consistency.
We are really in big trouble.
Tatizo la NIDA si Morogoro peke yake, ni nchi nzima. Huyo Mkurugenzi maskini sijui atajigawa vipi. Kila wilaya ina ofisi siku hizi. Kwa nini isitumike hiyo? Hilo la kwanza, la pili, hizo ofisi za NIDA zinapewa fedha za kutosha kufanya kazi hiyo? Jibu ni dhahiri, bajeti yao ni ndogo sana.
Kuhusu biashara ya mazao, naona kuna mkanaganyiko mkubwa zaidi. Ni soko huria au serikali itaendelea kupanga bei kama kwenye korosho na pamba? Itaacha kuwazuia wakulima kuuza nje ya nchi ili wapate bei nzuri?
Hhahaah baada ya kuharibu soko la korosho, Bangi sorry tumbaku, Mahindi etc ndio anakuja na huu msemo saa hizi?? Hongera sana san aserikali ya awamu ya Tano
Mbona Bei ya korosho anapanga bei?
Umeambiwa hizo zama zimepita......uwe unaelewa bwashee!
Haitoshi, vijana wamezagaa mjini wanauza soksi. umetoka job unataka kupumzika sehemu unaona kundi la vijana aged 15- 30 wanakuja kundi as if wanakuvamia alaa kumbe wachuuzi...kila mtu na kiroba chake...
Hawa wanatakiwa wawe mashambani wakizalisha....hawa wanatakiwa kuingia ubia na Serikali...Serikali inatoa resources wao ni NGUVU KAZI...umri wao unarihusu...
Hii kauli haitoshi...ondoa hawa vijana mjini wakafanye kazi huko mashambani watajirike...weka utaratibu mzuri wa uzalishaji na masoko... hela ya Dreamliner moja tu unawabadilisha hawa vijana kabisa kabisa..!!
worst President ever
Ni nani anataka kupigwa hapa?
Kwa nini serikali inatoa Ruzuku za pembejeo? Kwa nini bei ya kuuza korosho ilipangwa na serikali?
Huyu jamaa ni kichefuchefu mpaka haiwezekani.
He ruined my life
Rudia kumwambia kwa msisitizo labda hajasikia vizuri