Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

Serikali kununua mahindi huwa ni favor muhimu kwa wakulima ama kutokana na mahitaji ya serikali?

Ujamaa ulishatumaliza.......

Hakushindwa kununua bali ameamua kutonunua ili kutotoa hiyo unnecessary favor kwa gharama za serikali na kutumia hizo pesa zinajenga mahospitali.
Hamna lolote kashindwa kustabilise bei ya unga kutokana na yeye kushindwa kununua mahindi na kuweka strategic reserve, huyu bwana ni actor of note, hakuna mkulima anafaidika na hili, mahindi yote yako kwenye kangomba ya mahindi anachemka tuu
 
Anachoangalia JPM ni kumlinda mkulima.
Korosho na pamba soko liko mikononi mwa wahindi.

Mahindi soko kubwa ni wananchi wenyewe.

Yuko kumjali mkulima zaidi.
Kama kawaida ameharibu kila kitu. Nchi ina hifadhi ndogo sana ya strategic grain reserve. Hiyo hutumika ku regulate soko kukiwa na uhaba ili bei isiwe juu. Kwa sasa huko hakuna kitu wamebaki kusema uongo.
 
Juzi Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa Morogoro alimuagiza Mkurungenzi wa NIDA kuja Morogoro kutatua kero ya namna vitambulisho vya taifa maarufu NIDA vinavyopatikana. Hili limekuwa kero kwa nchi nzima, asante Mheshimiwa Rais, hata hivyo kuna maswali mengi yasiyokuwa kuwa na majibu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na kwa wasaidizi wake wote.

Hivi wao hawakuwahi kuiona hii kero? Na kama waliiona walichukua hatua gani? Kwa kuwa ulikuwa ukienda wilayani walipo hawa wa NIDA unakuta umati wa watu mkubwa wa watu kutoka vijijini na sehemu mbalimbali utadhani kuna gulio.

Tujisahihishe tumsaidie Mhe. Rais.
 
Alishatangaza kuwa wakuu wa wilaya na mikoa wahakikishe hakuna uhaba

Ni kusema wazi kuwa reserve hakuna.

Plus amesema price ziwe huru....

Kama kawaida ameharibu kila kitu. Nchi ina hifadhi ndogo sana ya strategic grain reserve. Hiyo hutumika ku regulate soko kukiwa na uhaba ili bei isiwe juu. Kwa sasa huko hakuna kitu wamebaki kusema uongo.
 
Juzi mheshimiwa rais wa jamhuri ya Muungano alipokuwa Morogoro alimuagiza mkurungenzi wa NIDA kuja morogoro kutatua kero ya namna vitambulisho vya taifa alimaarufu NIDA vinavyopatikana.Hili limekuwa kero kwa nchi nzima asante mheshimiwa rais hata hivyo kuna maswali mengi yasiyokuwa kuwa na majibu kwa waziri wa mambo ya ndani na kwa wasaidizi wake wote.

Hivi wao hawakuwahi kuiona hii khali?? na kama waliiona walichukua hatua gani?? Kwa kuwa ulikuwa ukienda wilayani walipo hawa wa NIDA unakuta umati wa watu mkubwa a watu kutoka vijijini MA sehemu mbalimbali utazani kuna gulio.Tujisahihishe tumsaidie Mhe.Rais.
Mkuu hajafanya lolote kuhusu kero za wananchi kwa NIDA ni janga la taifa sio wilaya au mkoa wa Morogoro tu nashauri Raisi aondowe kiki za kisiasa katika hilo suala la NIDA watu wameka miaka bila kupewa vitambulisho.....suluhisho liwe la taifa zima sio kumuita mkuu wa NIDA nayeye masikini hana uwezo kazidiwa wanatafuta namna ya kumtoa kafara
 
Tatizo sio la NIDA ,Ni mfumo wa serikali kutokuzingatia,Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50 Mitambo kwa ajili ya vitambulisho ipo sehemu moja tu,hivyo kuna gepu kubwa kati ya wahitaji na chombo kinachohudumia
 
Hili zoezi mpaka nishaanza kulichukia ubabaishaji mwingi.. uhitaji wa kitambulisho ni mpana ila upatikanaji ni mdogo! Unaweza sema hawawazi mbona vitambulisho vya kula Ni very easy kuvipata lkn hichi Cha utaifa utafikiri visa ya kwenda mbingubi!! Wanaboa
 
Kitachotokea ni kuwa wengi watapewa namba ili wasajili simu ila hawatapewa vitambulisho sababu hawajakidhi vigezo... hawana vyeti kuonesha uhalali wa Uraia wao
 
Mkuu hajafanya lolote kuhusu kero za wananchi kwa NIDA ni janga la taifa sio wilaya au mkoa wa Morogoro tu nashauri Raisi aondowe kiki za kisiasa katika hilo suala la NIDA watu wameka miaka bila kupewa vitambulisho.....suluhisho liwe la taifa zima sio kumuita mkuu wa NIDA nayeye masikini hana uwezo kazidiwa wanatafuta namna ya kumtoa kafara
Mkuu mulwanaka ndo maana nimewauliza wasaidizi wake hasa wa mambo ya ndani Hawaoni??
 
Mkuu mulwanaka ndo maana nimewauliza wasaidizi wake hasa wa mambo ya ndani Hawaoni??
Wanaona vizri na sababu wanazijua ila tu..... Watznia wengi hawajamjua Raisi wetu ni bonge la msani arafu anajua kwamba watanzania wengi ni Mazuzu
 
Mkuu hajafanya lolote kuhusu kero za wananchi kwa NIDA ni janga la taifa sio wilaya au mkoa wa Morogoro tu nashauri Raisi aondowe kiki za kisiasa katika hilo suala la NIDA watu wameka miaka bila kupewa vitambulisho.....suluhisho liwe la taifa zima sio kumuita mkuu wa NIDA nayeye masikini hana uwezo kazidiwa wanatafuta namna ya kumtoa kafara
Mkuu kaipitie tena Ile hotuba yake kisha uje uombe radhi hadharani.
 
Wateule wajitahidi kujiongeza wasisubiri Mh. Raisi kuwafanyia kazi zao. They must be creative otherwise they should go.
 
Kitachotokea ni kuwa wengi watapewa namba ili wasajili simu ila hawatapewa vitambulisho sababu hawajakidhi vigezo... hawana vyeti kuonesha uhalali wa Uraia wao
Hivyo ni visingizio nivigumu prove uraia wa mtu wakati vyeti vyakuzaliwa vilianza kutolewa miaka ya 2000 tu....jiulize kwanini Kenya Rwanda Uganda wameweza kutowa vitambulisho haraka, na sio sisi kwani wahamiaji haramu wako Tanzania sio nchi zingine naona hiyo imekua njia ya kupinga pesa kwa raia kati ya 20000 na 10000 inatumika kukamirisha huo mchakato wa kupata cheti.
 
Angejua hao anao waita wanyonge ndio wanaolia bei ya mahindi angechagua la kuongea, mbona dola hakuiacha ijipangie bei yenyewe ili wafanyabiashara wa fedha wanufaike? Bai kusiwe na bei elekezi kwa chochte hata madini yauzwe kwa utashi. Huyo mkurugenzi wa NIDA ajiandae kutumbuliwa kama kaitwa Morogoro wakati ni tatizo la nchi nzima ajue kachokwa.
Supply vs demand curve inahusika. Ninachojua ni kuwa Supply imeshuka na kushindwa kukidhi walaji, ndio maana Wenye mahindi wametumia fursa hiyo kupandusha. Ili kumsaidia mnyonge ni kuwezesha kilimo bora na hivyo mazao muhimu ya chakula yasiadimike. Mnyonge ndiye anazidi kulia hapo.
 
Hi kauri ya mh Raisi kuhusu NIDA ndio ilitakiwa aitoe Lugola lakini badala yake akaropoka ropoka kuwa laini hazitafungwa

Lakini pia hongera Lugola kwa kumaliza tatizo la wananchi na NIDA maana siku hizi ofisi za NIDA kweupeeee
 
Juzi Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano alipokuwa Morogoro alimuagiza Mkurungenzi wa NIDA kuja Morogoro kutatua kero ya namna vitambulisho vya taifa maarufu NIDA vinavyopatikana. Hili limekuwa kero kwa nchi nzima, asante Mheshimiwa Rais, hata hivyo kuna maswali mengi yasiyokuwa kuwa na majibu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na kwa wasaidizi wake wote.

Hivi wao hawakuwahi kuiona hii kero? Na kama waliiona walichukua hatua gani? Kwa kuwa ulikuwa ukienda wilayani walipo hawa wa NIDA unakuta umati wa watu mkubwa wa watu kutoka vijijini na sehemu mbalimbali utadhani kuna gulio.

Tujisahihishe tumsaidie Mhe. Rais.
Katika uongozi wowote lazima kuwe na kiongozi wa juu,na yeye anakuwa na wasaidizi wake,katika kutenda kazi sio kila alieteuliwa chini yake atatenda kila jambo bila ya usaidizi wa aliye juu,ni lazima kuwe na kushirikishana,kwahiyo sio kwakuwa raisi yupo basi yeye akae tu akijua kuwa chini yake kuna wasaidizi,kuna wakati Raisi naye inabidi afuatiilie utendaji wa wale wa chini yake na kuwapa usaidizi na miongozo ili kazi ziende.Hivyo tusimlaumu waziri wa mambo ya ndani hapa,huo ni utaratibu tu katika ufanyaji kazi...
 
Korosho ni kutetea wakulima dhidi ya wahindi
Mahindi anaongelea bei ibaki juu wakulima wafaidike.

Win win kwa wakulima wa mahindi na korosho.

Korosho ni hoja mfu... tafuteni vya muhimu zaidi
Hivi anaefaidika na Bei kubwa ni mkulima au mlanguzi.., mlanguzi ananunua mahindi yakitoka tu kwa bei ndogo kwa mkulima anayaweka bei zipande by the time bei ipo kwenye peak mkulima hana hata mbegu za kupanda...
 
Back
Top Bottom