Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu na wale ambao tuna tunaaminishwa kuwa viwanda zaidi ya 8 vimejengwa bado tunawachora tu Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.
Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.