Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Jamani mmeambiwa ukiwa na cherehani kuanzia nne hicho ni kiwanda tosha.Tanzania ya viwanda, huo msemo ushakufa kibudu.
Hahaha hapo sasa😂😂Imekuwa hivyo tena si angesema anaweka mazingira.
Safari hii tunaambiwa tutakuwa kama ulaya, hivi wanasiasa huwa wanatuonaje sijui.Sisikia Tena kelele za slogan ya viwanda
Ndio imeisha hio
Walimu wamepewa laptop zao[emoji44]Safari hii tunaambiwa tutakuwa kama ulaya, hivi wanasiasa huwa wanatuonaje sijui.
NA ZILE SADAKA MNAZOTOZA KWENYEMIKUTANO YA KAMPENI KWA KUTUMIA ZILE NDOO NYEUPE, MAPATO YAKE NA MATUMIZI YAKO WAPIIIII??View attachment 1565079
Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?
Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.
Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya na watu wanashangilia pasipo kuhoji utekelezaji wa Tanzania ya Viwanda.
CCM na Magufuli walivyo wajanja hata kugusia Tanzania ya Viwanda hawataki tena, wanajua wakiwaamusha waliolala watalala wao.
Tuendelee kusifu na kushangilia, tunywe mtori labda nyama tutazikuta kwa chini.
Leo kaanza kutumia chopa.NA ZILE SADAKA MNAZOTOZA KWENYEMIKUTANO YA KAMPENI KWA KUTUMIA ZILE NDOO NYEUPE, MAPATO YAKE NA MATUMIZI YAKO WAPIIIII??
Teh teh teh...viwanda vya kuzalisha/kutengeneza nini?...siasa hizi....Nakumbuka Jaffo aliwaagiza wakuu wa mikoa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa viwanda 200 kila mkoa!
Dhu. Kwa awaida taa za nje kama hiyo huwa ina protection cover kuzuia maji na unyevunyevu usiingie ..... sasa kweli hii siyo hatari kwa mtumiaji kweli!!?
Ni kweli; CCM inaweza kushindwa vibaya sana uchaguzi huu. Ila kushindwa kwao haitakuwa sababu ya kutoingoza nchi vizuri, bali itakuwa ni sababu ya kutowapa wananchi maisha ya mkato mkato. Tukishindwa kuvunja cycle hiyo ya maisha ya mkato itatuchukua muda mrefu sana kujielewa. Kenya, pamoja na mambo yao ya ukabila, wao wanajua kabisa kuwa hakuna free lunch duniani hapa. Hata kama wanafanya mambo ya njia za kimkato, huwa wako wazi kujua kuwa hizo ni haramu. Kwetu hapa unapoziharamisha unakuwa "hufai".Wafanyakazi ( walimu, wajeda ,watumishi mbali mbali), waliofukuzwa kazi, mama ntilie, boda boda, wamachinga, waliokosa ajira na wanyonge wote hao wanawachora tu na wale ambao tuna tunaaminishwa kuwa viwanda zaidi ya 8 vimejengwa bado tunawachora tu Ila yaliyopo moyoni ni kwenye sanduku la kura , pale meza itakopogeuzwa juu chini.
Tuendelee kupiga kampeni ,. Mwaka huu mtapigwa chini kimya kimya.
Wanazindua nini hapo? Nyumba ya makuti yenye umeme?! Ahhaaaaaaaaaaaa kweli ccm........View attachment 1565079
Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?
Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.
Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya na watu wanashangilia pasipo kuhoji utekelezaji wa Tanzania ya Viwanda.
CCM na Magufuli walivyo wajanja hata kugusia Tanzania ya Viwanda hawataki tena, wanajua wakiwaamusha waliolala watalala wao.
Tuendelee kusifu na kushangilia, tunywe mtori labda nyama tutazikuta kwa chini.
Nakumbuka Jaffo aliwaagiza wakuu wa mikoa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa viwanda 200 kila mkoa!
View attachment 1565079
Kila nikikumbuka slogan hii huwa nawatathimini watanzania nashindwa kuwaelewa kabisa, je tumerogwa?
Mbona hatuhoji kama Tanzania hii ndiyo ya Viwanda tuliyoahidiwa au tungoje nyingine.
Najua waliodanganywa 2015 ni wale wale wanaodanganywa leo 2020 kuwa anakwenda kuifanya Tanzania iwe kama Ulaya na watu wanashangilia pasipo kuhoji utekelezaji wa Tanzania ya Viwanda.
CCM na Magufuli walivyo wajanja hata kugusia Tanzania ya Viwanda hawataki tena, wanajua wakiwaamusha waliolala watalala wao.
Tuendelee kusifu na kushangilia, tunywe mtori labda nyama tutazikuta kwa chini.
Ni kweli; CCM inaweza kushindwa vibaya sana uchaguzi huu. Ila kushindwa kwao haitakuwa sababu ya kutoingoza nchi vizuri, bali itakuwa ni sababu ya kutowapa wananchi maisha ya mkato mkato. Tukishindwa kuvunja cycle hiyo ya maisha ya mkato itatuchukua muda mrefu sana kujielewa. Kenya, pamoja na mambo yao ya ukabila, wao wanajua kabisa kuwa hakuna free lunch duniani hapa. Hata kama wanafanya mambo ya njia za kimkato, huwa wako wazi kujua kuwa hizo ni haramu. Kwetu hapa unapoziharamisha unakuwa "hufai".
Nimeshangaa sana kuona umo humu JF toka 2007 lakini point unachangia kama watoto wa 2019!! Hadi huruma. Be serious man ! Work and see that this country needs help from committed young men and women. Why don't see that is Magufuli is fooling us?Vile Mimi na wewe ambao mtaji wetu ni mdogo tutaenda kwa DJ atukopeshe
Na wewe unaongea pumba kwa sababu unasikiliza ya kuambiwa tu wala hujasoma documents halisi. Nina imani hujasoma ripoti za CAG na wala hujasoma bajeti za Wizara ya Mwasiliano na Uchukuzi kwa vile uliaminishwa maneno ya Zitto ambayo yalikuwa ya kupikwa tu kwani yalikuwa hayalingani na ripoti halisi za CAG. Kuna sehemu niliweka documents hizo hapa na watu waliokuwa wanapiga kelel wakanyamaza; wewe hukuzisoma. Zitafute; zipo hapa uzisome kama kweli kuna manunuzi yoyote yaliyofanywa bila kufuata sheria za nchi.Mambo ya mkato mkato kama yapi ndugu? Kama ya kufanya manunuzi makubwa ya ndege bila kufuata sheria na taratibu za PPRA? Au hiyo sio “haramu”?
Wewe ni mtu mzima acha kujitoa akili, unaeneza propaganda kuwa waTz wakiiondoa serikali ya CCM madarakani watakuwa wameiondoa kwa hiyo sababu ya kijinga ati wamenyimwa maisha ya mkato mkato! Hahahah shame on you!