Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Duh mkuu huu uzi uanzishwe kwenye mfumo wa kitabu utapiga hela zako
[emoji3][emoji3][emoji3] Acha masihala mkuu. Ngoja kwanza nijifunze kuandika kwa kiswahili fasaha ndipo nifikirie kitabu.
 
Hapo umenena mkuu!
 
Kosa kubwa la mtukufu mwenyekiti wa CCM ni unyanyasaji uonevu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na sasa kaja na kosa lingine baya la kishetani zaidi eti kuna kitu kinaitwa kupita bila kupingwa kwa njia haramu ni ushetani mpya Hatari zaidi
Theory ya maelezo ya Lissu ya kupigwa riasi na hii image ya gari lake Lissu inayo onyesha matobo yaliyo sababishwa na risai zilizo toka kwenye AK 47, principle ipi ya Physics ilitumika?

Nikukumbushe tu ya kwamba yeye anadai alipigwa na kujeruhuwa vibaya kwenye paja lake la mguu wa kuli. Matobo ya risasi yanaonyesha gari lilipigwa ubavuni.

Risasi inaweza piga kona na kwenda beruhigt paja la kulia badala la kushoto?
 
Asante mkuu. Nitarudi tena.
 
"wakimshabikia pimbi wao, kwa kile kitu wanacho amini kuwa ametoka uzunguni basi ataleta mabadiliko wanayo yatamani bila kujua kuwa mzungu ni nyoka wa maisha yao" hapa ndo ulipokosea all in all makala nzuri
Asante mkuu na mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema akubariki sana.

Ila ningekuomba unielezee makosa ya Statement yangu hiyo ni ipi?
 
Kooote huko nilipofika kwa pimbi roho ikasuuzika sana
 
Naheshimu fikra zako na maoni yako kwa kile ulchokiandika hapa. Stay Blessed!!
Watu kama nyie ni mnahitajika sana ili kusaidia kuleta Mapinduzi ya Kiviwanda kwa nchi maskini za Afrika hususani katika Manufacturing Industries.
 
Ungesoma kwanza ndiyo ungelewa nimeandika nini. Sija lenga kwenye uchaguzi bali nimelenga kwenye matatizo ya watu.

Thanks for sharing. Brilliant piece!

Labda tuu kuongezea kidogo. Tunahitaji kubadilisha mindset za vijana/raia wetu. Tunahitaji vijana wanaojituma. Kama ulivyosema hapo juu, wengi bado tunategemea serikali ifanye kila kitu (ndo maana hata vyoo vya shule zetu inategemewa serikali ndo ifanye hilo jukumu!). Unfortunately, Serikali hiyo hiyo inaaminisha watu wake kwamba inaweza/itafanya kila kitu. Hivi ulishawahi kujiuliza kazi ya DC/RC? Hivi vyeo they aren't fit for purpose in the world/country we live in. Imagine kama DC mmoja angeamka akajiwekea malengo kwamba among other things, nataka nipambane na nyumba za tembe kwenye wilaya yangu! Akifanya mobilization kwamba wananchi waamke wajenge hata kama ni nyumba ya bati kumi..they can do it! Unfortunately, kwa sababu ya nature ya hizi kazi...Huyu DC hawezi kuwa innovative! anajua kazi yake ni kuhakikisha CCM inashinda. Lakini kiuhalisia..matatizo mengi ya wananchi wetu yanahitaji uthubutu na innovation ya kawaida sana at individual level of leadership.

Unapotumia mamlaka kama survival game..kila mtu anataka kuingia kwenye siasa, siyo kutoa mchango kwa taifa bali ndo njia imebaki ya kula pesa za Serikali. Ukigawa vyeo kama zawadi kwa wale wanaokubaliana na mawazo yako...unaondoa dhana nzima ya uwajibikaji na ubunifu kwenye kazi. Siasa na wanasiasa wameshindwa kuwa mifano bora kwa vijana wetu. Siku hizi ni wachache sana kama wapo..wanaoamini kwamba unaweza kufanikiwa bila kuiba! Unfortunately , hata miradi mingi inayoanzishwa kuwasaidia wananchi..bado imekuwa ndo njia isiyo rasmi ya kufuja na kuiba mali za umma.

Pia tunahitaji kubadili mfumo/mwelekeo/malengo ya elimu yetu. Kwa nini tunawekeza kwenye elimu? na ni aina gani ya elimu inatufaa sisi waTanzania kulingana na mazingira yetu? Elimu yetu bado ni changamoto kubwa sana. Na wala si swala la kiingereza bali hata uwezo wa kujenga hoja. WaTanzania wengi hatujiamini bado. Na wala siyo lazima tuige elimu ya wenzetu. Tupambanie elimu itakayotusadia kutatua matatizo yetu.

Mwisho wa yote, exposure ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Hatuna budi kuwasaidia vijana wetu na kuwapa support especially wanaotafuta vibarua nje ya nchi. Hatuwezi kujifungia ndani. Tunahitaji kutuma watu huko duniani walete maarifa tuchanganye na ya kwetu hapa tusonge mbele.

Again, asante sana kwa bandiko lako zuri. Nina imani wahusika watapita humu.
 
Jina lako kwenye ID (Meier) linankumbusha Alexander Meier, yule Footballer wa Kijerumani aliyechezea Club ya Eintracht Frankfurt.
Kwa hiyo Mkuu lugha ya Angela Markel inapanda sawa sawia kabisa 😀😀 itabidi tutafutane aisee tujadili kuhusu mambo ya Kiuchumi kwa Sie Vijana wa Africa.
 
Mimi nimemjibu kwa ku base tu kwenye kichwa cha habari sijapooteza muda kusoma hilo documentary naamini kichwa kimebeba kila kitu nimemjibu based na heading tu
Basi umekosea kutokusoma

Angalau soma comments labda utamuelewa

Kuna mtu hapo juu amesema wanaccm hawana/hatuna vichwa kusoma mambo kama haya

Usimfanye aamini yuko sahihi
 
Nikudokeze tu, fomu sio ngumu sana ila hayo ni maelekezo ya Mbowe wajikoseshe ili wakimbie uchaguzi
 
Achana nae huyo
 
It is relative! Kwa mtazamo wako unaona mkaburu alikuwa the west, lakini unasahau mateso ya mzungu wa Europe ambaye mkaburu ni asili yake tunayo kabiliana nayo mpaka leo na pengine mpaka kesho ambayo pia ni ya kupitiliza kiasi hayo hayakupi shida.

Nikujuze tu kidogo ambacho wewe labda hukioni kwa sababu umesha pumbazwa kiakili ni kuwa je unaijua history ya mababu zako?

Unajua miungu ambayo babu za mababu zako walikuwa wana abudu? Dawa zao walizo kuwa wanazitumia pindi wakiugua, kuumwa na nyoka na majeruhi mengine unazijua?

Sasa stories za mababu na mababu wa wanzungu toka miaka elf 6 kabla ya kuzaliwa Yesu wa Nazareth unazijua, lakini stories za mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu huzijui.

Kitu gani kimetokea kwetu sisi kiasi kwamba kikasababisha sisi kushindwa kujua stories za mababu wa mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu? Hatukifikrii wala kukiwaza. Ina maana kabla ya wazungu kuja kwetu sisi tulikuwa hatupo?

Hapo ndipo utambue kuwa wazungu wa Europe ambao hao makaburu ndiyo asili yao wame tuharibu sisi akili kiasi kwamba hakuna kingine tunacho abudu zaidi ya mungu wao ambaye wao wenyewe huko kwao hawamuabudu tena na hakuna kingine tunacho abudu na kukipenda isipo kuwa kinacho toka kwao.

Walicho tufanyia sisi wazungu wa Europe ni kututeka sisi kiakili kwa kutufanya sisi tusielewe kuwa nasi tulikuwa na asili na hivyo kuamini kuwa kila kitu wanacho sema wao ni kizuri. Na kila kitu wanacho fanya wao pia ni kizuri na ndiyo maana tunakubali tu blind kuwa demokrasia wanayo taka kutuletea ni sawa na itakuwa nzuri wakati mifano ipo kibao inayo tuonyesha sisi kuwa huo mfumo wao wa kutuletea sisi demokrasia ambayo wao wenyewe hawaifuati, sio sahii.

Ubaya huo na uzandiki huo walio ufanya hauwezi kuuona kwa sababu umesha tekwa tayari na iko kwenye DNA yako.

YOU BETER BE CAREFULL WITH YOUR SELF FOR WHAT YOU THINK IT IS GUT FOR US!

Lissu hata jali mateso ambayo sisi tutayapata kutoka kwa hao mabeberu wake kwa sababu yeye atakuwa amesha wekwa kwenye kitanzi. Akikataa watakacho taka watamtoa na kumweka mwingine ambaye ni wao. Kwa hiyo the cycle itajirudia tena na tena hivyo daima na hatutweza tena jikwamua.

Magufuli hawaja mteka bado na hawajamweka kwenye kitanzi chao. Hao wengine wote tayari kwa sababu wanatumia hela zao.

Wakisha tuvamia basi tujue kuwa watatufanya sisi tusiwe na power ya kuwapinga kwa pamoja, kwani imani kati yetu kwa sababu ya makabila yetu haitakuwepo tena. Zanzibar itakuwa kivyake na Tanganyika itakuwa kivyake. Waarabu wa pemba watakuwa kivyao na Unguja nao pia kivyao. Sitaki kuelezea itakavyo kuwa kwetu kati ya makabila yetu. Hatari hatari!

Mungu atuepushe!
 
Basi umekosea kutokusoma

Angalau soma comments labda utamuelewa

Kuna mtu hapo juu amesema wanaccm hawana/hatuna vichwa kusoma mambo kama haya

Usimfanye aamini yuko sahihi
Cool!
 
Reactions: T11
Muhimu ya yote kwanza ni wewe mwenyewe kutambua ili uwe na heavy industries unahitaji umeme wa uhakika, kitu ambacho Magufuli anakifanyia Tanzania kwa sasa. Kwa ivyo kitendo cha kulaumu hakuna kiwanda cha chuma kikubwa wakati umeme wenyewe tia maji maji ni kumuonea Magufuli.

Pili unaweza kuwa umesomea mambo ya electrical engineer (just giving you the benefit of the doubt) lakini inaonekana unapwaya kwenye strategic planning za energy security hasa kwa zama hizi za environmental concerns.

Duniani leo kuna umuhimu wa ku-balance kati ya reliable sources and looking after the environment using renewable sources. The goal is to reduce the Earth temperature, anyway kama ulivyogusia this was not the focus of your thread. However not sure if your familiar with international energy sufficient strategies as to what the world is doing (by that I mean developed nations own policies on that front) I got from reading from your post.

Now turudi kwenye icho kiwanda chako cha chuma kabla ya watu kukurupuka na kuamua kufanya investment kuna maswali ya kuulizana na kuyapatia majibu either wanafanya shughuli au wana outsource (logic map) kutokana na mazingira ya soko lao.

Moja ya swali ni strategic importance ya kufanya hiyo shughuli; jibu la haraka yes kiwanda cha chuma Tanzania kinahitajika in the long term and anyone can justify that. Tatizo wengi wenu mnaishia hapo kwenye decision za kutaka kuona serikali inafanya ivyo.

But that is just one question bado kuna maswali mengine luluki yanayo hitaji majibu na yenyewe to justify investment.

Je, tuna watu wenye ‘special knowledge’ ya kuendesha such an industry; ukiangalia kwenye ujenzi wa SGR kuna assembly plant imejengwa kati ya Dodoma na Morogoro inayosimamiwa na wageni. Ukisikiliza engineers wakitanzania walioajiriwa kama supervisors watakwambia hiyo ajira imewapa perspective na knowledge kubwa itakayo wasaidia baadae.

Haya unataka kiwanda cha heavy iron industry ushawahi liona lile li beseni linalopokea chuma na process yote ya iron casting hadi kupata kitu kama reli, unao hao wataalamu? If no inabidi ujibu utawatoa wapi, the answer is simple usomeshe au uajiri wageni? Kama kusomesha this takes time to educate and giving them experience huko nje ya nchi at least six years. Kwa ivyo busara ni kuajiri wageni kwanza walau usomeshe kwa miaka mitatu experience wapewe na wageni.

On the political side kiwanda icho icho kikianza na wageni mtapiga kelele mnawasomi sijui wamesoma ulaya hila serikali imeajiri wageni.

Kuna swala la cost kama ulivyoona Dangote ajajenga sehemu yake ya kuzalishia umeme kwa bahati mbaya it was part of his plan given our electricity capabilities. Kiwanda kikubwa cha saruji kama chake kinahitaji umeme mkubwa. Kwa ivyo kupata umeme wa uhakika ndio imebidi achukue hiyo option ili afikie production target zake za mwaka na arudishe hela yake kwa muda aliojipangia.

Ina maana kiwanda chako cha chuma na chenyewe itabidi ukijengee umeme wake, bado cost za kujenga kiwanda si ajabu ukijikuta gharama zake ni nusu ya bwawa la Nyerere? Is this opportunity cost worth it? Would such an industry enhance the economy given the pace of infrastructure industry, can we compete in cost compared to China in the end (who receive government subsidies to make their products comptitive), in terms of fighting for the market would a Kenyan builder opt to Tanzania Iron product over China because of price, do we have the infrastructure to ship to our neighbours in large volumes, how many tones would we have to produce just to break even?

Maswali mengine kama ya; dependability, speed to reach other market, flexibility, quality etc. Haya kuyaongelea shida maana yanataka supporting infrustructure kama tunaongelea heavy iron industry.

Ni hivi mnatabia ya kuongelea vitu juu juu tu lakini amuwelewi what it takes for those things to be successful. Hapo ata sijagusia strategic planning ya short term, mid term na wala long term ya kuhakikisha kiwanda kinabaki productive for years. Kitu ambacho ata wewe ujagusia kabisa.

Listen mwacheni Magufuli awaandalie mazingira ambayo watoto wenu watakuja faidika nayo kwa kuwatengenezea miundombinu itakayo kuja kuchochea uchumi muda wao sio kuandika mambo mnayoyajua kwa juu juu tu na kudhani ni mepesi kuyatekeleza.
 
Walau unatambua Tundu Lissu is an enemy of the state.
 
Hapo mkuu umenikuna vibaya sana. Kama naruhusiwa kutumia huo msemo. Nitaongezea ku support mchango wako wa hoja. Asante sana tena sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…