Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Unadhani serikali yetu inauwezo wa kuajiri watu wote wenye umri wa kufanya kazi? Zingatia kati ya trillion 1.3 inayokusanywa sasa, billion 600 ni mshahara kila mwezi achilia mbali matumizi mengine.

Kama unadhani inawezekana toa mwangaza wako makosa yalipo na nini kifanyike watu wapate ajira.

Magufuli yeye anadhani hilo swala ni impossible anafikiria long term solution kutengeneza miundombinu itakayotoa access ya kufikia sehemu mbali mbali na umeme wa uhakika kwa bei nafuu ili kuvutia uwekezaji wa private sector na kutoa ajira.

Sasa wewe kama una mbinu mbadala ya haraka ebu tuelezee utawasaidia vipi hao watu wenye kipato cha chini.
Sasa povu la nini?

Kwanza napenda utambue kuwa mimi sio ndiye niliye panda jukwaani na kupayuka kuwa nchi hii ni tajiri, ni Rahis wetu mwenyewe ndiye ameyatoa hayo.

Pili mimi sio ndiye niliye hamishia wizara zote Dodoma kwa mabavu, ni matakwa yake.

Sasa naomba upige mahesabu ya costs zote za kuzipeleka wizara zote Dodoma na gharama za majengo yote ya wizara Dodoma. Alafu ongeza na costs za kuijenga infrastructure ya Dodoma within 5 years.

Ukisha maliza, naomba sasa linganisha na costs za kujenga mtambo mmoja wa kutengenza chuma.

Ukisha maliza, angalia chain ya agira zitakazo tokana na mtambo mmoja tu wa kuoka chuma.

Tuanze na kiwandani kazi zaid ya 3000 zingezalishwa directly.

Tuje kwenye mazingira: mji mpya unge anzishwa na ambao ungekuwa na facilities zote za kimji kama manispar ya mji, shule, ofisi, maduka, barabara, wafanya biashara, soko, usafiri, watoa huduma kama vinyozi, mafundi bomba, fundi seremala, fundi cherehani, fundi ujenzi na kadhalika na kadhalika.

Hapa kazi au ajira zaidi ya 200.000 zingeweza zalishwa.

Tuje kwenye viwanda ambavyo directly vitatumia hiyo chuma hapa nchini. Ajira ngapi zingezalishwa kwenye viwanda hivyo? Tuseme laki 7 na vitakavyo kuwa sio vya utumiaji chuma directly, tuseme milion moja na multiply effect yake karibu ajira ya watu milion tano zingezalishwa. Hapa tayari jumla ya ajira milioni saba zingeweza patikana.

Kwa hiyo utaona kuwa, kuwa na kiwanda kimoja cha kuoka chuma na LNG plant moja peke yake ajira sio chini ya milion 12 zingezalishwa. Hayo ni makadirio ya chini tu.

Tukiongeza Sekta ya maji taka na uangalizi wa barabara, commuter trains, Sky trains, SGR zaidi na Nyerere Dam mbona tungekuwa mbali?

Tukija kwenye skilled manpower au Labor kama; smithy, product Management, project engineering mechanical engineering, process engineerig, design engineering, products designers, mechantronic, Computer scientists, quality controlling managemet, na kadhalika na kadhalika. Tungekuwa na wataalam wa kujivunua.

Hapo tayari tuna scientific research institutes kwenye medicine, metallurgy, chemical, electrical, digital, telecommunication na kathalika na kadhalika

Hapo sijahesabu ongezeko la ajira kwenye sekta nyingigine kama; kilimo, uvuvi, utalii, afya, elimu na huduma nyingine.

Tunacho experience so far kwenye skilled manpower ni civil engineering kwa wingi sana, wanacho kifanya wala hatukioni. Ni usanii tu. Barabara hawajui kutengeza na kwenye mitaro ndiyo kabisa. Kwenye majumba ndiyo hivyo kulipua lipua. Magorofa yote makubwa na madaraja, wajenzi ni makampuni ya nje na wahindi.

Medical doctors kwa wingi pia, electricians na Electrical engineering, system adminstration na wajasiliamali kadha wa kadha.

Sasa katika hawa wako ambao wewe unawaona wanaweza anzisha viwanda vya kufanya manufacturing?

Kaa pembeni kijana tusileteane masihala.
 
Nimependa sana mada yako. Kasoro yako ni kuonyesha mapenzi yako makubwa kwa CCM na rasi Magufuri na kuamini kuwa nchi hii haiwezi kuongozwa na mtu zaidi ya Magufuri. Ushauri wako ungeuelekeza kwa mgombea yeyote atakayepewa ridhaa na wapiga kura. Unafikia kutukatana mgombea uraisi na kumuita pimbi. kwa hili nakushauri uombe samahani! wasomaji wengi ni wapenzi wa Lissu. Kumuita pimbi ni kushusha hadhi ya mada yako. Unajua watu wengi wameishia hapo kusoma.

Kwangu mimi naona kasoro kubwa aliyonayo raisi wetu mpendwa wa sasa hivi, kubwa ni kutopenda kupokea ushauri (nahisi hata huu hataupokea). Anapenda kujiamini kuliko kuamini washauri wake. Nchi hii ni kubwa yenye watu na mali asili nyingi, haiwezi kuongozwa na kichwa kimoja kama tunavyoaminishwa. Anapashwa asikilize watalaamu mbali mbali wa uchumi, kilimo, afya, (to mention few). Watu wanomzunguka wanaangalia upepo wake unaelekea wapi na ndivyo wanavyomshauri. Imagime profesa mzima anajidhalilisha na kusema ameokotwa kutoka jalalani!
Tatizo la pili ambalo anapaswa arekebishe ni kutopenda upinzani! Alisema wazi kuwa anataka kufuta upinzani, Lo! Kwa sasa mambo mengi anayosema anarekebisha, ni kelele zilizokuwa zinapigwa na wapinzani. Kwa kiasi kikubwa anatekeleza sela za upinzani. Watu wake wanaomzunguka hakuna wenye uthubutu wa kukosoa anayofanya. Kama siyo wapinzani, nani basi atakubali kumfunga paka kengere. Wapinzani wafanye kazi, aache vyombo vya habari viwe huru kukosoa, aache magazeti yawe huru kusema wapoona panakwenda tenge, aache wanaharakati wakosoe wanapoona pana dosari. Hii ndiyo namna pekee ya kujua dosari zake. Kwa hulka yake kamwe asitegemee kukosolewa na watu wanaomzunguka.
Mwisho kabisa ambacho huwa sipendi ni imani kuwa nchi hii daima itaongozwa na CCM. Ni kutetea kwa nguvu zote either kwa kutumia vyombo vya dora ( kama alivyosema katibu mkuu wa CCM - wanatumia jeshi la polisi kubaki madarakani) au rafu nyingine ilimradi washike dora. Acha watanzania wajiamulie kwa uhuru nani wanataka awatawale. Wakipenda CCM sawa, wakipenda CDM sawa.
Asante kwa mchango wako. Nitarudi kwako tena.
 
Na mm ndio nataka iwe hivyo tuone nani atapata,kwa mfano mm sio msukuma siwezi jitia kiherehere kuchagua mgombea wa wasukuma,,natamani iwe hvyo ili tuone kabila moja au kanda moja vs zote zilizosalia
Hiyo sio busara. Usilete ukabila. Sio msingi wa taifa letu.
 
Nimesoma hoja zako zote, ninaloweza kusema ni kukushauri utafute Ilani ya CCM 2015/20 na ya sasa 2020/25 uichambue ukizingatia ushauri wako na Dira ya Maendeleo 20205 (Development Vision 2025). Hakika utangundua kuwa ushauri wako umenzigatiwa kwa umakini kuliko ulivyofanya kwa ukurasa mmoja humu JF.

Sina uhakika kama Ilani ya vyama vingine zinakisi "Development Vision 2025" au watatengeneza Dira Mpya ya maendeleo maana bila Dira ni ubabaishaji tu.
Sawa kabisa. Nitazingatia ushauri wako. Asante mkuu. Usiku mwema.
 
Kwa kujibu hedingi yako.. kwanza umewandika nini!!! Usipate hofu kabisaaa.. tano tena bila wasi inakuja.. kura ndizo zitaongea 28
Hayo ya watu kupiga kelele.. ni burudani tu.. mikoa miwili sio kipimo pia.. Ujuwe..

Magufuli tano tena bila wasi.. kwa [emoji817]
Mwambieni kuwa makaburu wa Afrika kusini waliijenga S.A kama ULAYA, lakini haikuwafanya "WASAUZI" wawapende makaburu kwa UKATILI wao.

Mnamo mwaka 1994 makaburu waliondolewa madarakani, kwahiyo TUDARAJA 'twake' tusimpe uhalali wa kulazimisha KUTAWALA watu kwa MKONO WA CHUMA.
 
Subiri Magufuli afike huko kwanza mleta mada ndio uongee

Nyinyi Mlifanya uzinduzi wa kanda toka mikoa kibao na majimbo kibao ya uchaguzi ya kanda ya Chadema yalikusanyika sehemu moja ya mbeya na Arusha subiriniaje Jimbo is mbeya Mjini tu n.a. Arusha mjini tu muone mziki wake ndio mje kulia lia hapa

Mnazindua kanda mnaleta watu toka majimbo yote kibao ya uchaguzi halafu mnasema Lisu kiboko!! Subirini mikutano ya CCM ya majimbo tu ya Arusha mjini na Mbeya Mjini tu hizo porojo zenu za uzinduzi wa kanda bakini nazo kwanza tuangalie za Jimbo tu la Arusha mjini na Mbeya mjini Magufuli akitua

Watu hawana hata hela ya kufanya kampeni watamleta nani na malori? Nenda kwenye mikutano ya kampeni ujaribu kuongea na watu, nusu ya watu utakoongea nao ikifika saa kumi jioni wananuka midomo, kwasababu ya njaa au lishe duni, ndio wataletwa kwenye mikutano? Watu wanaenda kwenye mikutano ya cdm kwa mapenzi yao na sio zaidi ya hapo.
 
Kuto kuwa tegemezi hakumaanishi kuwa sisi hatuwezi shirikiana na mataifa mengine. Kuto kuwa tegemezi ina maana ya kwamba tuna amua vitu vyetu wenyewe vya jufanya na sio kupangiwa vitu vya kufanya.

Kwa mfano kwa mara ya kwanza tuna tumia hela zetu kugharamia uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani wetu bila kutegemea msaada kutoka nje. Hali ambayo itatuwezesha sisi kuamua nani aji kusimamia uchaguzi wetu na nani asije.

Tukiwa tegemezi wahisani ndiyo wanatupangia wao nani wankusimamia uchguzi wetu na kwa conditions zipi?

Kutumia pesa za ndani sio kwakuwa tumependa au hao wafadhili wametaka kuleta tukakataa, bali wamegoma kutokana na mwenendo wetu wa kidemokrasia. Kuamua nani aje sio kwa nia njema, bali uhayawani utakaofanyika kwenye siku ya kupiga kura ndio watawala wetu hawataki ufahamike duniani. Ukitaka kujua kuna hujuma zitafanyika na bado zinafanyika, taasisi zote za humu nchini zilizokuwa zinatoa ripoti za kweli za uchaguzi, zimekataliwa kuwa waangalizi. Bado unaamini sisi sio tegemezi, kuna tofauti ya kutokuwa tegemezi na kuwa na watawala wenye kiburi. Mzungu hakwepeki kwa kiburi.

Tazama deni letu la taifa ndani ya hii miaka mitano, na mitano ijayo hali za wananchi zitakuwa ngumu maradufu. Hizo kelele hewa za kuwa nchi hii ni tajiri, lakini zaidi ya miradi ya mikopo yenye riba kubwa, haiendani na maisha ya watu. Nenda TRA uone jinsi watu wanavyofunga shughuli zao kisa purchasing power ni ndogo. Miaka hii mitano itakuwa migumu kuliko maelezo na usitegee lolote jipya. Kuna miradi miwili ya SGR & SG respectively, itayogharimu 15t+, na hakuna mradi wowote kati ya hiyo uliofika robo ya ujenzi, au nusu ya pesa yaani 7t. Je ni wapi hizo 7-10 itapatikana ndani ya 5yrs, kisha kufanyike uliyopendekeza kwenye uzi wako namba moja.
 
Ni hulka za watu wa maeneo husika hata nyerere alipata upinzani kuanzia kwenye mkoa wake was Mara,arusha na mbeya.
 
Sasa povu la nini?

Kwanza napenda utambue kuwa mimi sio ndiye niliye panda jukwaani na kupayuka kuwa nchi hii ni tajiri, ni Rahis wetu mwenyewe ndiye ameyatoa hayo.

Pili mimi sio ndiye niliye hamishia wizara zote Dodoma kwa mabavu, ni matakwa yake.

Sasa naomba upige mahesabu ya costs zote za kuzipeleka wizara zote Dodoma na gharama za majengo yote ya wizara Dodoma. Alafu ongeza na costs za kuijenga infrastructure ya Dodoma within 5 years.

Ukisha maliza, naomba sasa linganisha na costs za kujenga mtambo mmoja wa kutengenza chuma.

Ukisha maliza, angalia chain ya agira zitakazo tokana na mtambo mmoja tu wa kuoka chuma.

Tuanze na kiwandani kazi zaid ya 3000 zingezalishwa directly.

Tuje kwenye mazingira: mji mpya unge anzishwa na ambao ungekuwa na facilities zote za kimji kama manispar ya mji, shule, ofisi, maduka, barabara, wafanya biashara, soko, usafiri, watoa huduma kama vinyozi, mafundi bomba, fundi seremala, fundi cherehani, fundi ujenzi na kadhalika na kadhalika.

Hapa kazi au ajira zaidi ya 200.000 zingeweza zalishwa.

Tuje kwenye viwanda ambavyo directly vitatumia hiyo chuma hapa nchini. Ajira ngapi zingezalishwa kwenye viwanda hivyo? Tuseme laki 7 na vitakavyo kuwa sio vya utumiaji chuma directly, tuseme milion moja na multiply effect yake karibu ajira ya watu milion tano zingezalishwa. Hapa tayari jumla ya ajira milioni saba zingeweza patikana.

Kwa hiyo utaona kuwa, kuwa na kiwanda kimoja cha kuoka chuma na LNG plant moja peke yake ajira sio chini ya milion 12 zingezalishwa. Hayo ni makadirio ya chini tu.

Tukiongeza Sekta ya maji taka na uangalizi wa barabara, commuter trains, Sky trains, SGR zaidi na Nyerere Dam mbona tungekuwa mbali?

Tukija kwenye skilled manpower au Labor kama; smithy, product Management, project engineering mechanical engineering, process engineerig, design engineering, products designers, mechantronic, Computer scientists, quality controlling managemet, na kadhalika na kadhalika. Tungekuwa na wataalam wa kujivunua.

Hapo tayari tuna scientific research institutes kwenye medicine, metallurgy, chemical, electrical, digital, telecommunication na kathalika na kadhalika

Hapo sijahesabu ongezeko la ajira kwenye sekta nyingigine kama; kilimo, uvuvi, utalii, afya, elimu na huduma nyingine.

Tunacho experience so far kwenye skilled manpower ni civil engineering kwa wingi sana, wanacho kifanya wala hatukioni. Ni usanii tu. Barabara hawajui kutengeza na kwenye mitaro ndiyo kabisa. Kwenye majumba ndiyo hivyo kulipua lipua. Magorofa yote makubwa na madaraja, wajenzi ni makampuni ya nje na wahindi.

Medical doctors kwa wingi pia, electricians na Electrical engineering, system adminstration na wajasiliamali kadha wa kadha.

Sasa katika hawa wako ambao wewe unawaona wanaweza anzisha viwanda vya kufanya manufacturing?

Kaa pembeni kijana tusileteane masihala.
Ndugu ili sio swala la kuku na yai kipi kimetangulia.

Hivi nyie watu mnafahamu kweli kiwanda cha heavy metal kinatumia/kinahitaji kiasi gani cha umeme? Je kwa sasa upo huo umeme wa ku support such an industry?

Pili umeshawahi kuona kiwanda cha heavy metal ambacho hakina railway inayooingia mpaka kiwandani? Au unadhani unasafirisha vipi tonnes of heavy metal to different parts of the country.

Unajua running cost za kuendesha icho kiwanda, na amount products unazohitaji kuzalisha just to break even? Is there business viability without an export market? Can we compete with other exporters in terms of price and easy shipping globally?

Dangote alikuwa ananunua makaa ya mawe cheaper from S.A, wakati kiwira ipo karibu, unajua ni kwanini?

We unadhani kwanini dunia ina ugomvi na China kutokana na cheap export ya chuma chake? Unajua kwanini chuma cha China ni cheap? unajua madhara ya chuma kikiwa na bei kubwa kwenye infrastructure cost?

Tatizo lenu huwa mnajiropokea bila ya kufahamu utekelezaji wa vitu mnavyoongelea.

Dangote tu tumeshindwa kumpa umeme wa uhakika kaamua kujizalishia mwenyewe, halafu unazungumzia heavy metal industry Tanzania kabla ya umeme wa uhakika kwanza.
 
Concisely fair content, but partly deformative.

You could rather challenge him but not insult
Nasikitika kukuambia kuwa sikutaka kabisa kumzungumzia Lissu. Lakini kwa vile wewe umetaka tubadilisha mada, basi ngoja na mimi nitoe maoni yangu juu ya huyo kibaraka wako wa wazungu.

Kwanza ningependa utambue kuwa mimi ki-profession ni Design Engineer, nina Masters Degree ya Design enginering ya Ujerumani na kazi za Design Engineer ni uundaji wa kila kitu unachokiona kwa macho kwa kutumia Material ya chuma (steel, metal sheet na cast iron), Aliminium na cast aluminum, plastics, compounds, Glass fiber reinforced plastics, copper, glass, porcelain, mbao na kadhalika isipokuwa vitu vinavyo tumia Materials kama concrete na bitumen kama; majengo, madaraja, barabara, mitaro.na kadhalika.

Nimesoma Ujerumani na nimefanya kazi Ujerumani na nimeishi huko zaidi ya miaka 30. Nina wajua wazungu ndani na nje na nina familia ya kizungu na wajukuu.

Kwa utangulizi wangu huo nilitaka tu nikuonyeshe kuwa mimi siwezi mchallenge Lissu kwa sababu simwesabu yeye kama ni binadam ambaye ana roho na moyo wa kutambua kuwa binadam tuko tofauti. Yeye ni mwelewa wa kila kitu.

Wewe kwa akili yako unamwona Lissu ana akili timamu ya kuweza kuwa Rais wa watanzania, pamoja na makabila yote haya tuliyo nayo na tension yote tuliyo nayo ya muungano kweli?

Mimi kama mwafrika na mtu mweusi, mtu ambaye naweza sema nime adopt culture za wazungu, maana kuishi na kufanya kazi na wazungu miaka 30 sio kitu kidogo, siwezi hata mara moja kumkandia Rais wa nchi yangu kwa jitihada anazozifanya kwa mutant, lakini kwenye karne hii ya 21 ana kuja sokwe kama yeye anathubutu kwenda kwa mutant na kutukandia sisi masokwe wenzake na Rais wetu na kuwaambia wazungu watunyime misaada sisi kweli? Kwa lipi? Anawajuwa yeye kweli wazungu walivyo?

Naomba niambie Lissu ana akili gani na kitu gani kitakacho mfanya yeye awe Rais wa watanzania? Ana akili na sifa gani za yeye kuwa Rais kiasi ambacho wewe ukathubutu hata kuniita mimi mshenzi kwa ajili ya kichaa kama Lissu?

Kama kuna watanzania ambao nimeshuhudia kuwa ni majuha, wajinga malimbukeni wa wazungu basi mmoja wapo ni Tundu Lissu na wa pili ni Zitto Kabwe. Wewe unawaona hawa watu ni binadam kama sisi kweli?

Kama wewe unamthamini yeye na kumwona yeye kama ni Rais wako, basi ningekuomba kutafuta nchi nyingine ndiyo akawe Rais wako, lakini sio Tanzania.

Lissu ni pathetic na ni mtu katili sana na mtu wa kupenda kulipiza kisasi. Ni mtu ambaye anaangalia maslahi yake na ya wale wanao msupport tu. Lisuu hana upendo kwa watanzania wala kwa mama na baba yake.
Lissu ni Zombie lisilo jua thamani ya kuwa mwafrika na kuwa mtu mweusi.

Wewe umeshuhudia mwenyewe mwamerika mweupe akimkaba mwamerika mweusi mpaka anakufa only kwa sababu yeye ni mweusi, alafu Pimbi kama Lissu anathubutu kumwita Rais wa nchi yake dikteta na mwuuaji wa mamia ya watu na wengine kuwapoteza?

Mwambie atuonyeshe yako wapi hayo maiti au makaburi ya watu waliouawa na Rais Magufuli.

Yeye anathubutuje kwenda kwenye nchi ambayo mtu mweusi anakuwa intimidated na kuuawa hadharani, kuomba msaada wa kutuwekea sisi vikwazo vya uchumi only kwa sababu Rais Magufuli amezuia maandamano? Au mikutano ya hadhara?

Yaani yeye ana mind sana maandamano kwa manufaa yake kuliko uhai wetu na ule wa wazazi wake?

Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia jinsi polisi wa Ufaransa walivyo wajeruhi waandamanaji wa Yellow Vest huko Paris na yeye kama activist anaye pigania haki ya kudemonstrate Tanzania mbona sija msikia akimshutumu Rais Macron na jeshi la usalama la ufaransa kama anavyo fanya hapa kwa Magufuli na na jeshi letu la usalama?

Rais Macron wa Ufaransa amezuia wanaharakati wa Yellow Vest wasiandamane. Je, anaweza akaniambia kwanini hatujamwona mwanaharakati yeyote wa hao Yellow Vest kwenda Amerika au nchi yeyote nyingine duniani kuwaomba msaada wa kuiwekea nchi yake vikwazo vya kiuchumi kama yeye alivyofanya?

Lissu anadai kuwa anapigania uhuru na haki ya freedom of speech ya watanzania, lakini anakwenda Amerika kudai hiyo haki ya watanzania wakati ambapo waamerika hao hao wanawataka kwa hali na mali Edward Snowden na Julian Assange wapelekwe Amerika wakashtakiwe kwa makosa hayo hayo ambayo yeye ana yapigania ya freedom of speech. Hiyo sasa mkuu imekaaje?

Sikiliza mkuu, Lissu alikuwa Mbunge na kazi ya mbunge primarilly ni kuhakikisha kuwa anatetea maslahi ya watu wake walio mpa kura. Maisha ya watu walio mchagua jimboni kwake yanapewa kipaumbele.

Wananchi wake wanahitaji huduma bora za elimu, maji safi, afya, energy na miundombinu bora ya barabara ili waweze fanya activities zao za kujipatia riziki. Yeye badala ya kupigania haya Bungeni anajiingiza kwenye uharakati wa kumpinga Rais wa nchi kwa kila kitu anachokifanya ili kuleta maendeleo ya wananchi wake.

Rais wetu anapigania rasilimali zetu zidi ya wezi na wanyonyaji wakubwa, yeye anampinga na kuwa upande wa wanyonyaji na kushirikiana nao ili watushtaki sisi tulipe fidia kwa maslahi yake na yao. Maendeleo ya nchi yetu yeye kwake ni nothing.

Sasa nimwuulize alikuwa anafanya haya yote kwa manufaa ya nani? Na sasa anataka kuwa Rais kwa manufaa ya nani wakati aliyaomba hayo mataifa mengine yatunyime sisi misaada na yatuwekee vikwazo vya uchumi? Pili Yeye alienda huko kama nani? Tulimtuma sisi aende akafanye hivyo?

Rais Magufuli ananunua ndege kwa ajili ya kuboresha usafiri wa anga nchini, yeye anapinga na kuanza kula njama na wanyonyaji kuzuia ndege zetu ili sisi tulipe fidia. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga Bwawa la kutuletea sisi umeme wa uhakika, yeye anapinga hataki hilo bwawa liendelee kujengwa. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga SGR na ku introduce New era of high speed trains ili sisi nasi tuwe mobile kama wao, yeye anapinga, hataki SGR ijengwe. Sasa nimwulize Lissu na wewe kibaraka wake, yeye akiwa Rais atafanya nini kwa watanzania? Anataka watanzania wawe na maisha gani?

Naomba nikuambie siri yangu jinsi mimi ninavyo mwona Lissu;

- Lissu ni mtu ambaye anapenda aonekane yeye tu kama Trump alivyo.

- Lissu yuko tayari kuiuza nchi na binadam wote wanao ishi kwenye hiyo nchi madam amefanikisha matakwa yake.

- Ni mtu mwenye makuu sana.

- Lissu hana karisma ya kuwa Rais na kwa hali hii sita kubali hata mara moja awe Rais wa nchi yangu.

Na mwisho naomba mwambie Lissu hivi, kuwa akisababisha machafuko yatokee nchini, naye ajue kuwa yeye na familia yake haitakuwa salama popote pale ulimwenguni!

Ninamtakia uchaguzi mwema na salama.
 
Wewe uliye na akili ya uafrika na kutambua thamani ya uafrika na kuchukia wazungu baada ya masomo yako ni nini kilikupeleka ulaya badala ya kufanya kazi nchini kwa manufaa ya nchi yako?

Kama ulivyosema umeishi ughaibuni miaka thelathini unayajua madhila ya watumishi wa umma na changammoto zao?

Unajua kwamba miradi mingi imejengwa kwa hela za ndani kama anavyojinasibu yeye lakini source yake kubwa ni mifuko ya hifadhi ya jamii?

Unajua wastaafu wangapi wanakufa kwa sress na mawazo juu ya dhulma ya serikali kukopa na kutorudisha kama walivyoahidi.

Wewe bado ni mshenzi usiyejua maisha halisi ya namna watanzania tunavyoishi kwa sasa.

Rudi huko ulaya ukawatumikie wazungu wako maana kwa miaka 30 hujalipa kodi kwa serikali yetu wala hukumchagua huyu raisi unayemtetea.

Hiyo elimu yako umewasaidia nini watanzania zaidi ya kuwanufaisha wazungu wako hao?
 
Wewe uliye na akili ya uafrika na kutambua thamani ya uafrika na kuchukia wazungu baada ya masomo yako ni nini kilikupeleka ulaya badala ya kufanya kazi nchini kwa manufaa ya nchi yako?

Kama ulivyosema umeishi ughaibuni miaka thelathini unayajua madhila ya watumishi wa umma na changammoto zao?

Unajua kwamba miradi mingi imejengwa kwa hela za ndani kama anavyojinasibu yeye lakini source yake kubwa ni mifuko ya hifadhi ya jamii?

Unajua wastaafu wangapi wanakufa kwa sress na mawazo juu ya dhulma ya serikali kukopa na kutorudisha kama walivyoahidi.

Wewe bado ni mshenzi usiyejua maisha halisi ya namna watanzania tunavyoishi kwa sasa.

Rudi huko ulaya ukawatumikie wazungu wako maana kwa miaka 30 hujalipa kodi kwa serikali yetu wala hukumchagua huyu raisi unayemtetea.

Hiyo elimu yako umewasaidi nini watanzania zaidi ya kuwanufaisha wazungu wako hao?
Sielewi tatizo lako ni nini? Kama inakupendeza kunuita mimi mshenzi basi endelea kujiridhisha ni uhuru wako na nchi yako. Tukubaliane kwa hilo! Sawa?

Look! Mimi nilifikiri tunamjadili Tundu Lissu kuhusiana na sifa zake za kugombea Urais, kitu ambcho sikujua, naona sasa tatizo liko kati yangu na watanzania wanao dhulumiwa na serikali ya Magufuli, si ndiyo?

Sikiliza mkuu mimi huwa sipendi kukwaruzana na watu au vijana kwenye mitandao ambao kwa sababu yoyote ile hawaja weza pata bahati kama yangu. Kulingana na status yangu sioni kama kuna haja ya kukwaruzana na wewe, kwani naona kuna tatizo ambalo wewe na mimi hatutaweza litatua kwa matusi kwa vile hatuna kitu chochote in common.

Kama nitakuwa nimekukwaza wewe binafsi au familia na ndugu zako basi naomba niwie radhi. Sina malengo ya kuwakwaza watu ambao wanahangaika kutafuta riziki zao kwa shida.

Kwa kukujibu swali lako la kwanza, mimi nilienda Ulaya kwenye miaka ya late 80's kusoma baada ya kufaulu vizuri masomo ya Science. Sasa sielewi mwenzangu umesomea nini?

Nilivyokuwa masomoni Ulaya of course kila mtu anayafurahia maisha ya huko. Kila kitu unakiona kizuri kwa sababu tumelelewa kuamini hivyo. Baadae ukisha anza kazi na kuyazoea mazingira na pesa kidogo ya uhakika, ni kweli uko right, mtu unapotea na kujisahau kabisa. Maisha ya watu wa kwenu huyafikirii tena na unajiona wewe nawe ni mzungu kama wao.

Kwa kukuthibitishia tu hata hivyo mimi bado ni mtanzania na wala sikubadili uraia wangu. Nina miaka saba toka nirudi na Rais Magufuli ama kwa uhakika nilimpigia kura mwaka 2015 na nitampigia tena kura Oktober 28 2020.

My Moto is "No Time for Change and No Time for Experiment". Nataka Magufuli amalize mambo aliyo yaanza kwanza, ndipo tufanye majaribio.

Advantage niliyo nayo dhidi yako ni kwamba mimi nina uwezo wa kwenda Europe mda wowote ule ninao taka, kwani nina unlimited visus na watoto wangu na mjukuu wako huko. Utanisamehe kwa hili, kwani tumejifunza kwenye methali zetu kuwa bahati ya mwenzio, usiilalie mlango wazi.

Fanya bidii na wewe milango yako ifunguliwe, kwani kukaa gizani kwa mda mrefu sioni ajabu kama mtu anakuwa na frustrations za kupofuka macho.

Ungejua jinsi gani nimewapigania vijana na watu wa Bongo kwenye mada yangu, nadhani nisinge kuwa mkimbizi kwenye nchi ya mababu zangu. Ama kweli kusoma kunafungua akili.
 
Kutumia pesa za ndani sio kwakuwa tumependa au hao wafadhili wametaka kuleta tukakataa, bali wamegoma kutokana na mwenendo wetu wa kidemokrasia. Kuamua nani aje sio kwa nia njema, bali uhayawani utakaofanyika kwenye siku ya kupiga kura ndio watawala wetu hawataki ufahamike duniani. Ukitaka kujua kuna hujuma zitafanyika na bado zinafanyika, taasisi zote za humu nchini zilizokuwa zinatoa ripoti za kweli za uchaguzi, zimekataliwa kuwa waangalizi. Bado unaamini sisi sio tegemezi, kuna tofauti ya kutokuwa tegemezi na kuwa na watawala wenye kiburi. Mzungu hakwepeki kwa kiburi.

Tazama deni letu la taifa ndani ya hii miaka mitano, na mitano ijayo hali za wananchi zitakuwa ngumu maradufu. Hizo kelele hewa za kuwa nchi hii ni tajiri, lakini zaidi ya miradi ya mikopo yenye riba kubwa, haiendani na maisha ya watu. Nenda TRA uone jinsi watu wanavyofunga shughuli zao kisa purchasing power ni ndogo. Miaka hii mitano itakuwa migumu kuliko maelezo na usitegee lolote jipya. Kuna miradi miwili ya SGR & SG respectively, itayogharimu 15t+, na hakuna mradi wowote kati ya hiyo uliofika robo ya ujenzi, au nusu ya pesa yaani 7t. Je ni wapi hizo 7-10 itapatikana ndani ya 5yrs, kisha kufanyike uliyopendekeza kwenye uzi wako namba moja.
Asante kwa mchango wako. Nitarudi.
 
Sielewi tatizo lako ni nini? Kama inakupendeza kunuita mimi mshenzi basi endelea kujiridhisha ni uhuru wako na nchi yako. Tukubaliane kwa hilo! Sawa?

Look! Mimi nilifikiri tunamjadili Tundu Lissu kuhusiana na sifa zake za kugombea Urais, kitu ambcho sikujua, naona sasa tatizo liko kati yangu na watanzania wanao dhulumiwa na serikali ya Magufuli, si ndiyo?

Sikiliza mkuu mimi huwa sipendi kukwaruzana na watu au vijana kwenye mitandao ambao kwa sababu yoyote ile hawaja weza pata bahati kama yangu. Kulingana na status yangu sioni kama kuna haja ya kukwaruzana na wewe, kwani naona kuna tatizo ambalo wewe na mimi hatutaweza litatua kwa matusi kwa vile hatuna kitu chochote in common.

Kama nitakuwa nimekukwaza wewe binafsi au familia na ndugu zako basi naomba niwie radhi. Sina malengo ya kuwakwaza watu ambao wanahangaika kutafuta riziki zao kwa shida.

Kwa kukujibu swali lako la kwanza, mimi nilienda Ulaya kwenye miaka ya late 80's kusoma baada ya kufaulu vizuri masomo ya Science. Sasa sielewi mwenzangu umesomea nini?

Nilivyokuwa masomoni Ulaya of course kila mtu anayafurahia maisha ya huko. Kila kitu unakiona kizuri kwa sababu tumelelewa kuamini hivyo. Baadae ukisha anza kazi na kuyazoea mazingira na pesa kidogo ya uhakika, ni kweli uko right, mtu unapotea na kujisahau kabisa. Maisha ya watu wa kwenu huyafikirii tena na unajiona wewe nawe ni mzungu kama wao.

Kwa kukuthibitishia tu hata hivyo mimi bado ni mtanzania na wala sikubadili uraia wangu. Nina miaka saba toka nirudi na Rais Magufuli ama kwa uhakika nilimpigia kura mwaka 2015 na nitampigia tena kura Oktober 28 2020.

My Moto is "No Time for Change and No Time for Experiment". Nataka Magufuli amalize mambo aliyo yaanza kwanza, ndipo tufanye majaribio.

Advantage niliyo nayo dhidi yako ni kwamba mimi nina uwezo wa kwenda Europe mda wowote ule ninao taka, kwani nina unlimited visus na watoto wangu na mjukuu wako huko. Utanisamehe kwa hili, kwani tumejifunza kwenye methali zetu kuwa bahati ya mwenzio, usiilalie mlango wazi.

Fanya bidii na wewe milango yako ifunguliwe, kwani kukaa gizani kwa mda mrefu sioni ajabu kama mtu anakuwa na frustrations za kupofuka macho.

Ungejua jinsi gani nimewapigania vijana na watu wa Bongo kwenye mada yangu, nadhani nisinge kuwa mkimbizi kwenye nchi ya mababu zangu. Ama kweli kusoma kunafungua akili.
Mkuu mada yako nzuri Ila kila unapoendelea kuifafanua napata rangi yako halisi.
Kuna kitu kinakuattach na rais Magufuli zaidi ya utanzania.
Ukweli ni kwamba rais alipokuwa akiomba kura 2015 aliahidi kutekeleza mengi kama ulivyoyataja.
Hata hivyo hayo yote yangeweza kufanyika huku akiheshimu demokrasia, utawala wa sheria na haki za binaadamu nashangaa kwa nini unawaza namna hii pamoja na kuishi Ulaya!!!
Kuna dhana potofu imejengwa kwenye utawala huu kwamba hatuwezi kupata maendeleo ilhali tukiendelea kuheshimu hizo tunu adhiimu. Hii si kweli. Ni kipi kingemshinda mh raisi kutekeleza kwa sababu ya kuruhusu uhuru wa maoni, utawala wa sheria na haki za binaadamu?
Unafikiri Marekani wanamtaka Snowden na Asange ili wakampige risasi?
Unauliza makaburi? Aisee
Kama Lisu kusema huko nje yanayoendelea Tanzania kavunja sheria kwa nini hafunguliwi kesi ya kuhatarisha usalama wa taifa kwa kushirikiana na adui mzungu?
 
Ni ndefu mno, nimeishia pale ulipoandika kuwa Rais alikosea kuwawezesha wamachinga,....

Pili Muda ukifika atakwenda Arusha na ajabu ya siasa zetu utashangaa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ukifurika.
 
Mtoa post kama kuna uwezekano wa hiy post uliotuma naomba nitumie ktk email yang kasianopetro6@gmail.com au watsap 0753933418 uko vzr tunahitaji wat wenye uwezo mkubwa wa kufikiri kama ww nasio lawama hongera sana kama ningekuwa na uwezo nijuze wap waishi ili hat siku moja nipate kujifunza kitu kipya tenah maan kukaa na mtu kama ww ni muhimu sana Mungu akubalik
 
Nasikitika kukuambia kuwa sikutaka kabisa kumzungumzia Lissu. Lakini kwa vile wewe umetaka tubadilisha mada, basi ngoja na mimi nitoe maoni yangu juu ya huyo kibaraka wako wa wazungu.

Kwanza ningependa utambue kuwa mimi ki-profession ni Design Engineer, nina Masters Degree ya Design enginering ya Ujerumani na kazi za Design Engineer ni uundaji wa kila kitu unachokiona kwa macho kwa kutumia Material ya chuma (steel, metal sheet na cast iron), Aliminium na cast aluminum, plastics, compounds, Glass fiber reinforced plastics, copper, glass, porcelain, mbao na kadhalika isipokuwa vitu vinavyo tumia Materials kama concrete na bitumen kama; majengo, madaraja, barabara, mitaro.na kadhalika.

Nimesoma Ujerumani na nimefanya kazi Ujerumani na nimeishi huko zaidi ya miaka 30. Nina wajua wazungu ndani na nje na nina familia ya kizungu na wajukuu.

Kwa utangulizi wangu huo nilitaka tu nikuonyeshe kuwa mimi siwezi mchallenge Lissu kwa sababu simwesabu yeye kama ni binadam ambaye ana roho na moyo wa kutambua kuwa binadam tuko tofauti. Yeye ni mwelewa wa kila kitu.

Wewe kwa akili yako unamwona Lissu ana akili timamu ya kuweza kuwa Rais wa watanzania, pamoja na makabila yote haya tuliyo nayo na tension yote tuliyo nayo ya muungano kweli?

Mimi kama mwafrika na mtu mweusi, mtu ambaye naweza sema nime adopt culture za wazungu, maana kuishi na kufanya kazi na wazungu miaka 30 sio kitu kidogo, siwezi hata mara moja kumkandia Rais wa nchi yangu kwa jitihada anazozifanya kwa mutant, lakini kwenye karne hii ya 21 ana kuja sokwe kama yeye anathubutu kwenda kwa mutant na kutukandia sisi masokwe wenzake na Rais wetu na kuwaambia wazungu watunyime misaada sisi kweli? Kwa lipi? Anawajuwa yeye kweli wazungu walivyo?

Naomba niambie Lissu ana akili gani na kitu gani kitakacho mfanya yeye awe Rais wa watanzania? Ana akili na sifa gani za yeye kuwa Rais kiasi ambacho wewe ukathubutu hata kuniita mimi mshenzi kwa ajili ya kichaa kama Lissu?

Kama kuna watanzania ambao nimeshuhudia kuwa ni majuha, wajinga malimbukeni wa wazungu basi mmoja wapo ni Tundu Lissu na wa pili ni Zitto Kabwe. Wewe unawaona hawa watu ni binadam kama sisi kweli?

Kama wewe unamthamini yeye na kumwona yeye kama ni Rais wako, basi ningekuomba kutafuta nchi nyingine ndiyo akawe Rais wako, lakini sio Tanzania.

Lissu ni pathetic na ni mtu katili sana na mtu wa kupenda kulipiza kisasi. Ni mtu ambaye anaangalia maslahi yake na ya wale wanao msupport tu. Lisuu hana upendo kwa watanzania wala kwa mama na baba yake.
Lissu ni Zombie lisilo jua thamani ya kuwa mwafrika na kuwa mtu mweusi.

Wewe umeshuhudia mwenyewe mwamerika mweupe akimkaba mwamerika mweusi mpaka anakufa only kwa sababu yeye ni mweusi, alafu Pimbi kama Lissu anathubutu kumwita Rais wa nchi yake dikteta na mwuuaji wa mamia ya watu na wengine kuwapoteza?

Mwambie atuonyeshe yako wapi hayo maiti au makaburi ya watu waliouawa na Rais Magufuli.

Yeye anathubutuje kwenda kwenye nchi ambayo mtu mweusi anakuwa intimidated na kuuawa hadharani, kuomba msaada wa kutuwekea sisi vikwazo vya uchumi only kwa sababu Rais Magufuli amezuia maandamano? Au mikutano ya hadhara?

Yaani yeye ana mind sana maandamano kwa manufaa yake kuliko uhai wetu na ule wa wazazi wake?

Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia jinsi polisi wa Ufaransa walivyo wajeruhi waandamanaji wa Yellow Vest huko Paris na yeye kama activist anaye pigania haki ya kudemonstrate Tanzania mbona sija msikia akimshutumu Rais Macron na jeshi la usalama la ufaransa kama anavyo fanya hapa kwa Magufuli na na jeshi letu la usalama?

Rais Macron wa Ufaransa amezuia wanaharakati wa Yellow Vest wasiandamane. Je, anaweza akaniambia kwanini hatujamwona mwanaharakati yeyote wa hao Yellow Vest kwenda Amerika au nchi yeyote nyingine duniani kuwaomba msaada wa kuiwekea nchi yake vikwazo vya kiuchumi kama yeye alivyofanya?

Lissu anadai kuwa anapigania uhuru na haki ya freedom of speech ya watanzania, lakini anakwenda Amerika kudai hiyo haki ya watanzania wakati ambapo waamerika hao hao wanawataka kwa hali na mali Edward Snowden na Julian Assange wapelekwe Amerika wakashtakiwe kwa makosa hayo hayo ambayo yeye ana yapigania ya freedom of speech. Hiyo sasa mkuu imekaaje?

Sikiliza mkuu, Lissu alikuwa Mbunge na kazi ya mbunge primarilly ni kuhakikisha kuwa anatetea maslahi ya watu wake walio mpa kura. Maisha ya watu walio mchagua jimboni kwake yanapewa kipaumbele.

Wananchi wake wanahitaji huduma bora za elimu, maji safi, afya, energy na miundombinu bora ya barabara ili waweze fanya activities zao za kujipatia riziki. Yeye badala ya kupigania haya Bungeni anajiingiza kwenye uharakati wa kumpinga Rais wa nchi kwa kila kitu anachokifanya ili kuleta maendeleo ya wananchi wake.

Rais wetu anapigania rasilimali zetu zidi ya wezi na wanyonyaji wakubwa, yeye anampinga na kuwa upande wa wanyonyaji na kushirikiana nao ili watushtaki sisi tulipe fidia kwa maslahi yake na yao. Maendeleo ya nchi yetu yeye kwake ni nothing.

Sasa nimwuulize alikuwa anafanya haya yote kwa manufaa ya nani? Na sasa anataka kuwa Rais kwa manufaa ya nani wakati aliyaomba hayo mataifa mengine yatunyime sisi misaada na yatuwekee vikwazo vya uchumi? Pili Yeye alienda huko kama nani? Tulimtuma sisi aende akafanye hivyo?

Rais Magufuli ananunua ndege kwa ajili ya kuboresha usafiri wa anga nchini, yeye anapinga na kuanza kula njama na wanyonyaji kuzuia ndege zetu ili sisi tulipe fidia. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga Bwawa la kutuletea sisi umeme wa uhakika, yeye anapinga hataki hilo bwawa liendelee kujengwa. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga SGR na ku introduce New era of high speed trains ili sisi nasi tuwe mobile kama wao, yeye anapinga, hataki SGR ijengwe. Sasa nimwulize Lissu na wewe kibaraka wake, yeye akiwa Rais atafanya nini kwa watanzania? Anataka watanzania wawe na maisha gani?

Naomba nikuambie siri yangu jinsi mimi ninavyo mwona Lissu;

- Lissu ni mtu ambaye anapenda aonekane yeye tu kama Trump alivyo.

- Lissu yuko tayari kuiuza nchi na binadam wote wanao ishi kwenye hiyo nchi madam amefanikisha matakwa yake.

- Ni mtu mwenye makuu sana.

- Lissu hana karisma ya kuwa Rais na kwa hali hii sita kubali hata mara moja awe Rais wa nchi yangu.

Na mwisho naomba mwambie Lissu hivi, kuwa akisababisha machafuko yatokee nchini, naye ajue kuwa yeye na familia yake haitakuwa salama popote pale ulimwenguni!

Ninamtakia uchaguzi mwema na salama.
Wewe jamaa kweli ni mshenzi tena zaidi ya mshenzi lkn pia itakuwa hata shule hukwenda unatuzingua tu hapa maana inaonekana unauelewa hafifu sana wa mambo natamani kuandika mambo mengi lkn naona kama nitakuwa nampigia mbuzi gitaa ila itoshe tu kukwambia wewe ni mbwiga mnafik mchawi
 
Back
Top Bottom