johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm.
Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati.
Rais Magufuli amewataka wananchi bila kujali itikadi za kisiasa kumweka Mungu mbele na kumtumaini wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi.
Rais alitamani kuhudhuria live tamasha hilo lakini majukumu ya kiserikali yamemfanya ashiriki kwa njia ya mtandao.
Tamasha lilikuwa likitangazwa mubashara na kituo cha luninga cha Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!