Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Yeye sii anafanya kampeni kabla ya wakati! Asubiri atauona moto wenzake watakapo anza kumshushia nondo, Nina hakika atarusha Nguni tuu.sasa hivi kila akipata nafasi ni uchumi Wa kati, mmhh.. mwaka huu tutakoma kwenye majukwaa ya kampeni na liuchumi LA kati