johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni jambo jema!Limeandaliwa na EFM
sasa hivi kila akipata nafasi ni uchumi Wa kati, mmhh.. mwaka huu tutakoma kwenye majukwaa ya kampeni na liuchumi LA kati
sasa hivi kila akipata nafasi ni uchumi Wa kati, mmhh.. mwaka huu tutakoma kwenye majukwaa ya kampeni na liuchumi LA kati
Haaaa Kusoma kuandika na kuhesabuKutoka kuwa low Income country na kuwa lower middle income country, ni kama kutoka darasa la kwanza kuingia la pili, hakuna mabadiliko makubwa. Kenya walifikia hatua hiyo tangu 2014 na hakukuwa makelele yoyote. Nadhani sisi bado ni washamba kichwani.
Chezea watanzania wewe ni uzuzu tu hata ukiwauliza maana yake na kuna tija gani kwa mwananchi wa kawaida hawajui ni makelele tuKutoka kuwa low Income country na kuwa lower middle income country, ni kama kutoka darasa la kwanza kuingia la pili, hakuna mabadiliko makubwa. Kenya walifikia hatua hiyo tangu 2014 na hakukuwa makelele yoyote. Nadhani sisi bado ni washamba kichwani.
Wee! Tema mate chini.. Wakenya wameongeaa.. Yani tulikuwa hatuhemi.. Kila siku tulikuwa tunaitwa LDC.. Mungu mkubwa sasa hivi tupo nao levo moja!Kutoka kuwa low Income country na kuwa lower middle income country, ni kama kutoka darasa la kwanza kuingia la pili, hakuna mabadiliko makubwa. Kenya walifikia hatua hiyo tangu 2014 na hakukuwa makelele yoyote. Nadhani sisi bado ni washamba kichwani.
Kenya waliingia 2015Wee! Tema mate chini.. Wakenya wameongeaa.. Yani tulikuwa hatuhemi.. Kila siku tulikuwa tunaitwa LDC.. Mungu mkubwa sasa hivi tupo nao levo moja!
Mungu ni mwema!Kwa ule umati, mmmh.
Kuna wakandarasi wanadai pesa kibao huku hawajalipwa mwaka wa pili sasa serikali inashindwa kulipia pesa hamnaKutoka kuwa low Income country na kuwa lower middle income country, ni kama kutoka darasa la kwanza kuingia la pili, hakuna mabadiliko makubwa. Kenya walifikia hatua hiyo tangu 2014 na hakukuwa makelele yoyote. Nadhani sisi bado ni washamba kichwani.
Kuna wakandarasi wanadai pesa kibao huku hawajalipwa mwaka wa pili sasa serikali inashindwa kulipia pesa hamna