Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Jul 6, 2020 #21 kigogo warioba said: sasa hivi kila akipata nafasi ni uchumi Wa kati, mmhh.. mwaka huu tutakoma kwenye majukwaa ya kampeni na liuchumi LA kati Click to expand... Yeye sii anafanya kampeni kabla ya wakati! Asubiri atauona moto wenzake watakapo anza kumshushia nondo, Nina hakika atarusha Nguni tuu.
kigogo warioba said: sasa hivi kila akipata nafasi ni uchumi Wa kati, mmhh.. mwaka huu tutakoma kwenye majukwaa ya kampeni na liuchumi LA kati Click to expand... Yeye sii anafanya kampeni kabla ya wakati! Asubiri atauona moto wenzake watakapo anza kumshushia nondo, Nina hakika atarusha Nguni tuu.