Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Nae huyo Kunambi ni Mkurugenzi cheo au jina tangulini Mkurugenzi akapatiwa bodyguard? Hebunipe sifa za cheo cha ukurugenzi tena wa Jiji
 
Itakuwa huyu kuna jambo la siri
 
Inahusiana vp na uzi?
 
Shida ya Chadomo hata uelewa wa utendaji wa mifumo ya serikali ni zero.mradi tu umeandika
 
Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.
Waliokuwa upinzani wakapewa ukurugenzi wakatangaza nia sasa wapo jobless na wamefulia kama Kafulila. Ila huyu wa Dodoma anapeta tu.
 
Hili jambo limenisikitisha na kuninyong'oneza sana. Kwa kifupi ukitangaza nia unayaweka maisha yako na familia yako rehani.
 
Duu Mkurugenzi nimekumbuka enzi zile technician anakuwa Regional Enginnear
 
Hivi hilo linawezekana?
 
Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..

DED pia walitumbuliwa mkuu mfano ni yule Anaclaire mtoto dkt Shija alikua DED same alitumbuliwa usiku usiku
 
Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.

DED pia walitumbuliwa mkuu mfano ni yule Anaclaire mtoto dkt Shija alikua DED same alitumbuliwa usiku usiku
 
Nae huyo Kunambi ni Mkurugenzi cheo au jina tangulini Mkurugenzi akapatiwa bodyguard? Hebunipe sifa za cheo cha ukurugenzi tena wa Jiji

Kumbe ana Body guard???

Kwahiyo unataka kusema kwamba kile cheo sio chake au?
 
DED pia walitumbuliwa mkuu mfano ni yule Anaclaire mtoto dkt Shija alikua DED same alitumbuliwa usiku usiku
Unajua hata kwenye familia ukiwa mtoto wa kambo wenzio wakienda kucheza bila ruhusa wewe omba ruhusa, ukiwaiga bakora zinakuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…