Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..
Sina list tu, lakini kuna wakurugenzi kadhaa walitumbuliwa.

Watendaji wengine ambao hawatakiwi wawe kisiasa kama katibu wakuu wa wizara, mbona na wao walitumbuliwa?
 
Shida ya Chadomo hata uelewa wa utendaji wa mifumo ya serikali ni zero.mradi tu umeandika
Tuelimishe basi. Maana tuliona wakurugenzi wengine na makatibu wakuu wa wizara wakitenguliwa.
 
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule?

Wajuzi tujuzeni.
Kabila gani huyo jamaa
 
Hili jambo limenisikitisha na kuninyong'oneza sana. Kwa kifupi ukitangaza nia unayaweka maisha yako na familia yako rehani.
ALAFU WAKUBWA KATIKA CHAMA NA SERIKALI WAMEKAA KIMYA TUU ! MA HR NA MA KM WANAWAFANYA WATIA NIA KAMA WAASI ! WAPO KAZINI SASA , WANAFANYA KAZI KAMA KAWAIDA ILA HAWAJUI HATMA YAO....WAO WENYEWE WANAKULA NINI, WANAENDAJE KAZINI (NAULI) , FAMILIA ZAO WANAENDESHAJE? HILI NALO NI IGIZO JIPYA.....WAPINZANI WAKIENDA NALO ....ITAKUWA POINT YA KUTOKEA PIA
 
Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.
Ukurugezi ngazi ya mkoa ni cheo cha kisiasa? Maana huyu ndo kiongozi wa watumishi wa umma mkoa mzima na walitumbuliwa.

Kaibu mkuu wa wizara ni cheo cha kisiasa?
 
Wenye mamlaka wamekusikia. Japo sio jambo jema kumchongea mwenzako mkuu
 
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule?

Wajuzi tujuzeni.
Hayo ni mambo yenu na Mwenyekiti wenu...Sisi tunachukua form kesho!!

Pole kama nimekukwaza but...
 
Chama kikubwa kama CCM kukumbatia Rushwa ambayo Mzee aliianzishia hadi Mahakama ya Mafisadi iliyokosa wateja wakati hakuna hata mwanachama moja aliyepita kura ya maoni bila kutoa rushwa(AIBU) na iwe juu yao.TAKUKURU wanang'olewa meno na macho pale rushwa inapowahusisha wana CCM na viongozi wao.Haki ikitendwa na sheria zikizingatiwa hakuna CCM,Mahakama ya mafisadi inaendelea kukosa wateja kwa sababu Mzee Baba alipokuwa anaipigia chapuo hiyo Mahakama alidhani itawashughulikia kina Lowassa,Mbowe,Maalim Seif na wapinzani wake.Alipotafakari baada ya kuianzisha mahakama akajikuta anaenda kujishtaki mwenyewe na watoto wake(CCM Mpya na ya zamani) na hawezi kuwapata Wapinzani maana huko rushwa haipo.
Mahakama ya Mafisadi ni sera mojawapo iliyoshindwa pamoja na Tanzania ya Vi-wonder ambayo haijawahi kutekelezwa maana walikurupuka.Hawafahamu watawaambia nini Watanzania mwaka huu wa 2020 na watawadanganya na mapambio gani tena?Walipata madaraka kwa sababu Watanzania walikuwa wamechoka rushwa na ukosefu wa ajira,hivyo waliwavumilia wakiamini kuwa kulikuwa na ukweli katika hizo slogan zao.
Watanzania siyo wajinga na this time around wanaenda kuwashangaza CCM Mpya na watoto wake.Upinzani msikubali kuhadaiwa na epukeni siasa chafu za CCM Mpya.Tuwatimue na makopo yao ili wasirejee kamwe kuitawala nchi yetu,tuchague viongozi wetu.
 
Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..
Mkurungezi ni cheo cha kuteuliwa,tena magufuli aliharibu zaidi kwa kuteua wanaccm wa ccm kinyume na standard order inayotaka mtu anayeteuliwa kwenye cheo cha mkurugenzi awe mtumishi wa umma mwandamizi
 
Alikwenda kugombea ubunge japo kwa kujificha kama wengine. Amerudi bado yupo anachapa kazi ofisini. Hivi huyu ni nani asiachie ofisi!? Huyo aliemteua haoni au sheria ile ni selective!? Kunambi ona aibu.
 
Acha wivu wewe unataka Kunambi akale polisi? Wabongo tufanyeni kazi achana na Kunambi aendelee na kazi zake
 
Back
Top Bottom