Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Shida kubwa iliyopo Bara la Africa ni kutokuwa na Viongozi jasiri ambao hawawezi kufanya maamuzi pindi wanapotakiwa kufanya hivyo.
Kibaya zaidi Imf na world bank ndio wamekuwa wakitoa ushauri wa kiuchumi kwa nchi zetu na hata kama ushauri hauna tija kwa Taifa husika.
Tanzania toka tumechagua Mh Rais Dr John Magufuli naweza kusema kwa kipindi hichi cha miaka minne tumeweza kwakweli
Ukiangalia mradi mkubwa kama Stiegles pale Rufiji ambao ni ndio mkombozi kwa uchumi wa viwanda,siku zote wakubwa wamekuwa wakiupinga kwa hoja mfu.
Lakini Rais wetu kasema tutajenga na hata kama wafadhili hawatatoa pesa,kweli sasa mradi umeanza na pindi ukikamilika tutapata megawati 2015 ambao utatutosha na hata kuuza nchi majirani.
Africa inaitaji Kiongozi jasili sampuli ya Rais Magufuli ili maendeleo yaweze kupatikana kwa haraka.#JPM KIOO TUELEKEACHO
AlexFredrick
Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app