Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Zaidi. soma: Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

EN1SlFXXsAEy49Z.jpg
 
Kuhudhuria sherehe za Muungano mi jambo jema lakini kuzindua jengo la TISS si angemwachia Mhe. Rais wa Zenji? Eniwei kwa kuwaTV zitakuwa live sio mbaya!
Ishu za usalama wa taifa ni ishu za kitaifa(union matters) so rais wa Zanzibar sio mahala pake

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Ziara ya kikazi Zanzibar ni sawa, ila yeye kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi si sawa, utaratibu wa maadhimisho ya sherehe ya mapinduzi ni wa kiboya unamdogosha na kumzalilisha Raisi wa Muungano - ambaye ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu
 
Bora tu siku hiyo ya Jumapili Mh. Raisi angeitumia kusali, kuliko kuhudhuria sherehe yenye taratibu za kuzalilishana
 
Subiri mshinde mrais nyie chadema mtazindua kimya kimya

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitake radhi chief, mm sijawahi kujihusisha na masuala yyt ya siasa hasa ya chama kabisa tangu nimezaliwa. Labda kama hukunielewa tu...mimi nilikuwa nafanya kitu kama mshangao na wala sio kama nimecritisize statement. UMENIKWAZA SANA.
 
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Hatimaye Wasiojulikana wamejisogeza Zanzibar...Wazanzibara jiandaeni kuanza kupotezwa!
 
Back
Top Bottom