Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Ziara ya kikazi Zanzibar ni sawa, ila yeye kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi si sawa, utaratibu wa maadhimisho ya sherehe ya mapinduzi ni wa kiboya unamdogosha na kumzalilisha Raisi wa Muungano - ambaye ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu
Hivi kudogosha maana yake ni nini mkuu?

dodge
 
Anadhalilishwa vipi?
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu (TISS, Tanzania Peoples Defence Force, Police Force, Prison, Migration, JKT na nk. viko under his command) lakini anaingia uwanjani wa kwanza, hasalimii wananchi wa taifa lake - akiwa amepanda gari lile la heshima 'jeep iliyowazi', hakagui gwaride....hii haiko sawa
 
UMETUMWA???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu za usalama wa taifa ni ishu za kitaifa(union matters) so rais wa Zanzibar sio mahala pake

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Akishakanyaga tu Zanzibar anakuwa kama diwani, kama huamini subiri hiyo tarehe 12 utaona nani rais na amiri jeshi mkuu wa eneo lile, ni rahisi mno kumtambua make sherehe haianzi kama yeye hajafika, atakuwa mwisho kuingia, atakagua gwaride, atapigiwa mizinga,nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha nchi unayoiongoza kila siku unafanyaje ziara?!
Mi naona ni sawa na baba ndani ya nyumba kufanya ziara kutembelea vyumba vya nyumba yake.
Unatangaza unapotekeleza majukumu yako?!

Nilitegemea tuambiwe anasafiri kwenda nje ya nchi huko ndiko unafanya ziara.

Au wameanza kukubali kwamba Zanzibar ni nchi?!
 
Ndio maana leo nimepanda boti na malofa na walevi wa ccm kwenda zanzibar, hapa ndio napata picha ya kuwa ule umati tunaoaminishwa kuwa unasimamisha msafara wa mkulu kumbe huwa ni fix tu,huwa wanasombwaView attachment 1317526
20200109_122121.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano ndiye Raisi wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu (TISS, Tanzania Peoples Defence Force, Police Force, Prison, Migration, JKT na nk. viko under his command) lakini anaingia uwanjani wa kwanza, hasalimii wananchi wa taifa lake - akiwa amepanda gari lile la heshima 'jeep iliyowazi', hakagui gwaride....hii haiko sawa
Zanzibar nchi lazima uelewe ilo
 
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.

Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake

Mwambieni kuna barua kutoka baraza LA congress iko mezani kwake, inamtaka Aaache mambo yake ya kishenzi LA sivyo itatumwa drone
 
Mwambieni kuna barua kutoka baraza LA congress iko mezani kwake, inamtaka Aaache mambo yake ya kishenzi LA sivyo itatumwa drone
Una mtukana Rais wewe kweli? Usije ukaanza kulialia kama anavyolia Kabendera. Ngoja tukuingize kwenye orodha!! mliberali be informed!!
 
Back
Top Bottom